Ushauri: Rais ajiuzulu, uchaguzi uitishwe

Tulishauri amfute KAZI MAKAMBA na MWIGULU akaupuuza, sasa wataondoka wote.
 
Kesho akisema mshahara kima cha chini 1mil, tutashangilia na kusema huyu ndiye Rais wa mioyo yetu. Tunapenda ahadi sana na strory mpaka tukampigia deki barabara jamaa fulani miaka fulani.
 
Mama na Madelu wameshindwa mbaya sana katika uchumi, kilichobaki sasa ni kutumia dola ili kuendelea kubaki juu.

Inflation rate ipo juu sana, social services zinaanza kudorora, uwajibikaji kwa serikali na wafanyakazi unashuka, tozo kuanzia benki hadi simu na mafuta...pathetic asee!!
 
Hivi ikiwa hata Magufuli alitawala nchi hii pamoja ukichaa wake nani atashindwa?

Labda useme tu humpendi huyu mama
 
Ingefaa raisi akifa madarakani uchaguzi urudiwe Ili kupata mtu sahihi aliyeshindanishwa ,uraisi sio zawadi,wala sio sehemu ya kwenda kujifunzia kuongoza,uraisi ni Maisha ya watu, Hakunaga Makamu wa raisi smart wote huwa ni dhaifu Ili iwe rahisi kuwaburuza. Ukiwa raisi huwezi chagua msaidizi mwenye uwezo kukuzidi. Naunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…