Ushauri: Rais ajiuzulu, uchaguzi uitishwe

Kila la kheri.
Ndo hivyo,watu wote waliofanyiwa hivyo wako kwenye makundi 2..

1.Wale wenye msimamo mkali dizaini ya kina Lumumba,and the likes..

2.Waliojifanya wanakubalika Sana eg.Bhuto,JF.Kennedy ,

3.Extremely Doctors japo hapa huwa ni Jeshi sio tumbili yeyote..

Kwenye makundi hayo hapo Juu,Samia hayupo..
 
Mkuu!kifupi ni kwamba;-

"Samia jiuzulu Sasa nchi imeshakushinda, ulambaji asali umekuponza"!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!
 
Huwa najiuliza hivi mtu anaposema wananchi wanalalamika huwa anamaanisha wananchi wa wapi na wa maeneo yepi !!?

Niko huku Mpigamiti - liwale watu hawana hizi habari, au unamaanisha wananchi wa mitandaoni ambao Tanzania hawafiki hata milioni 10 out of 60M.,je hawa wanafaa kuwasemea watanzania 50M?

Acha kupotosha umma, Naona masrahi yako yameguswa unakuja kwa mgongo wa wanachi, pambana na Hali yako.


Mitano tena kwa mama samia.
 
Nyie kenge wakati Watu wanapotea (Ben saa nane +azory etc) na maiti kuokotwa kwenye viroba kila siku hamkuona kama nchi ilimshinda malaika wenu.
Mlikuwa mnanengua mkibinua makalio aongezewe miaka, sasa nchi imetulia mnatufokea.

Mama hajiuzulu na mitano mingine inakuja, asiyetaka ahamie Somalia huzuiwi pimbi nyie
 
Kama anapitiaga humu hiko siku ataelewa watu kama hakina Kilatha walikuwa wanamtakia mafanikio kwa kumpa tough love hiyo njia anayo chukua won’t work. Akiendelea nayo muda tu atajikuta hakuna anaemtaka.

Bado la katiba ngoja hiyo rasimu ikamilike 90% ya maoni yatatupwa kama ilivyokuwa kwenye rasimu ya Warioba simply kwa sababu matakwa mengi yanayopigiwa kelele yanategemea other variable being equal, level fulani ya makusanyo ambayo nchi aina kwa sasa au simply ni improvement in supervision of procedures ambazo zipo tayari isipokuwa wahusika are unqualified in managerial position given to them. Therefore the whole thing is waste of taxpayers money.

Yetu macho, kudra za mwenyezi mungu mwisho 2025.
 
Heri nyie walamba asali
 
Anachofeli ni kushindwa kuchota akili za mazuzu na kuruhusu zichotwe na wengine.

Hiki kitu alikiwin mwendazake, alifanikiwa kuwachota wengi mpaka wote wanaomsifia hawakuona baya lake lolote na hii ni kutoka mioyoni mwao kabisa wala sio ushabiki na uchawa, bali aliwachota wakafuata atakacho na kumuona mungu mtu.

Jk yeye alilamba asali na wenzie, wala hakuwachota ni uwezo wako tu wa kulamba asali hata ukitaka mzinga ni wewe tu unachagua wa kitalu kipi na njia thabiti za kuilamba asali yake na yeye anufaike.
Hapa walinufaika wengi sana japo malalamiko pia yalikua meengi ila mengi yalikua danganyatoto tu.

Huyu anautaka uJk wakati huohuo anautaka Ujpm anakata kua JkPm kitu kisichowezekana kirahisi
 
Nimesoma Comment zote 73 na sijaona hata moja iliyojibu HOJA zako,,,,hata hii yangu haina hoja yoyote...

Hii inaonyesha andiko lako lina UKWELI kwa asilimia kubwa sana.....

Acha niendelee kusoma Comment zinazokuja...
 
Vilaza nyie
Ajiuzuru kwa sababu tu hampendi awe Rais?

Magu kuna mambo mengi yalifeli ikiwemo usalama na uhuru wa watu kutoa maoni mbona hamkusema ajiuzuru?
 
Tumekumbwa na balAa kubwa. Accidental pôresidents two times. Mungu atende miujiza.
 
Actions speaks louder than words.

Tuingieni barabarani tumSrilanke
 


Kama ni kweli mbona biashara zimeongezeka, wageni wameongezeka sana mishahara imepanda. Lakini hata siasa zimetulia zaidi. Uchumi umekuwa kwa 5.6% Hivyo unaongea na makundi gani hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…