Ushauri: Rais ajiuzulu, uchaguzi uitishwe

Hii nchi wajinga wengi sana,ata Kingwendu akijipanga vizuri anaweza kuwa Rais.Mama Samia uwezo wake kuongoza nchi ni mdogo.Wewe uliona wapi nchi Uchumi unayumba alafu serikali inatangaza kuongeza pesa za posho za kujikimu safarini,kuruhusu Safari zisizo na tija, kuweka ruzuku ndogo kwenye mafuta ambayo haikidhi,nk.
Mimi namuona kama mtu ambaye amepewa nchi asimamie kwa muda na asifanye chochote until further notice.Kuna mtu ni Rais mstaafu akiwa pamoja na Rosti Maini,Hawa ndiyo wanayumbisha nchi na ndiyo jeuri ya Bush Electrical Engineer Kipara na Msimamizi wa Kibubu cha Taifa kutoka Singida.Ili hii nchi ikae sawa Kuna watu lazima wapotezwe.
 
Watanzania tumekuwa wapole mno na hali inazidi kuwa mbaya tuamke!
 
utakufa mapema kwa roho mbaya.
jitahidi kufanya mazoezi kupunguza presha vinginevyo.....
 
Sijaona hatia yake hadi sasa. Nchi tunaishi kwa amani, hakuna kutishana wala kuuana pasipo sababu. Kama kupanda kwa bei, hata kabla yake sukari ilipanda ikafika hadi 3000, mafuta kupanda ni karibu dunia nzima sio Tz pekee.

Acheni uonevu, mama bado yupo vzr sn ila hali ya uchumi kwa dunia nzima kwa sasa sio poa sana. Kama issue ni wafanyakazi kuongezwa kiasi kidogo cha mshahara naweza sema ni heri yeye aliyeongeza hiyo 20,000 maana kwa miaka 5 nyuma hawakuongezwa hata 100.
 
Mleta mada ni sukuma gang! Unaposema Rais amefeli una uthibitisho gani? Unadai mgao wa umeme? Wapi Tanzania kuna mgao wa umeme saivi? Takwimu zipi zilizotolewa na nani zinasema uchumi wa Tanzania umeshuka? Kuhusu mafuta ya kula, petrol kupanda bei wapi duniani havijapanda? Tuwekee uthibitisho wako!

Hutaki Ridhiwani awe waziri ila makonda kuwa mkuu wa mkoa kwako ilikuwa sawa?
 
Sio kwamba mleta mada uko mbali na kibuyu cha asali?
 
Mzee Pambana na hali, msamiati wa kujiuzuru haupo Afrika, pili Hakuna mtawala yeyeto wa kiafrica anaeweza mletea maendeleo mwafrika
 
Nasubiri kauli yake kwa' hamu. Then We shall know whats up!
 
Mtoa mada una akili kubwa sana na unaona mbali.
Ukweli ni kwamba, kama ungefanyika Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani leo hii kwa haki kabisa mambo kadhaa yangetokea:-

1. Watu wangesusia Uchaguzi.
2. Kama wasingesusia, matokeo yake yangekuwa kama ifuatavyo;
(i) Rais angepata kura chini ya 15%
(ii) Zaidi 85% ya Wabunge waliopo sasa wangefyekwa.
 
Kelele nyingi kwa sababu hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Huu UPUMBAVU. Watu hawalalamikii Dini, Jinsi au Uzanzibar.
Kinacholalamikiwa ni utendaji hafifu wa Viongozi.
 
Gladiator4440 , Hongera sana kwa bandiko hili. Hakika limetulia mno. Ingekuwa ulaya ungefanikiwa kuwashawishi waachie ngazi. Shida hapa bongo.
 
Kumbe haya mambo ni hujuma na ilikuwa ni matayarisho ya kudai hilo lililotajwa hapo juu. Rais Samia kaza kamba.Usiachie wahuni wakuchafue. Shida ya umeme na mengine ni hujuma.Ondoa wajinga wajinga wote.Usikubali kulinganishwa na Makufuli wala kushusshwa hadhi kwa kisingizio cha mtangulizi wako.Wewe ni wewe na unaweza kuliko wao. Hatujaona nafuu yoyote kabla yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…