USHAURI: Rais nikuombe usihalalishe kupanda kwa bei kirahisi hadharani unahujumiwa sana

USHAURI: Rais nikuombe usihalalishe kupanda kwa bei kirahisi hadharani unahujumiwa sana

Mh. Rais Samia kurasimisha kupanda bei hadharani kunahamasisha wafanya biashara kupandisha bei hata vitu visivyo hitaji kupandishwa gharama tena wanafanya hivyo kwa makusudi kabisa

Nikuombe mama usipende kuhalalisha hili la bidhaa kupanda bei hadharani kwa kauli na hasa ukizingatia wewe ni rais wa nchi na kiongozi mkuu, kila kauli yako ina impact kubwa sana katika utekelezaji na wakati huo huo unasalitiwa sana kuhusu hilo, wananchi wanaumizwa sana hilo.

Nikutonye jambo mama:
Kuna mawaziri wako hapo unawaamini sana ila wapo na motives za kimya kimya za urais 2025 na wanakuhadaa na wana jikusanyia pesa za hiyo motives yao na hawana uchungu wowote na watanzania kwa sasa kwa sababu wanajua wanacho kifanya.

Mama stuka umezungukwa na mafisi wanao jifanya washauri wako na watu wema kwako nikuombe pitia upya watu wako wa karibu tena wapitie kwa jicho pevu unless uwe hauna mpango wa kuingia tena kwenye kinyanganyiro cha urais 2025.
kwann msimwambie tuu aache kupangiwa baraza la mawaziri pamoja na teuzi hizo anazofanya maana woote hao ni msoga line. pia kuna mtu anaitwa Msanii kasema jambo la ukweli sana kwamba hao wateule wake wanamuharibia sana huku nyumbani. Ila pia mkikutana nae muulizeni yule #MWANAMWEMAWAAFRICA ndio siku hizi kawa #SIMBAWAYUDA.
 
Back
Top Bottom