Ushauri: Rais Samia apumzike Urais 2025


Raisi Samia agombee kama humtaki pigia kura mwingine lakini kumuomba mtu kupumzika sio demokrasia
 
Mimi mtazamo wangu ni CCM ipumzike tu asee maana ndio washauri wa mama
 
Nakubaliana na wewe. Lakini naona umeamua kutumia lugha laini ya kumbembeleza tu badala umwambie kwa lugha kavu kabisa ili aelewe kwa haraka na kwa wepesi...

Ukweli ni kuwa ubora wa kitu haupimwi kwa mwonekano wake. Hatuwezi kuupima ubora wa u-Rais wa Samia Suluhu kwa kigezo cha "uadilifu" au kutokuwa na "kashfa" kwa sababu kama kipimo ni hicho, wako wengi bora kwa kutumia kigezo hicho lakini hawana uwezo wa kuwa viongozi wakuu wa nchi hii..

Kipimo cha Rais bora ni MATOKEO ya uongozi wake ktk jamii anayoingoza. Umetaja maeneo mengi she failed spectacularly ili ku - deliver. I agree with you. And for that case, huyu si Rais bora kama ambavyo hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa Rais bora kwa vipimo vyote...!

Ndo kusema kuwa, kwa lugha ya kueleweka ilipaswa kumwambia Rais Samia Suluhu kuwa hajawahi na hawawezi kuwa Rais bora kwa sababu kuu tatu au nne;

1. NI MWANAMKE. Hii nchi bado haijawa tayari kuongozwa na mwanamke. Na pengine ni sawa kusema, mwanamke si tu hawezi bali hapaswi kuongoza nchi ambamo ndani yake kuna wanaume. Hii ni nature na ni asili tangu kuumbwa ulimwengu huu..!

2. NI RAIA WA NCHI/TAIFA JINGINE: Ni mbaya sana kwa raia wa taifa jingine kuwa kiongozi wa nchi jingine kuiongoza. Yaani Watanganyika ni kana kwamba sisi sote ni wajinga na wapumbavu tu kuruhusu hili. Mimi nasema hapana, si mjinga wala mpumbavu. Ndio maana nasema...

Na tafadhali mtu asilete wala kuingiza hoja ya muungano hapa. Kwa sababu, tulionao sisi si muungano bali ni kitu kingine kilichotengenezwa kwa hila na baadhi ya viongozi wenye nia ovu. Ndoa ya kulazimishwa haijawahi kuwa ndoa bali ni utumwa tu...!!

3. HANA KIPAWA (TALENT) CHA UONGOZI. Ukiachilia mbali ishu ya kuwa mwanamke halafu asiye mzawa wa taifa la Tanganganyika, hata tuseme tupotezee tu hayo, lakini anapwaya big time kwenye hili...

4. NI ZAO LA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM. Ukiachilia mbali hayo ya juu, hili ndilo kubwa zaidi...

Honestly, kwa sasa hakuna chema chaweza kutoka huku kwa sasa. Muda wa CCM kutoa uongozi wa taifa ili kulipeleka mbele umekwisha, haupo. Wamekwisha kuzeeka na maarifa na akili nazo zimekwisha expire completely...

CCM ndiyo mama na baba aliyezaa kila mabaya ya taifa hili ambayo yalishageuka kuwa vikwazo (obstacles) vya maendeleo ya nchi hii...

Very unfortunately, ni kuwa wanai - embrace mifumo hii ya hovyo na iliyo kikwazo cha MAFANIKIO na USTAWI wa jamii za Watanganyika..

Badala yake, mifumo hii ya ovyo imekuwa imekuwa ikitumiwa na watawala kujinufaisha nayo binafsi na ndiyo maana wako tayari hata kunywa (kumwaga) damu za watu so long as wanaendelea kutawala...

Kiongozi bora ni yule anayesoma mapungufu haya ya kimfumo na kuamua kuyashughulikia na kuyaondoa kabisa...

Huyu mwanamke HAWEZI na kwa hiyo SI KIONGOZI BORA na kwa sababu hizo nne hapo juu na zingine nyingi, mwambie boldly kwa lugha kavu kabisa kuwa, ASIJARIBU KABISA KUTAKA KURUDIA KUSHIKA NAFASI YA U RAIS by 2025 kama atafika...!!
 
Kama ni hivyo kwanini unatoa povu kwa Mtoa mada kupendekeza CCM wamteue Raisi mwingine?
Umefananisha maandishi ya mtu mwingine na mimi. Rudia tena kusoma michango yangu kama nimepinga. Msimamo wangu: rais wa sasa hana uwezo. Tufumue mfumo, tuchague rais mwenye uwezo.
 
Huo mtaa unaishi wewe itakua ni kuzimu.
Huoni hata namna mh Rais wetu anavyopokelewa na umati mkubwa wa watu akiwa katika ziara yoyote Ile, mh Rais wetu anakubalika na kupendwa Sana, uongozi wake umekonga na kugusa Sana mioyo ya watanzania
 
Hukumbuki kitu. Ilikuwa 2012, na hakuna aliyeibeza sensa. Bajeti ya wizara ya mifugo na uvuvi ni chini ya bilion 500 kwa mwaka mzima lkn sensa ya watu na makazi inayochukua mwezi mmoja tu mchakato wake kukamilika ni bilion 600+
Kwahiyo wewe unayekumbuka kitu tujuze.
 
Tatizo lenu neno uadilifu mnalichukua ndivyo sivyo mfano , mtu akiiba Mali ya uma unatakiwa utumie sheria kumpeleka kunakostahiki , kitendo cha kuendelea kumuangalia hawezi tena kuwa muadilifu
 
Kwa nini hukumshauri hayati Rais Magufuli asigombee,2020?
Au ulipenda alipokuwa ananyanyasa na kuua watu?.
 
Katiba yenywewe ya sasa huifahamu hata inataka nini ndio uje udai mpya?
 
UTARATIBU WETU SISI CCM KILA RAIS AMALIZE MIAKA 10
BADO MAMA ANAUPIGA MWINGI[emoji1787][emoji1787]
 

Mlamba asali aliyenogewa na kuziba masikio anaposhauriwa kuwa ametosheka.
 
Umemaliza anaeweza kusikia na aelewe ...ccm ni mafala Sana bado 25 yataleta huyu huyu halafu tunarudi square one 10 years nothing done. Muda hauchezewi heshimu muda limeshakua taifa la hovyo Sana hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…