macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Siyo hii mkuuKwa Tume ipi ya Uchaguzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo hii mkuuKwa Tume ipi ya Uchaguzi?
Jambo muhimu ni uchaguzi huru na wa haki. Atoke CCM au upinzani nitaridhika.pendekeza Wewe kiongozi yupi unataka achukue nchi tofauti na CCM?
Kama ni hivyo kwanini unatoa povu kwa Mtoa mada kupendekeza CCM wamteue Raisi mwingine?Jambo muhimu ni uchaguzi huru na wa haki. Atoke CCM au upinzani nitaridhika.
Kwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 kama analo wazo la kuendelea kutuongoza.
Kwanza niseme wazi Mama ni moja ya Marais bora kabisa kuwai kutokea katika taifa letu. Sijawai kusikia kashifa yeyote ya wizi na ufisadi kutoka kwake, ni Rais mwadilifu kweli kweli.
Ila shida yake ipo kwenye kuchukua hatua juu ya watu wanaomzunguka na kufanya mambo ya hovyo katika utawala wake.
Naunga mkono michakato yote ya kodi inayoanzishwa kufanyika Ila shida ipo kwenye matumizi yake ni jinsi gani tunaitumia hiyo pesa inayopatikana kwenye kodi, mfano serikali kwa ujinga imetumia bilioni 629 kwenye zoezi la sensa pekee huu ni ufisadi.
Zoezi lenyewe watu wengi bado hawajahesabiwa mpaka sasa. Leo ni siku ya 6 ndani ya zile siku saba zilizopangwa maana yake kesho ni siku ya mwisho. Zoezi limegubikwa na wizi na ufisadi wakati zoezi lingewatumia mabalozi wa nyumba kumi tu na mwenyekiti wa kijiji lingekuwa limeshakamilika kwa 100%.
wangetumia karatasi za kawaida kujaza taarifa za watu, then kwenye kata ndio wangeweka mfumo wa TEHAMA wa kuingiza zile taarifa kwa kutumia tablet tungefanikiwa kwa 100%
Kukwama kwa zoezi la katiba na tume huru ya uchaguzi kabla ya 2025, ili nalo ni donda ndugu. Watu wanakushauri kwamba utashindwa uchaguzi 2025 ukileta sasa Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Wanakudanganya ungeweka mazingira sawa ya uchaguzi na katiba lazima watu wangukupigia kura 2025 ili kulipa mema uliyowafanyia hata kama wasingekuchagua mema yako yangeandikwa duniani na mbinguni.
Swala ya mfumuko wa bei ndio bomu kuu, watu hawakatai kwamba vitu vinapanda duniani lakini watu wanachokataa ni kwanini vitu muhimu ndio vipande tu kwani vitu vingine ambavyo havipandi vitu havisafirishwi?
Mfano unakuta kiberiti kinauzwa shilingi 100 Tanzania nzima hakipandi bei zaidi ya miaka 10, wakati na chenyewe kinatumia mafuta kuzalishwa. Ila Ngano, mafuta ya kula na sembe inapanda kila muda kila mwaka.
Utasikia usafirishaji, kwanini mafuta ya alizeti yanayozalishwa Rukwa na Singida hapo hapo kiwandani ukiyafuata yana bei ile ile kama unayoinunua Dar es salaam?
Mh. Rais hapa tukubaliane kwamba umeshindwa ku control inflation kwa sasa, mwezi umepita mafuta yanashuka kila siku kwenye soko la dunia kwanini sisi mafuta yanazidi kupanda tu?
Kwanini uwashughulikii wafanyabiashara Ili waache ulafi wa kutaka faida kubwa?
Tofauti yetu na Zanzibar iko wapi, kwanini Zanzibar kila kitu kinachoingizwa kwenye visiwa hivyo bei zake zipo chini, hata bei zao za mafuta zipo chini kuliko sisi au ndio kusema Zanzibar ni taifa tofauti na sisi?
Basi Kama hivyo Rais Mwinyi ana uwezo wa kupambana na mfumuko wa bei vile, bora tumchukue aje atusaidie huku bara baada ya 2025.
Mambo ni mengi, Ila naomba nikushauri kama unahitaji heshima ya milele basi pumzika 2025 aje mtu mwingine afanye kazi ya Urais. Inawezekana watu wanakushauri vibaya kwa sababu haukuchaguliwa na wananchi ili kukuchonganisha kwa watanzania.
Mimi mtazamo wangu ni CCM ipumzike tu asee maana ndio washauri wa mamaKwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 kama analo wazo la kuendelea kutuongoza.

Nakubaliana na wewe. Lakini naona umeamua kutumia lugha laini ya kumbembeleza tu badala umwambie kwa lugha kavu kabisa ili aelewe kwa haraka na kwa wepesi...Kwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 kama analo wazo la kuendelea kutuongoza.

Umefananisha maandishi ya mtu mwingine na mimi. Rudia tena kusoma michango yangu kama nimepinga. Msimamo wangu: rais wa sasa hana uwezo. Tufumue mfumo, tuchague rais mwenye uwezo.Kama ni hivyo kwanini unatoa povu kwa Mtoa mada kupendekeza CCM wamteue Raisi mwingine?
Tutabadilisha Katiba mpya,muhula wa kwanza unaanza 2025Haimruhusu kugombea tena mwaka 2030
Huoni hata namna mh Rais wetu anavyopokelewa na umati mkubwa wa watu akiwa katika ziara yoyote Ile, mh Rais wetu anakubalika na kupendwa Sana, uongozi wake umekonga na kugusa Sana mioyo ya watanzaniaHuo mtaa unaishi wewe itakua ni kuzimu.
Kwahiyo wewe unayekumbuka kitu tujuze.Hukumbuki kitu. Ilikuwa 2012, na hakuna aliyeibeza sensa. Bajeti ya wizara ya mifugo na uvuvi ni chini ya bilion 500 kwa mwaka mzima lkn sensa ya watu na makazi inayochukua mwezi mmoja tu mchakato wake kukamilika ni bilion 600+
Tatizo lenu neno uadilifu mnalichukua ndivyo sivyo mfano , mtu akiiba Mali ya uma unatakiwa utumie sheria kumpeleka kunakostahiki , kitendo cha kuendelea kumuangalia hawezi tena kuwa muadilifuMkuu technically iko hivi;
1. Ni kweli mama ni kiongozi muadilifu sana na mpenda haki. Aidha, ni mara chache sana kusikia kiongozi toka zbar asiye mwadilifu.
2. Kuwa na kiongozi mmoja bora peke yake hakutoshi kufanya mambo yaende sawa. Kutegemea mtu mmoja pekee ili kila kitu kiende sawa, ni sawa na kutegemea injini zuri kwenye gari yenye tairi zenye pancha.
3. Kuhusu kuchukulia watu hatua; unapaswa kuelewa kuwa nchi ina sheria lakini pia kuna actors tofauti tofauti waliopewa majukumu tofauti tofauti na mengine ya kitaalamu. Ni kweli kuna maeneo yenye matatizo ila kufikiri kama Rais anaweza kuingilia kila kitu na kuface mtu mmoja mmoja na kumchukulia hatua sio sahihi. Kiongozi mkubwa kazi yake ni kutoa maelekezo sahihi.
4. Kuhusu mfumuko wa bei; kabla ya kupendekeza solution kwenye jambo lolote, ni muhimu sana kuelewa chanzo sahihi cha tatizo.
Mwisho, ili kila kitu kiwe sawa, ni muhimu kila mtu atekeleze wajibu wake kulingana na uwezo wake na sehemu alipo. Tukiwa na watu wengi wanaofanya hivyo, ndio tutaweza kupiga hatua kwa haraka.
Vinginevyo ni sawa na kuwa na kocha mzuri na wachezaji hawana mbio, tutabakia kulaumu makocha tu kumbe ishu sio kocha bali wachezaji.
Kwa nini hukumshauri hayati Rais Magufuli asigombee,2020?Kwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 kama analo wazo la kuendelea kutuongoza.
Kwanza niseme wazi Mama ni moja ya Marais bora kabisa kuwai kutokea katika taifa letu. Sijawai kusikia kashifa yeyote ya wizi na ufisadi kutoka kwake, ni Rais mwadilifu kweli kweli.
Ila shida yake ipo kwenye kuchukua hatua juu ya watu wanaomzunguka na kufanya mambo ya hovyo katika utawala wake.
Naunga mkono michakato yote ya kodi inayoanzishwa kufanyika Ila shida ipo kwenye matumizi yake ni jinsi gani tunaitumia hiyo pesa inayopatikana kwenye kodi, mfano serikali kwa ujinga imetumia bilioni 629 kwenye zoezi la sensa pekee huu ni ufisadi.
Zoezi lenyewe watu wengi bado hawajahesabiwa mpaka sasa. Leo ni siku ya 6 ndani ya zile siku saba zilizopangwa maana yake kesho ni siku ya mwisho. Zoezi limegubikwa na wizi na ufisadi wakati zoezi lingewatumia mabalozi wa nyumba kumi tu na mwenyekiti wa kijiji lingekuwa limeshakamilika kwa 100%.
wangetumia karatasi za kawaida kujaza taarifa za watu, then kwenye kata ndio wangeweka mfumo wa TEHAMA wa kuingiza zile taarifa kwa kutumia tablet tungefanikiwa kwa 100%
Kukwama kwa zoezi la katiba na tume huru ya uchaguzi kabla ya 2025, ili nalo ni donda ndugu. Watu wanakushauri kwamba utashindwa uchaguzi 2025 ukileta sasa Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Wanakudanganya ungeweka mazingira sawa ya uchaguzi na katiba lazima watu wangukupigia kura 2025 ili kulipa mema uliyowafanyia hata kama wasingekuchagua mema yako yangeandikwa duniani na mbinguni.
Swala ya mfumuko wa bei ndio bomu kuu, watu hawakatai kwamba vitu vinapanda duniani lakini watu wanachokataa ni kwanini vitu muhimu ndio vipande tu kwani vitu vingine ambavyo havipandi vitu havisafirishwi?
Mfano unakuta kiberiti kinauzwa shilingi 100 Tanzania nzima hakipandi bei zaidi ya miaka 10, wakati na chenyewe kinatumia mafuta kuzalishwa. Ila Ngano, mafuta ya kula na sembe inapanda kila muda kila mwaka.
Utasikia usafirishaji, kwanini mafuta ya alizeti yanayozalishwa Rukwa na Singida hapo hapo kiwandani ukiyafuata yana bei ile ile kama unayoinunua Dar es salaam?
Mh. Rais hapa tukubaliane kwamba umeshindwa ku control inflation kwa sasa, mwezi umepita mafuta yanashuka kila siku kwenye soko la dunia kwanini sisi mafuta yanazidi kupanda tu?
Kwanini uwashughulikii wafanyabiashara Ili waache ulafi wa kutaka faida kubwa?
Tofauti yetu na Zanzibar iko wapi, kwanini Zanzibar kila kitu kinachoingizwa kwenye visiwa hivyo bei zake zipo chini, hata bei zao za mafuta zipo chini kuliko sisi au ndio kusema Zanzibar ni taifa tofauti na sisi?
Basi Kama hivyo Rais Mwinyi ana uwezo wa kupambana na mfumuko wa bei vile, bora tumchukue aje atusaidie huku bara baada ya 2025.
Mambo ni mengi, Ila naomba nikushauri kama unahitaji heshima ya milele basi pumzika 2025 aje mtu mwingine afanye kazi ya Urais. Inawezekana watu wanakushauri vibaya kwa sababu haukuchaguliwa na wananchi ili kukuchonganisha kwa watanzania.
Fuatilia jambo upate uhakika kabla ya kundika hoja, unalisha watu matango poriMimi ni mlala hoi wewe mlala hio unazijua hizo sababu si uziweke hapa?

Mkuu technically , sisi tuliojaaliwa jicho la tatu, tunakuelewa sana!. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje MwanamkeKwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 kama analo wazo la kuendelea kutuongoza.
Umemaliza anaeweza kusikia na aelewe ...ccm ni mafala Sana bado 25 yataleta huyu huyu halafu tunarudi square one 10 years nothing done. Muda hauchezewi heshimu muda limeshakua taifa la hovyo Sana hiliNakubaliana na wewe. Lakini naona umeamua kutumia lugha laini ya kumbembeleza tu badala umwambie kwa lugha kavu kabisa ili aelewe kwa haraka na kwa wepesi...
Ukweli ni kuwa ubora wa kitu haupimwi kwa mwonekano wake. Hatuwezi kuupima ubora wa u-Rais wa Samia Suluhu kwa kigezo cha "uadilifu" au kutokuwa na "kashfa" kwa sababu kama kipimo ni hicho, wako wengi bora kwa kutumia kigezo hicho lakini hawana uwezo wa kuwa viongozi wakuu wa nchi hii..
Kipimo cha Rais bora ni MATOKEO ya uongozi wake ktk jamii anayoingoza. Umetaja maeneo mengi she failed spectacularly ili ku - deliver. I agree with you. And for that case, huyu si Rais bora kama ambavyo hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa Rais bora kwa vipimo vyote...!
Ndo kusema kuwa, kwa lugha ya kueleweka ilipaswa kumwambia Rais Samia Suluhu kuwa hajawahi na hawawezi kuwa Rais bora kwa sababu kuu tatu au nne;
1. NI MWANAMKE. Hii nchi bado haijawa tayari kuongozwa na mwanamke. Na pengine ni sawa kusema, mwanamke si tu hawezi bali hapaswi kuongoza nchi ambamo ndani yake kuna wanaume. Hii ni nature na ni asili tangu kuumbwa ulimwengu huu..!
2. NI RAIA WA NCHI/TAIFA JINGINE: Ni mbaya sana kwa raia wa taifa jingine kuwa kiongozi wa nchi jingine kuiongoza. Yaani Watanganyika ni kana kwamba sisi sote ni wajinga na wapumbavu tu kuruhusu hili. Mimi nasema hapana, si mjinga wala mpumbavu. Ndio maana nasema...
Na tafadhali mtu asilete wala kuingiza hoja ya muungano hapa. Kwa sababu, tulionao sisi si muungano bali ni kitu kingine kilichotengenezwa kwa hila na baadhi ya viongozi wenye nia ovu. Ndoa ya kulazimishwa haijawahi kuwa ndoa bali ni utumwa tu...!!
3. HANA KIPAWA (TALENT) CHA UONGOZI. Ukiachilia mbali ishu ya kuwa mwanamke halafu asiye mzawa wa taifa la Tanganganyika, hata tuseme tupotezee tu hayo, lakini anapwaya big time kwenye hili...
4. NI ZAO LA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM. Ukiachilia mbali hayo ya juu, hili ndilo kubwa zaidi...
Honestly, kwa sasa hakuna chema chaweza kutoka huku kwa sasa. Muda wa CCM kutoa uongozi wa taifa ili kulipeleka mbele umekwisha, haupo. Wamekwisha kuzeeka na maarifa na akili nazo zimekwisha expire completely...
CCM ndiyo mama na baba aliyezaa kila mabaya ya taifa hili ambayo yalishageuka kuwa vikwazo (obstacles) vya maendeleo ya nchi hii...
Very unfortunately, ni kuwa wanai - embrace mifumo hii ya hovyo na iliyo kikwazo cha MAFANIKIO na USTAWI wa jamii za Watanganyika..
Badala yake, mifumo hii ya ovyo imekuwa imekuwa ikitumiwa na watawala kujinufaisha nayo binafsi na ndiyo maana wako tayari hata kunywa (kumwaga) damu za watu so long as wanaendelea kutawala...
Kiongozi bora ni yule anayesoma mapungufu haya ya kimfumo na kuamua kuyashughulikia na kuyaondoa kabisa...
Huyu mwanamke HAWEZI na kwa hiyo SI KIONGOZI BORA na kwa sababu hizo nne hapo juu na zingine nyingi, mwambie boldly kwa lugha kavu kabisa kuwa, ASIJARIBU KABISA KUTAKA KURUDIA KUSHIKA NAFASI YA U RAIS by 2025 kama atafika...!!