Ushauri: Rais Samia, kwenye teuzi za DED's na DAS's ifae sana watoke kwa Maafisa Elimu Kata (AEK's) wenye sifa wapo wengi

Ushauri: Rais Samia, kwenye teuzi za DED's na DAS's ifae sana watoke kwa Maafisa Elimu Kata (AEK's) wenye sifa wapo wengi

Paskali kapigiwa debe humu uDC holla.
Leslie Mbena humu kajipost na CV na email na namba za simu, naye katoka kapa.

Wakiukosa na huu UDAS basi, wakaoge kilingeni kwa Mshana Jr .

Lemutuz inaeleweka ni above 60.😂

Everyday is Saturday...............................😎
 
Mkuu wangu hii sentensi ni general sana

Elimu yake isiwe ya kuunga unga una maanisha nini?
Civil servant lazima awe anaunga unafanya kazi unaenda kusoma unafanya tena kazi unaenda kusoma hawa wana uzoefu kulikoni hao wa 'one way'

Pili, sitegemei kuwa PhD inatolewa Udsm peke yake nchi hii. Wapo baadhi ninaowajua ni PhD candidates na Masters sio Udsm tu na vyuo vingine

Mwisho lakini si kwa ulazima, nadhani wapimwe mchango wao kwenye utumishi wa umma na kuonekana wanafan wateuliwe na sio vimemo weee kila uchao

Serikali hasa Ummy Mwalimu anajua honourable contribution kwenye maendeleo kutoka kwa hawa watu

Nadhani time is due and the available vaccant is theirs
Elimu ya kuunga unga maana yake ni Elimu ya hapa na pale,form 4 tu peke yake unakuta ana vyeti sita
 
Haahaa kuungaunga ndo nn mkuu?
F4 anakula 4, anaenda Cheti grade A, anaristi F4, anaenda diploma ya ualimu baada ya kufanya mitihani masomo matatu ya kidato cha sita anapata E mbili na F moja. A kwenda chuo kikuu anaanza bachelor ,anarudi kazini anaenda Master anarudi kazini, anaenda PhD.
 
Haahaa kuungaunga ndo nn mkuu?
F4 anakula 4, anaenda Cheti grade A, anaristi F4, anaenda diploma ya ualimu baada ya kufanya mitihani masomo matatu ya kidato cha sita anapata E mbili na F moja. A kwenda chuo kikuu anaanza bachelor ,anarudi kazini anaenda Master anarudi kazini, anaenda PhD
Elimu ya kuunga unga maana yake ni Elimu ya hapa na pale,form 4 tu peke yake unakuta ana vyeti sita
"Ongeza sauti mkuu"
 
Salaam!

HALMASHAURI ndio Ofisi pekee zinazotekeleza Sera na Utendaji wa siku kwa siku wa serikali hasa zile za Mitaa. Kiukweli Maafisa Elimu Kata ndio wanayo mawanda mapana sana kwenye kusimamia shughuli za serikali anzia taaluma kwenye kata zao, miradi ya ujenzi wa majengo ya serikali na kuhamasisha Maendeleo huko Katani na uzoefu wa kushawishi wananchi kwenye Maendeleo kitu ambacho ni Adimu sana kwa sasa.

Uzoefu huo adimu sana wanajua namna ya kusimamia hasa miradi, waajiriwa wa serikali (walimu) shule za Msingi na Sekondari na mwisho ni ule uzoefu walionao kukaa hata maeneo ya vijijini kabisa ambapo Maafisa wengine hawawezi. Hawa ni field officers kweli kweli.

Tatizo la kuwa Maafisa Elimu Kata ni kukosekana kwa Magodfather (tabia inayoota mizizi nchi hii) na watu wa kuwasemeasemea. Lakini kama Madam SSH atapitia uzi huu, hakika hutojuta kuwachagua maafisa hawa kwani wana uwezo mkubwa na wana nidhamu sana za kiutumishi. Kwahiyo kazi ni yake kuwaibua ili wamsaidie kazi na hatimae HALMASHAURI zipae kimaendeleo.

Hivyo, Ofisi za teuzi zikiwa makini Maafisa Elimu Kata ni 'recruiting post' kwa nafasi yoyote ya DED au DAS kwenye ngazi ya halmashauri.

Kila la kheri Madam SSH!
Katika nafasi ambazo serikali inapoteza fedha za bure kuwalipa posho ni hawa watu binafsi Kama mdau kwenye sekta ya elimu sioni impact yao kwenye taaluma.
 
Kama kuna afisaelimu Kata mwenye PhD ya chuo kikuu Cha DSM anyooshe kidole na aseme Yuko Kata gani Tanzania. Tutampigia debe ateuliwe. Pia elimu yake asiwe ameunga unga.
Huwezi kumpata Hawa maafisa elimu kata wengi walikua walimu wa primary wakashtuka mapema wakaenda kujiendeleza uwezo mdogo sio Kama jamaa anavyojinadi hapo juu.
 
Mkuu wangu hii sentensi ni general sana

Elimu yake isiwe ya kuunga unga una maanisha nini?
Civil servant lazima awe anaunga unafanya kazi unaenda kusoma unafanya tena kazi unaenda kusoma hawa wana uzoefu kulikoni hao wa 'one way'

Pili, sitegemei kuwa PhD inatolewa Udsm peke yake nchi hii. Wapo baadhi ninaowajua ni PhD candidates na Masters sio Udsm tu na vyuo vingine

Mwisho lakini si kwa ulazima, nadhani wapimwe mchango wao kwenye utumishi wa umma na kuonekana wanafan wateuliwe na sio vimemo weee kila uchao

Serikali hasa Ummy Mwalimu anajua honourable contribution kwenye maendeleo kutoka kwa hawa watu

Nadhani time is due and the available vaccant is theirs
Mkuu Kama unewahi kurudia mtihani wa level yoyote ndo ukapita basi ndo kuunga unga uko
 
F4 anakula 4, anaenda Cheti grade A, anaristi F4, anaenda diploma ya ualimu baada ya kufanya mitihani masomo matatu ya kidato cha sita anapata E mbili na F moja. A kwenda chuo kikuu anaanza bachelor ,anarudi kazini anaenda Master anarudi kazini, anaenda PhD

"Ongeza sauti mkuu"
Tatizo ni nini hapo?

Huu ni wivu wa kawaida tu!!!

Kama hana sifa ya kusoma Chuo kikuu asingedahiliwa. Ukiona kadahiliwa ujue sifa anazo

Mwisho, kila mtu humu duniani ana namna yake ya kupata Elimu na kamwe hatuwezi kufanana
 
Kwenye thread yangu nimelizingatia sana hilo

Elimu na swala la Msingi

Maana ya Afisa Elimu Kata maana yake lazima aanzie DEGREE na kuendelea

Wapo Maafisa Elimu kata wana Masters mpaka PhD

Tatizo ni kutotambuliwa kwa hawa jamaa ila uwezo wanao na ndio 'hub' huko katani kwenye maendeleo

Mtu anaeweza kuendesha kata kimaendeleo hawezi kushindwa kuendesha HALMASHAURI

Wanao weredi mkubwa sana ila uzoefu na elimu zao ndivyo vizingatiwe naamini watamsaidia sana Rais

Kimsingi wana 'Peculiar Character (PC)'
i support you lakini sio kila mweye degree au masters au hata phd ni holder wa kweli, katika watu wengi kuna weye hizo degrees ila wako nazo tu kwa makaratasi na sio kwa kichwa, nikuulize waziri wa finance nchemba angalia ile uteuzi wa kina hamisa mobeto, je degrees za mwigulu ni za kweli???????
 
Back
Top Bottom