Ushauri: Rais Samia, kwenye teuzi za DED's na DAS's ifae sana watoke kwa Maafisa Elimu Kata (AEK's) wenye sifa wapo wengi

i support you lakini sio kila mweye degree au masters au hata phd ni holder wa kweli, katika watu wengi kuna weye hizo degrees ila wako nazo tu kwa makaratasi na sio kwa kichwa, nikuulize waziri wa finance nchemba angalia ile uteuzi wa kina hamisa mobeto, je degrees za mwigulu ni za kweli???????
Mkuu katika hili sina research yoyote ya kutosha kukujibu

Hivyo sina haki ya kuzungumza
 
Walimu hawafai hata kidogo, Wana roho mbaya mno wakipata madaraka mawazo yao yamejaa umaskini mtupu, waendelee kufundisha wanafunzi na kusubiria madaraja tu. Maafisa elimu kata ndio wanafiki asikwambie mtu, in short ualimu haufai kabisa hata kama una akili timamu ukiwa mwalimu tu unakuwa poyoyo wakupigwa hata makofi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu uwe una fikiri Kwanza then unaandika
 
Ummy amewadanganya baadhi ya wakuu wa shule Tanga Jiji kama atawapigia chapuo.
Yupo mkuu wa shule mmoja aliambiwa aende Kigoma kwenye kampeni za uchaguzi mdogo atampigia pande lakini kwenye u_DC jamaa hajaamini amepatwa na kihoro
 
Mkuu katika hili sina research yoyote ya kutosha kukujibu

Hivyo sina haki ya kuzungumza
no no no inever wanted you to even answer me pls kuhusu nchemba, but ukiangalia mtu hujulikana kaa ana elimu kupitia yale maamuzi anafanya, kubuka magufuri alijiita phd holder, angalia zile alikuwa anafanya hata wa la 7 ni better, hope my point is taken sir, thanks
 
i support you lakini sio kila mweye degree au masters au hata phd ni holder wa kweli, katika watu wengi kuna weye hizo degrees ila wako nazo tu kwa makaratasi na sio kwa kichwa, nikuulize waziri wa finance nchemba angalia ile uteuzi wa kina hamisa mobeto, je degrees za mwigulu ni za kweli???????
Ongopa msomi anayesomea PhD akiwa mbunge au waziri. Hapo pesa inaongea. Kuna wenye Masters, thesis imeandikiwa makerere au Uganda, ikaja kusahihishiwa Tanzania, na mteja hajui kilichoandikwa kwenye hiyo thesis. Na degree anapewa, anajiita msomi .
 
Mkuu Kama unewahi kurudia mtihani wa level yoyote ndo ukapita basi ndo kuunga unga uko
Usikariri mkuu!!

Unaporudia kitu chochote sio lazima iwe mitihani tu inamaanisha unataka ufanye kwa Ufasaha

Walioweka nafasi ya kurudia mitihani fulani fulani sio wajinga na ndio maana mitihani mingine hairudiwi katika kipindi chote mfano mitihani ya darasa la saba

Unaweza usirudie mitihani ukadhani wewe ni genius lakini ukakuta mambo mengine unarudia kila kukicha na wenzako hawarudii kama wewe mfano mzuri ni kurudia rudia kuoa, uchumi mbaya, kuomba Ajira kila uchao kwa watu wenye akili waliotengeneza ajira, kwenda kufanya kazi za watu kama kibarua na madegree yako n.k

Akili sio kufaulu mitihani peke yake mkuu
 
no no no inever wanted you to even answer me pls kuhusu nchemba, but ukiangalia mtu hujulikana kaa ana elimu kupitia yale maamuzi anafanya, kubuka magufuri alijiita phd holder, angalia zile alikuwa anafanya hata wa la 7 ni better, hope my point is taken sir, thanks
Mkuu nimepokea

Ila simuhukumu ila matendo ya waziri ni zaidi ya hukumu
 
Walimu hawafai hata kidogo, Wana roho mbaya mno wakipata madaraka mawazo yao yamejaa umaskini mtupu, waendelee kufundisha wanafunzi na kusubiria madaraja tu. Maafisa elimu kata ndio wanafiki asikwambie mtu, in short ualimu haufai kabisa hata kama una akili timamu ukiwa mwalimu tu unakuwa poyoyo wakupigwa hata makofi 🤣🤣🤣
Watoto wako wanafundishwa na Walimu wa Nchi hii hii?
 
Kwenye thread yangu nimelizingatia sana hilo

Elimu na swala la Msingi

Maana ya Afisa Elimu Kata maana yake lazima aanzie DEGREE na kuendelea

Wapo Maafisa Elimu kata wana Masters mpaka PhD

Tatizo ni kutotambuliwa kwa hawa jamaa ila uwezo wanao na ndio 'hub' huko katani kwenye maendeleo

Mtu anaeweza kuendesha kata kimaendeleo hawezi kushindwa kuendesha HALMASHAURI

Wanao weredi mkubwa sana ila uzoefu na elimu zao ndivyo vizingatiwe naamini watamsaidia sana Rais

Kimsingi wana 'Peculiar Character (PC)'
Unasema Afisa elimu kata ni hub ya Maendeleo huko kwenye Kata are you serious?

Unaelewa Kazi ya Afisa Maendeleo Kata (CDO)? na hawa wote wako chini ya Mtendaji Kata(WEO).

Mtu anayefanyakazi sawa na Mkurugenzi ni Mtendaji Kata kama hujui maana huyu ndo msimamizi Mkuu wa Maendeleo Katani na Mkuu wa watumishi wote kwenye Kata yake.
 
Hata kama mwalimu au afisaelimu Kata ana PhD bosi wake ni mtendaji wa Kata regardless mtendaji wa Kata ana elimu gani.
 
Unasema Afisa elimu kata ni hub ya Maendeleo huko kwenye Kata are you serious?

Unaelewa Kazi ya Afisa Maendeleo Kata (CDO)? na hawa wote wako chini ya Mtendaji Kata(WEO).

Mtu anayefanyakazi sawa na Mkurugenzi ni Mtendaji Kata kama hujui maana huyu ndo msimamizi Mkuu wa Maendeleo Katani na Mkuu wa watumishi wote kwenye Kata yake.
Mkuu laiti ungeelewa unalolisema usingelisema
Nchi hii kuna mahali pana Afisa Elimu kata ila weo anakaimu
Msome kwanza miongozo ndio utajua Afisa Elimu kata ni nani
Siwaongelei Waratibu Elimu Kata
 
Salaam!

HALMASHAURI ndio Ofisi pekee zinazotekeleza Sera na Utendaji wa siku kwa siku wa serikali hasa zile za Mitaa. Kiukweli Maafisa Elimu Kata ndio wanayo mawanda mapana sana kwenye kusimamia shughuli za serikali anzia taaluma kwenye kata zao, miradi ya ujenzi wa majengo ya serikali na kuhamasisha Maendeleo huko Katani na uzoefu wa kushawishi wananchi kwenye Maendeleo kitu ambacho ni Adimu sana kwa sasa.

Uzoefu huo adimu sana wanajua namna ya kusimamia hasa miradi, waajiriwa wa serikali (walimu) shule za Msingi na Sekondari na mwisho ni ule uzoefu walionao kukaa hata maeneo ya vijijini kabisa ambapo Maafisa wengine hawawezi. Hawa ni field officers kweli kweli.

Tatizo la kuwa Maafisa Elimu Kata ni kukosekana kwa Magodfather (tabia inayoota mizizi nchi hii) na watu wa kuwasemeasemea. Lakini kama Madam SSH atapitia uzi huu, hakika hutojuta kuwachagua maafisa hawa kwani wana uwezo mkubwa na wana nidhamu sana za kiutumishi. Kwahiyo kazi ni yake kuwaibua ili wamsaidie kazi na hatimae HALMASHAURI zipae kimaendeleo.

Hivyo, Ofisi za teuzi zikiwa makini Maafisa Elimu Kata ni 'recruiting post' kwa nafasi yoyote ya DED au DAS kwenye ngazi ya halmashauri.

Kila la kheri Madam SSH!
Naona unachanganya kati ya Afisa Mtendaji Kata (WEO) na Mratibu Elimu Kata (MEK)
 
Sijawahi kuchanganya na haitatokea

Ni sawa na kuwa jambazi kuu kwenye movie halafu unavaa barakoa haiwezekani
 
F4 anakula 4, anaenda Cheti grade A, anaristi F4, anaenda diploma ya ualimu baada ya kufanya mitihani masomo matatu ya kidato cha sita anapata E mbili na F moja. A kwenda chuo kikuu anaanza bachelor ,anarudi kazini anaenda Master anarudi kazini, anaenda PhD.
Kwani shida hapo Nini? Kuna njia nyingi za kufikia huko, mbona jpm alienda kwa mtindo huohuo..?
 
Usikariri mkuu!!

Unaporudia kitu chochote sio lazima iwe mitihani tu inamaanisha unataka ufanye kwa Ufasaha

Walioweka nafasi ya kurudia mitihani fulani fulani sio wajinga na ndio maana mitihani mingine hairudiwi katika kipindi chote mfano mitihani ya darasa la saba

Unaweza usirudie mitihani ukadhani wewe ni genius lakini ukakuta mambo mengine unarudia kila kukicha na wenzako hawarudii kama wewe mfano mzuri ni kurudia rudia kuoa, uchumi mbaya, kuomba Ajira kila uchao kwa watu wenye akili waliotengeneza ajira, kwenda kufanya kazi za watu kama kibarua na madegree yako n.k

Akili sio kufaulu mitihani peke yake mkuu
Nakumbuka nikiwa chuo kikuu undergraduate Kuna jamaa kila mwaka ilikuwa lazima abebe kozi, na akirudia hyo kozi lazima aibuke na B+ au A kabisa, kwa Sasa jamaa anachukua PhD japani.Ni kweli kurudia kupo
 
Salaam!

HALMASHAURI ndio Ofisi pekee zinazotekeleza Sera na Utendaji wa siku kwa siku wa serikali hasa zile za Mitaa. Kiukweli Maafisa Elimu Kata ndio wanayo mawanda mapana sana kwenye kusimamia shughuli za serikali anzia taaluma kwenye kata zao, miradi ya ujenzi wa majengo ya serikali na kuhamasisha Maendeleo huko Katani na uzoefu wa kushawishi wananchi kwenye Maendeleo kitu ambacho ni Adimu sana kwa sasa.

Uzoefu huo adimu sana wanajua namna ya kusimamia hasa miradi, waajiriwa wa serikali (walimu) shule za Msingi na Sekondari na mwisho ni ule uzoefu walionao kukaa hata maeneo ya vijijini kabisa ambapo Maafisa wengine hawawezi. Hawa ni field officers kweli kweli.

Tatizo la kuwa Maafisa Elimu Kata ni kukosekana kwa Magodfather (tabia inayoota mizizi nchi hii) na watu wa kuwasemeasemea. Lakini kama Madam SSH atapitia uzi huu, hakika hutojuta kuwachagua maafisa hawa kwani wana uwezo mkubwa na wana nidhamu sana za kiutumishi. Kwahiyo kazi ni yake kuwaibua ili wamsaidie kazi na hatimae HALMASHAURI zipae kimaendeleo.

Hivyo, Ofisi za teuzi zikiwa makini Maafisa Elimu Kata ni 'recruiting post' kwa nafasi yoyote ya DED au DAS kwenye ngazi ya halmashauri.

Kila la kheri Madam SSH!
Sawa Afisa Elimu Kata ya Kidaru, Tumekuelewa. Lakini nitoe onyo yule Afisa Elimu Kata ya Ulemo anafanya Mapenzi hadi na wanafunzi wa secondary, hafai hata kuwa mwenyekiti wa Kitongoji.

Tena muonyeni Sana, yule hakufaa hata kuwa Mtumishi wa umma huyu Mr Mmanyi. Jamaaa ni bazazi hatari. Anatembea pia na wake za watu mitaani.

Huyu naye tumpe UDED ilihali taarifa zake tunazo ktk vyombo vyetu nyeti?
 
No research, no right to speak
 
No research, no right to speak
Mtetee ila zungumza na watu, huyo jamaa yenu hakufaa sio Afisa Elimu Kata tu bali hata kuwa Mtumishi wa umma. Nenda Ulemo uchukue data zake, Kisha nenda Mtekente na Ndago secondaries alizowahi kufundisha. Pia ukimwona mwanafunzi yeyote aliyewahi kumfundisha mdodose Kisha leta mrejesho.
 
Back
Top Bottom