Ushauri: Rais Samia, kwenye teuzi za DED's na DAS's ifae sana watoke kwa Maafisa Elimu Kata (AEK's) wenye sifa wapo wengi

Ushauri: Rais Samia, kwenye teuzi za DED's na DAS's ifae sana watoke kwa Maafisa Elimu Kata (AEK's) wenye sifa wapo wengi

Mtetee ila zungumza na watu, huyo jamaa yenu hakufaa sio Afisa Elimu Kata tu bali hata kuwa Mtumishi wa umma. Nenda Ulemo uchukue data zake, Kisha nenda Mtekente na Ndago secondaries alizowahi kufanya kazi. Pia ukimwona mwanafunzi yeyote aliyewahi kumfundisha mdodose Kisha let's mrejesho.
Haki yako inapoishia ndipo haki ya mwenzako inapoanzia
 
Haki yako inapoishia ndipo haki ya mwenzako inapoanzia
Mimi siongei mengi ila ukweli ndio huo. Umewahi kujiuliza licha huyo Mtu kuwasiliana na Kikwete Mara nyingi tu na mawaziri na wabunge kibao, lakini yupo hapohapo!! Ni tabia zake zipo huko juu. Shida ni mjanja mno, watu wakiweka mitego anategua. Pia ni tapeli hatari. Wewe pia chukua tahadhari maana atakutapeli mchana kweupe. Sipati picha walimu wa kike katani kwake.
 
Kuna mtu wa jalalani anajimwambafai sio kawaida, Tanzania tuna vyuo vikuu sio chini ya 52 walimu ni hao hao tu hakuna jipya, style ya ufundisha ni ile ile na mindset za lecturer ni hizo hizo hapo jalalani walimu wanafundisha part time vyuo kibao hapa dar, jalala haliwezi kutuo wasomi wa nchi nzima kama wewe ulipata ujuzi kwenye hilo jalala basi tulia.
 
Kama kuna afisaelimu Kata mwenye PhD ya chuo kikuu Cha DSM anyooshe kidole na aseme Yuko Kata gani Tanzania. Tutampigia debe ateuliwe. Pia elimu yake asiwe ameunga unga.
Immaterial observation.
Mbona mwendazake aliungaunga akapata PhD na kuwa Rais?
 
Kuna mtu wa jalalani anajimwambafai sio kawaida, Tanzania tuna vyuo vikuu sio chini ya 52 walimu ni hao hao tu hakuna jipya, style ya ufundisha ni ile ile na mindset za lecturer ni hizo hizo hapo jalalani walimu wanafundisha part time vyuo kibao hapa dar, jalala haliwezi kutuo wasomi wa nchi nzima kama wewe ulipata ujuzi kwenye hilo jalala basi tulia.
PhD ya jalalani hahahaaaa
IMG-20210711-WA0065.jpg
 
Huyu
Kama kuna afisaelimu Kata mwenye PhD ya chuo kikuu Cha DSM anyooshe kidole na aseme Yuko Kata gani Tanzania. Tutampigia debe ateuliwe. Pia elimu yake asiwe ameunga unga.
Na Mimi naamini AEK WA AINA HIYO HAYUPO.....PhD yupo katani kakaa na WEO wa cheti Cha hombolo? Hapana , SIAMINI.
 
Back
Top Bottom