Ushauri: Rais Samia, kwenye teuzi za DED's na DAS's ifae sana watoke kwa Maafisa Elimu Kata (AEK's) wenye sifa wapo wengi

Paskali kapigiwa debe humu uDC holla.
Leslie Mbena humu kajipost na CV na email na namba za simu, naye katoka kapa.

Wakiukosa na huu UDAS basi, wakaoge kilingeni kwa Mshana Jr .

Lemutuz inaeleweka ni above 60.😂

Everyday is Saturday...............................😎
 
Elimu ya kuunga unga maana yake ni Elimu ya hapa na pale,form 4 tu peke yake unakuta ana vyeti sita
 
Haahaa kuungaunga ndo nn mkuu?
F4 anakula 4, anaenda Cheti grade A, anaristi F4, anaenda diploma ya ualimu baada ya kufanya mitihani masomo matatu ya kidato cha sita anapata E mbili na F moja. A kwenda chuo kikuu anaanza bachelor ,anarudi kazini anaenda Master anarudi kazini, anaenda PhD.
 
Haahaa kuungaunga ndo nn mkuu?
F4 anakula 4, anaenda Cheti grade A, anaristi F4, anaenda diploma ya ualimu baada ya kufanya mitihani masomo matatu ya kidato cha sita anapata E mbili na F moja. A kwenda chuo kikuu anaanza bachelor ,anarudi kazini anaenda Master anarudi kazini, anaenda PhD
Elimu ya kuunga unga maana yake ni Elimu ya hapa na pale,form 4 tu peke yake unakuta ana vyeti sita
"Ongeza sauti mkuu"
 
Katika nafasi ambazo serikali inapoteza fedha za bure kuwalipa posho ni hawa watu binafsi Kama mdau kwenye sekta ya elimu sioni impact yao kwenye taaluma.
 
Kama kuna afisaelimu Kata mwenye PhD ya chuo kikuu Cha DSM anyooshe kidole na aseme Yuko Kata gani Tanzania. Tutampigia debe ateuliwe. Pia elimu yake asiwe ameunga unga.
Huwezi kumpata Hawa maafisa elimu kata wengi walikua walimu wa primary wakashtuka mapema wakaenda kujiendeleza uwezo mdogo sio Kama jamaa anavyojinadi hapo juu.
 
Mkuu Kama unewahi kurudia mtihani wa level yoyote ndo ukapita basi ndo kuunga unga uko
 
Tatizo ni nini hapo?

Huu ni wivu wa kawaida tu!!!

Kama hana sifa ya kusoma Chuo kikuu asingedahiliwa. Ukiona kadahiliwa ujue sifa anazo

Mwisho, kila mtu humu duniani ana namna yake ya kupata Elimu na kamwe hatuwezi kufanana
 
i support you lakini sio kila mweye degree au masters au hata phd ni holder wa kweli, katika watu wengi kuna weye hizo degrees ila wako nazo tu kwa makaratasi na sio kwa kichwa, nikuulize waziri wa finance nchemba angalia ile uteuzi wa kina hamisa mobeto, je degrees za mwigulu ni za kweli???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…