Haki yako inapoishia ndipo haki ya mwenzako inapoanziaMtetee ila zungumza na watu, huyo jamaa yenu hakufaa sio Afisa Elimu Kata tu bali hata kuwa Mtumishi wa umma. Nenda Ulemo uchukue data zake, Kisha nenda Mtekente na Ndago secondaries alizowahi kufanya kazi. Pia ukimwona mwanafunzi yeyote aliyewahi kumfundisha mdodose Kisha let's mrejesho.
Mimi siongei mengi ila ukweli ndio huo. Umewahi kujiuliza licha huyo Mtu kuwasiliana na Kikwete Mara nyingi tu na mawaziri na wabunge kibao, lakini yupo hapohapo!! Ni tabia zake zipo huko juu. Shida ni mjanja mno, watu wakiweka mitego anategua. Pia ni tapeli hatari. Wewe pia chukua tahadhari maana atakutapeli mchana kweupe. Sipati picha walimu wa kike katani kwake.Haki yako inapoishia ndipo haki ya mwenzako inapoanzia
Immaterial observation.Kama kuna afisaelimu Kata mwenye PhD ya chuo kikuu Cha DSM anyooshe kidole na aseme Yuko Kata gani Tanzania. Tutampigia debe ateuliwe. Pia elimu yake asiwe ameunga unga.
PhD ya jalalani hahahaaaaKuna mtu wa jalalani anajimwambafai sio kawaida, Tanzania tuna vyuo vikuu sio chini ya 52 walimu ni hao hao tu hakuna jipya, style ya ufundisha ni ile ile na mindset za lecturer ni hizo hizo hapo jalalani walimu wanafundisha part time vyuo kibao hapa dar, jalala haliwezi kutuo wasomi wa nchi nzima kama wewe ulipata ujuzi kwenye hilo jalala basi tulia.
Na Mimi naamini AEK WA AINA HIYO HAYUPO.....PhD yupo katani kakaa na WEO wa cheti Cha hombolo? Hapana , SIAMINI.Kama kuna afisaelimu Kata mwenye PhD ya chuo kikuu Cha DSM anyooshe kidole na aseme Yuko Kata gani Tanzania. Tutampigia debe ateuliwe. Pia elimu yake asiwe ameunga unga.