Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Ushauri wangu kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia ampe tena kazi Prof Anna Tibaijuka kwasababu ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi akili kubwa kama hii isistaafu mapema
Prof Tibaijuka ana uwezo mkubwa sana wa masuala ya utumishi vilevile anaweza kuwa kama mama mwenye busara
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikimfuatilia katika speech zake niligundua ana akili sana lakini nikasikitika kuona hayupo tena kwenye mfumo wa Serikali
Huyu Profesa Tibaijuka ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya nje na ndani ya nchi na anaweza kutufikisha mahali tunapostahili
Binafsi nashauri apewe angalao hata Wizara moja hakika tutavuna kitu kutoka kwake