Ushauri: Rais Samia mpe kazi Prof. Anna Tibaijuka, ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi

Ushauri: Rais Samia mpe kazi Prof. Anna Tibaijuka, ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi

bure! mwaka huu asaidie kutafuta kura

Sifazake

1) ana PHD 15 13 zadarasani 3 zaheshima
 
Tupo wananchi 60M+, hatuwezi kutegemea watu wachache, Mambo ya nje na vitengo vingine vya serikali wapo watu kibao wenye uwezo, hawapewi nafasi kwa sababu, mamlaka za uteuzi hazijari weredi, meritocracy, sycophant ISM(uchawa ndio kipaumbele
 
P
Swala la kusema ni hela ya mboga ni kawaida sana kwasababu sifa ya kiongozi lazima uwe na uwezo wa fedha, huwezi kuongoza watu wakakuelewa kama ni maskini sana lakini kiongozi akiwa na uwezo wa fedha inampa sifa, kashfa ya hela ya mboga sio kosa kusema hivyo alitaka kuonesha uwezo wake wa fedha kwamba ana nguvu kubwa ya kiuchumi na hiyo ni sifa ya kiongozi
Mfano Marekani hawataki kiongozi maskini
Kiongozi wa namna hiyo anaweza kuongoza nchi na ikapiga hatua? Kama aliweza kuhongwa pesa za escrow ataweza kuongoza wizara? Amekuwa mbunge wa muleba nini amekifanya muleba cha maana? Amekuwa wizara ya Ardhi niambie alichokifanya cha maana
 
Ou
Ile kauli ya hela ya mboga binafsi sioni kama ni vibaya kwasababu sifa ya kiongozi mzuri lazima awe na uwezo mkubwa sana wa fedha na sio maskini, ndiyo maana mataifa makubwa kama Marekani wanawapa vyeo viongozi wenye uwezo mkubwa wa fedha
mbafu watu wanakufa kwa kukosa pesa ya matibabu 20000 halafu yeye anasema 10M hela ya mboga?
 
P
Kiongozi wa namna hiyo anaweza kuongoza nchi na ikapiga hatua? Kama aliweza kuhongwa pesa za escrow ataweza kuongoza wizara? Amekuwa mbunge wa muleba nini amekifanya muleba cha maana? Amekuwa wizara ya Ardhi niambie alichokifanya cha maana
Mmeshindwa kabisa kumsamehe kwa kauli hiyo aliyoteleza? Nafkiri alitamka kwa mihemko alipokuwa amekasirika, Mungu akishikilia makosa ya watu namna hii hakuna hata mmoja atakayeiona pepo
 
Haku
Mmeshindwa kabisa kumsamehe kwa kauli hiyo aliyoteleza? Nafkiri alitamka kwa mihemko alipokuwa amekasirika, Mungu akishikilia makosa ya watu namna hii hakuna hata mmoja atakayeiona pepo
Teleza alikuwa sahihi? Hatumtaki labda aongoze buhaya empire
 
Ile kauli ya hela ya mboga binafsi sioni kama ni vibaya kwasababu sifa ya kiongozi mzuri lazima awe na uwezo mkubwa sana wa fedha na sio maskini, ndiyo maana mataifa makubwa kama Marekani wanawapa vyeo viongozi wenye uwezo mkubwa wa fedha
Crap
 
Alisema mwenyewe kuwa ni ngumu kwa academicians au diplomats kama yeye kufanya vizuri kwenye mifumo iliyopo kwa sababu uwezo ama Cv hailusaidii kuliko politics..

Naamini kwa udhoefu wake mbali na shule alizonazo, naamini anaweza kuanzisha hata taasisi na ikafanya makubwa kuliko kuwa waziri. Mwisho wa siku impact ndio muhimu
Ile interview ya Charles right??, nili msikiliza pia.
ana Jenga hoja na kusema ukweli bila ya kuyumba yumba.
 
Back
Top Bottom