Ushauri: Rangi za Bendera ya Taifa zifutwe katika sakafu za ndani ya Bunge

Bendera ya Tanzania ina rangi nne - kijani, njano, nyeusi, na bluu.

Rangi za kijani, njano, nyeusi, na blue sio bendera ya Tanzania. Bendera ni zaidi ya rangi. That's the context.
Bendera ni rangi, hakuna kingine kitatambulisha kwamba hii ni bendera pasipo rangi, itakua shuka tu.
 
Mtoa mada ana hoja. Na ni wazi anaumia anapoona Bendera ya Nchi yake haipewi Heshima hasa na Watunga Sheria.

Mfano kuna baadhi ya Shule utaona watoto wamevalia sweta zenye rangi ya Bendera yetu. Endapo Mgeni atakuuliza zile rangi kwenye sweta zinaakisi Bendera ya Nchi yako au ni urembo tu?? Wewe ungejibu nn??
Hoja nzuri; ni sweta zenye rangi ya bendera na sio bendera.
 
Watu wanashindwa kujua Tanzania ndio inayoanza, vyama vya siasa vinafuata.

Nilitegemea HOJA kana hii yenye kugusa utaifa, tuneungana bila kuingiza mihemko ya vyama!!

Bado tuna safari ndefu mbele yetu.
 
Rangi zisikuchanganye sana kipaumbele chetu kiwe hilo Bunge lenyewe tuingize Wapinzani wengi.
 
Salaam,Shalom.

Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU.

Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI hizo za Bendera ya Taifa naziona katika sakafu za ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sitaki kuhoji Uzalendo wa mtoa wazo la kupaka RANGI za Bendera ya Taifa katika sakafu za ndani ya Bunge la JMT, inawezekana, mtoa wazo Hilo alisukumwa na Uzalendo uliopitiliza.

Kwa maoni yangu kama Mtanzania, bendera au RANGI Inatakiwa iwekwe juu, ukutani, au katika nguzo, Si katika sakafu.

Ninashauri yafanyike marekebisho, RANGI hizo ziondolewe chini, ikae red carpet pekee.

MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]

Karibuni[emoji120]
Nilishawahi kutafakari juu ya jambo hilo.nikatafakari sana kwanini alama hiyo ikanyagwe? Hiyo ni ishara ya kuisigina bendera.kitendo ambacho ni ishara ya kuidharau nchi husika
 
Mimi hulihusisha jambo Hilo na kupotea Kwa Uzalendo,

Maslah ya vyama yanatangulizwa mbele kuliko maslah ya Taifa na Nchi.

Huwa namtafuta nijue founder wa idea hiyo ya kupaka RANGI za Bendera ya Taifa sakafu za ndani ya Bunge, sijawahi mpata!!
 
Salaam,Shalom.

Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU.

Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI hizo za Bendera ya Taifa naziona katika sakafu za ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sitaki kuhoji Uzalendo wa mtoa wazo la kupaka RANGI za Bendera ya Taifa katika sakafu za ndani ya Bunge la JMT, inawezekana, mtoa wazo Hilo alisukumwa na Uzalendo uliopitiliza.

Kwa maoni yangu kama Mtanzania, bendera au RANGI Inatakiwa iwekwe juu, ukutani, au katika nguzo, Si katika sakafu.

Ninashauri yafanyike marekebisho, RANGI hizo ziondolewe chini, ikae red carpet pekee.

MUNGU ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni🙏
Amini Mungu,

usiamini kupitiliza rangi ya bendera ya Tz ikatatiza uzalendo au Imani yako🐒

uzalendo wetu tuwekeze zaid katika kufanya kazi za uzalishaji, kwa bidii na maarifa bila kuchoka, na kwa kushirikiana na wazalendo wengineo, tuilinde nchi yetu na mipaka yake, na tutunze amani, utulivu na utengamano miongoni mwa waTz wote 🐒

wazo lako zuri la kiungwana, limepokelewa...

Peopleooooozzz👊🐒
 
Amini Mungu,

usiamini kupitiliza rangi ya bendera ya Tz ikatatiza uzalendo au Imani yakie🐒

uzalendo wetu tuwekeze zaid katika kufanya kazi za uzalishaji, kwa bidii na maarifa bila kuchoka, na kwa kushirikiana na wazalendo wengineo, tuilinde nchi yetu na mipaka yake, na tutunze amani, utulivu na utengamano miongoni mwa waTz wote 🐒

wazo lako zuri la kiungwana, limepokelewa...

Peopleooooozzz👊🐒
Tanzania kwanza,

Vyama baadae, unaweza usiwe na chama chochote Bado ukawa Mtanzania,

Lakini usipokuwa Mtanzania, huna HAKI ya kuwa na chama chochote Cha siasa!!
 
Kwanza hakuna rangi ya njano kwenye bendera ya taifa kuna rangi ya dhahabu (hapa wengi wanalazimisha na maneno maneno mengi ila ukweli ni kwamba madini tuliyonayo ni mengi lakini ikachaguliwa dhahabu kuwakilisha madini mengine yote, haya niambie kama njano inawakilisha madini je ni madini gani yenye rangi ya njano?)

Pili bendera ya taifa na rangi za bendera ya taifa ni vitu viwili tofauti. Ukikataa rangi zile sakafuni utakuja kukataa hata watoto wadogo wasivae yale masweta yao ya shule maana wanayapangusia kamasi, wanayakalia nk. Utakataa hata wale wenye shuka za kutandika zenye rangi hizo wasilalie, nk.

Rangi za bendera ya taifa zinatumika sana tu na wala haihesabiki kuwa ni kuitweza bendera ya taifa. Angalia yule shoga sijui msagaji alikuwa na bendera ya taifa letu eti ameandamana ughaibuni huko mdada anadai haki yake! Vipi mbwa wa jeshi akifa akafunikwa kile kitambaa utasemaje. Vipi masharobaro wanavyopenda kuitumia kwenye shutin zao? Watu wanarembea mpaka vyooni sembuse sakafu ya bunge ambayo muda wote safi
 
Wanafunzi kuvaa masweta yenye RANGI za Bendera ndio Uzalendo wenyewe!!

Issue ni RANGI za Bendera kukanyagwa katika sakafu ya bunge penye wasomi wanasheria!!
 
Acheni siasa za Uswahili na ujuaji, tunataka kazi tu mambo ya Rangi sio issue, kule US zinatengenezewa mpaka Bikin na Rizla ila angalia nchi ilipo?
 
Tofauti yetu ni nini kwenye issue nzima ya bendera?
Bendera ya Taifa Ina Heshima yake.

Tusingetegemea eneo nyeti kama bunge, sakafu kunakshiwa Kwa RANGI za Bendera ya Taifa!!
 
Hujajibu swali, kimsingi umeOverthink hili jambo.
 
Back
Top Bottom