Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

Huyu bwege bado huu mchezo wa mapenzi ajaujua. Huko atakapoangukia yeye sasa atavaa chupi kichwani. [emoji23][emoji23][emoji23] Ni swala la muda tu!!! Usiombe upende zaidi kuliko unavyopendwa...show itakuwa kali!

[emoji23] [emoji23]
 
Hakuna heri yoyote,ukishaamua kukaa na mtu jua kila kitu ambacho wewe unahitaji na yeye anahitaji vile vile, ukijaribu kujidanganya kwamba utaweza kuvumilia si kweli utafika mahali utachoka na utakua umepoteza muda wako.
hujaelewa ni kheri kuvumila kuliko kuvumiliwa
Huyu bwege bado huu mchezo wa mapenzi ajaujua. Huko atakapoangukia yeye sasa atavaa chupi kichwani. 😂😂😂 Ni swala la muda tu!!! Usiombe upende zaidi kuliko unavyopendwa...show itakuwa kali!
Na ndo circle ya love ilivo unapopendwa hupendi... Unapopenda sasa ndo huitajiki kabisa
 
hujaelewa ni kheri kuvumila kuliko kuvumiliwa
Na ndo circle ya love ilivo unapopendwa hupendi... Unapopenda sasa ndo huitajiki kabisa
Unajikuta unapambana kumfurahisha mtu ambaye anakuona option. Hii ni mbaya zaidi kwetu wanaume sababu mwanamke wako kuna possibility ya 90% atakazwa nje tu na watu wampendao.
Ukishaligundua hilo hata ile furaha utakuwa huna tena.
 
Hapo sio mapenzi, hapo ni uwezo wako wa kuchanganua mambo. Linapokuja kwenye suala la mke zingatia vitu vitatu tu: Hofu ya MUNGU, Mama Bora na Mchango wake katika uchumi wenu hata wa kimawazo.

Tafadhali iangalie dunia kwa mtazamo tofauti na mapenzi kama kwenye vitabu au tamthilia. Wanawake wapo, hawaishi utawakimbia mwenyewe ila mke bora akishakupita amekupita.

Ila kama humtaki kabisa, mwambie kuwa una mahusiano mengine na hauoni kama mna future yoyote zaidi ya mtoto. Atalia ataumia ila siku akisahau utakuwa historia na atamove on.
 
Sasa umemuacha aondoke na binti ako?!ujinga wa kutotumia condom wakati unajua huna malengo wala mapenzi kwa wanawake zenu ...unapelekea watoto wengi kulelewa na mama/baba wa kambo(hii ni mbaya).
Na hapo umejifikiria wewe umesahau kuna mtoto ako.
Sasa mtoto wa miezi 6 ingewezekana vipi kubaki naye?
 
Wewe ndo ushampoteza mke mwema ila sasa mkuu nisaidie namba zake kama kweli humpendi nipe namba zake
 
Kama ulikuwa huna hisia naye kwanini hukutumia kinga? Ulitegemea nini? Unamuweka Mtoto katika maisha ambayo siyo mazuri ya kulelewa na mzazi mmoja, isitoshe umeshampotezea huyo Mama mtoto wako muda wake kwa ushauri wangu ni bora mrudiane maisha yaendelee.
 
...kuna watu huwa tunawadharau sana masingle mother, nafikiri hapa tutakua kidogo tumepata funzo...

Embu jiulize wewe mleta mada...
Kwanini huumpendi? Huenda ikawa baleghe inakusumbua au hizo picha za ngono/ kikorea zimekuharibu akili...

Don't let your emotions control your thinking...
 
Sikia broo, mimi ni Malaya na kitombi haswa Hawa wanawake nimekaa nao Sana Kama uhuni nishafanya Sana ila kitu nilichojifunza ni mpende akupendae hata usipompenda utajifunza taratibu "time heals , time is a good teacher " nikwambie umezingua Sana umeyumba

Siku zote huwezi pata unachokitaka ila upatacho sometimes kinakuja kuwa bora kuliko ulivyotarajia



Kunguru mwana wa manzese
 
Nikuulize swali Moja, je unahudumia mtoto? Au umemtelekeza?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom