Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

Aisee!

Maisha ya mtoto inaonekana kabisa huna habari!

Katika maisha tunafanya sacrifice kwa sababu ya watoto ndio family.

Achana na wewe kufurahia mahusiano ila hakikisha unarudiana na huyo mwanamke ili mtoto afurahie family (wazazi wake).

Acha upumbafu boss wangu wa kuwa selfish kiasi hicho cha kujifikiria wewe tu.

Kila la kheri mkuu ila hakikisha unarudiana na huyo mwanamke.

Huyo mwanao wa kike unataka akuzwe na nani kama si baba na mama wote kwa pamoja.
 
Kunywa soda
 
Sure kabisa

Mwanamke akikupenda komaa hapo hapo

Kuna matapeli na wadangaji siku hizi
 
Afadhali baharia umemwambia [emoji1]
 
Baada ya biashara kuenda vizuri kamtosa anataka slay queen

Ngoja biashara ianze kwenda mrama[emoji1787]
 
Mbona mi nakupenda na wewe ndo hunielewi hata kidogo 😒😒
 
Sijasoma story yako Ila nakuuliza tu,mwanamme mwenzangu,unajua kabisa humpendi,halafu unaingiza dyudyu Tena bila ya jezi,then unajojoa humo humo,unasema humpendi,ungetumia zana baharia[emoji38][emoji38]
 
Huyu bwege bado huu mchezo wa mapenzi ajaujua. Huko atakapoangukia yeye sasa atavaa chupi kichwani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ni swala la muda tu!!! Usiombe upende zaidi kuliko unavyopendwa...show itakuwa kali!
Wadau wengi wametabiri hili, bora jamaa afikirie upya.
 

Marriage nyingi ni inconvenience kibongo bongo huyo ndiyo Mke wako

Kaza jombaa usikate tamaa
 
Legendary!

Mwanaume "ubarikiwe" kupata mke anayekutii. Utajisikia kama Amiri Jeshi unayeamrisha Jeshi kubwa lenye nguvu kushinda kila vita. Kinyume chache jiandae kushindwa na mapambano ya Maisha. Bila mke anayekupenda na kukutii ujue kabisa hutoboiiii.
 
Haipingwi hii, 100% truth!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…