Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

Ila wanaume kama humpendi mtu kwanini umtongoze kwanini uamshe hisia za mapenzi kwenye moyo wake then baadae unamuacha ateseke it's very sad acheni kuplay na hisia za watu jamani
Wengi wa Wanawake hupendwa na Kuanza kubadirika mkiwa kwenye Mapenzi,Baadae ndio matokeo ya Kuachana au Kumchukia Mwanamke huanza.Wengi wa Ke ndio Chanzo cha sisi Me Kubadiri misimamo yetu
 
Kuna mwanamke kila siku natafuta sababu tuachane, ila anajishusha nasahau, yaani kila nikitaka nimcheat naona aibu
 
Back
Top Bottom