Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,690
- 5,568
Dunia inaenda mbele, kuna watu wanarudi nyuma.
Unanikumbusha enzi za uzembe na uzurulaji, mtu ukionekana usiku unakamatwa, bila kujali kuna watu shughuli zao, wananza au kumaliza usiku.
Kusikiliza radio, au kuangalia kipindi cha TV, ni wewe mwenyewe.
Michezo kuanza jioni ni sababu ya kutafuta viingilio, maana asubuhi watu wanakua makazini, hivyo watu wengi hawatahudhuria, na wala siyo kuogopa kazi hazitafanyika.
Watu wengi wenye kujishughulisha wanajitambua na wanategemea, anapoamua ana sababu, wala haitaji kulazimishwa.
Dunia inaenda mbele jamani msiturudishe nyuma, hivi kweli mtu hawezi kusikiliza radio huku akiendelea na majukumu yake au michezo tu ndo hufanya watu kuacha kazi zao.
Basi omba kufungwa kwa midea zote asubuhi.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app