Hoja ya kipumbavu sana hii, hivi kuna mtu ameshawahi kuja kukumba chakula? Au kuna siku serikali imegawa chakula bure nchi nzima? Yaani unataka watu 60 milioni wapangiwe namna ya kuishi? Kuna watu asubuhi unamkuta anapiga supu na bia yake, je unajua usiku kucha alikuwa wapi? Hebu acheni kukariri maisha nyie.Kila kitu kwa wakati wake 75 % ya watu wanahitaji muongozo wakiachwa tu muda wote huo watakuwa kwenye redio na sio kuzingatia kazi. Tukienda maofisini tunalalamika kazi haziendi.
Inategemea unazungumzia nani, dereva wa daladala, wa lori, wa Bus, bodaboda vijiweni kwao, wauza maduka, sokoni, mitumba etc hawawezi kusikiliza kweli?Mkuu mtu anayejitambua hawezi kusikiliza vipindi vya michezo wakati anafanya kazi.
Kama huyo mtu yupo basi hajitambui au hana kazi ya kufanya au kazi anayofanya haiitaji kutumia focus kubwa maybe anauza duka.
Hivyo hapo hakuna tatizo lolote sababu sio lazima kusikiliza radio na sio kila mtu anafanya kazi unayofanya wewe.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji3][emoji3][emoji3]Hii serikali ndio maana inaingilia kila kitu. Maana inakaribishwa hata katika mambo yaliyo katika uamuzi wa mtu binafsi. Yaani wewe huwezi kujidhibiti kutumia muda wako vizuri hadi serikali iingilie maisha yako?
Shida ya Jf mchangiaji wa kwanza akianza na ushuzi tu Tegemea vinyesi huko chini ni uovyo wa Hali ya juu humu.Kuna hoja happy wanamshambulia mtoa Mada.Vipindi vianzie 10 jioni wote tuwe na nafasi ya kusikiliza.Sio kila Mtanzania muuza duka au genge au Dereva daladala kuwa atasikiliza muda wote michezo.Hoja iko sahihi ila wanaojadili naona wameamua kumjadili mtoa hoja na sio hoja yenyewe.
Unashangaza sana. Kwani ni lazima mtu kuangalia kipindi Cha michezo. Kwa hiyo unashauri TVs waanzishe vipindi vya kazi????Naomba kumshauri waziri wa michezo na burudani aanze na kudhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV.
Redio stations nyingi kama sio zote hapa nchini wanaanza vipindi vya michezo kuanzia sa 12 asubuhi hadi sa 7 mchana. Huu ni muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji.
Hata Ulaya ukiachia zile stations ambazo ni sports perse kitu ambacho hakipo Tanzania, michezo inatangazwa baada ya masaa ya kazi, hasa jioni kwa ajili ya kuburudika.
Ndio maana kokote Duniani ukiacha siku maalum za michezo kama olimpiki ama World Cup michezo haianzi kuchezwa sa 12 asubuhi, ni jioni baada ya watu kufanya shughuli nyingine za uzalishaji.
Marekani, sports and entertainment inachangia 20% ya uchumi, the same na kwa nchi nyingi za ulaya. Maana yake hiyo 80% ambayo ndio msingi mkuu wa uchumi inatakiwa ndio ipewe attention zaidi.
Haiwezekani Muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji wawe wanasikiliza kinachoitwa uchambuzi wa michezo masaa 8 ya siku tena masaa ambayo ni active ya mchana, haiwezekani.
Toka sa 12 asubuhi mtu anasikiliza uchambuzi tu wampira atafanya kazi sa ngapi? Mwisho wa siku hao hao tunaenda kuomba misaada kwa hao tunaoshinda kuchambua michezo yao hulu wao wakiwa wanapiga kazi.
Serikali isimamie, vipindi vya michezo vianze sa 10 jioni hadi usiku mnene lakini sio kuanza saa 12 asubuhi hadi sa 8 mchana.
Ahsante.
Huna akili mpumbavu kabisa.Naomba kumshauri waziri wa michezo na burudani aanze na kudhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV.
Redio stations nyingi kama sio zote hapa nchini wanaanza vipindi vya michezo kuanzia sa 12 asubuhi hadi sa 7 mchana. Huu ni muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji.
Hata Ulaya ukiachia zile stations ambazo ni sports perse kitu ambacho hakipo Tanzania, michezo inatangazwa baada ya masaa ya kazi, hasa jioni kwa ajili ya kuburudika.
Ndio maana kokote Duniani ukiacha siku maalum za michezo kama olimpiki ama World Cup michezo haianzi kuchezwa sa 12 asubuhi, ni jioni baada ya watu kufanya shughuli nyingine za uzalishaji.
Marekani, sports and entertainment inachangia 20% ya uchumi, the same na kwa nchi nyingi za ulaya. Maana yake hiyo 80% ambayo ndio msingi mkuu wa uchumi inatakiwa ndio ipewe attention zaidi.
Haiwezekani Muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji wawe wanasikiliza kinachoitwa uchambuzi wa michezo masaa 8 ya siku tena masaa ambayo ni active ya mchana, haiwezekani.
Toka sa 12 asubuhi mtu anasikiliza uchambuzi tu wa mpira atafanya kazi saa ngapi? Mwisho wa siku hao hao tunaenda kuomba misaada kwa hao tunaoshinda kuchambua michezo yao huku wao wakiwa wanapiga kazi.
Serikali isimamie, vipindi vya michezo vianze saa 10 jioni hadi usiku mnene lakini sio kuanza saa 12 asubuhi hadi sa 8 mchana.
Ahsante.
Ameze wembe kabisa!Umelazimishwa kusikiliza/kuangalia? Michezo inachezwa jioni na usiku then asubuhi tunachambua, hutaki jinyonge!
Somalia nifuate nini? Hivi unaweza kua na akili yimamu ukassma umewahi kufika Somalia?Utakuta jamaa hata Somalia hajawahi kukanyaga! Ila anajua life la Ulaya mpaka vijijini
Iambie serikali izuie mechi za mpira siku na masaa ya kazi.Naomba kumshauri waziri wa michezo na burudani aanze na kudhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV.
Redio stations nyingi kama sio zote hapa nchini wanaanza vipindi vya michezo kuanzia sa 12 asubuhi hadi sa 7 mchana. Huu ni muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji.
Hata Ulaya ukiachia zile stations ambazo ni sports perse kitu ambacho hakipo Tanzania, michezo inatangazwa baada ya masaa ya kazi, hasa jioni kwa ajili ya kuburudika.
Ndio maana kokote Duniani ukiacha siku maalum za michezo kama olimpiki ama World Cup michezo haianzi kuchezwa sa 12 asubuhi, ni jioni baada ya watu kufanya shughuli nyingine za uzalishaji.
Marekani, sports and entertainment inachangia 20% ya uchumi, the same na kwa nchi nyingi za ulaya. Maana yake hiyo 80% ambayo ndio msingi mkuu wa uchumi inatakiwa ndio ipewe attention zaidi.
Haiwezekani Muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji wawe wanasikiliza kinachoitwa uchambuzi wa michezo masaa 8 ya siku tena masaa ambayo ni active ya mchana, haiwezekani.
Toka sa 12 asubuhi mtu anasikiliza uchambuzi tu wa mpira atafanya kazi saa ngapi? Mwisho wa siku hao hao tunaenda kuomba misaada kwa hao tunaoshinda kuchambua michezo yao huku wao wakiwa wanapiga kazi.
Serikali isimamie, vipindi vya michezo vianze saa 10 jioni hadi usiku mnene lakini sio kuanza saa 12 asubuhi hadi sa 8 mchana.
Ahsante.
Sijaielewa mantiki ya bandiko lakoNaomba kumshauri waziri wa michezo na burudani aanze na kudhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV.