Mkuu unalazimishwa kusikiliza?Naomba kumshauri waziri wa michezo na burudani aanze na kudhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV.
Redio stations nyingi kama sio zote hapa nchini wanaanza vipindi vya michezo kuanzia sa 12 asubuhi hadi sa 7 mchana. Huu ni muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji.
Hata Ulaya ukiachia zile stations ambazo ni sports perse kitu ambacho hakipo Tanzania, michezo inatangazwa baada ya masaa ya kazi, hasa jioni kwa ajili ya kuburudika.
Ndio maana kokote Duniani ukiacha siku maalum za michezo kama olimpiki ama World Cup michezo haianzi kuchezwa sa 12 asubuhi, ni jioni baada ya watu kufanya shughuli nyingine za uzalishaji.
Marekani, sports and entertainment inachangia 20% ya uchumi, the same na kwa nchi nyingi za ulaya. Maana yake hiyo 80% ambayo ndio msingi mkuu wa uchumi inatakiwa ndio ipewe attention zaidi.
Haiwezekani Muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji wawe wanasikiliza kinachoitwa uchambuzi wa michezo masaa 8 ya siku tena masaa ambayo ni active ya mchana, haiwezekani.
Toka sa 12 asubuhi mtu anasikiliza uchambuzi tu wampira atafanya kazi sa ngapi? Mwisho wa siku hao hao tunaenda kuomba misaada kwa hao tunaoshinda kuchambua michezo yao hulu wao wakiwa wanapiga kazi.
Serikali isimamie, vipindi vya michezo vianze sa 10 jioni hadi usiku mnene lakini sio kuanza saa 12 asubuhi hadi sa 8 mchana.
Ahsante.
Mkuu fungua redio yako uwe unaweka vipindi vya kuelimishaNaomba kumshauri waziri wa michezo na burudani aanze na kudhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV.
Redio stations nyingi kama sio zote hapa nchini wanaanza vipindi vya michezo kuanzia sa 12 asubuhi hadi sa 7 mchana. Huu ni muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji.
Hata Ulaya ukiachia zile stations ambazo ni sports perse kitu ambacho hakipo Tanzania, michezo inatangazwa baada ya masaa ya kazi, hasa jioni kwa ajili ya kuburudika.
Ndio maana kokote Duniani ukiacha siku maalum za michezo kama olimpiki ama World Cup michezo haianzi kuchezwa sa 12 asubuhi, ni jioni baada ya watu kufanya shughuli nyingine za uzalishaji.
Marekani, sports and entertainment inachangia 20% ya uchumi, the same na kwa nchi nyingi za ulaya. Maana yake hiyo 80% ambayo ndio msingi mkuu wa uchumi inatakiwa ndio ipewe attention zaidi.
Haiwezekani Muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji wawe wanasikiliza kinachoitwa uchambuzi wa michezo masaa 8 ya siku tena masaa ambayo ni active ya mchana, haiwezekani.
Toka sa 12 asubuhi mtu anasikiliza uchambuzi tu wampira atafanya kazi sa ngapi? Mwisho wa siku hao hao tunaenda kuomba misaada kwa hao tunaoshinda kuchambua michezo yao hulu wao wakiwa wanapiga kazi.
Serikali isimamie, vipindi vya michezo vianze sa 10 jioni hadi usiku mnene lakini sio kuanza saa 12 asubuhi hadi sa 8 mchana.
Ahsante.
Michezo + bongo flevaNimeonyesha mchango wa michezo kwenye uchumi, hivyo michezo ni muhimu ila tatizo liko kwenye vipindi vya michezo hapa nchini.
Wanapofanya kazi wanasikiliza gea habib,mambo ya mondi etcMkuu mtu anayejitambua hawezi kusikiliza vipindi vya michezo wakati anafanya kazi.
Kama huyo mtu yupo basi hajitambui au hana kazi ya kufanya au kazi anayofanya haiitaji kutumia focus kubwa maybe anauza duka.
Hivyo hapo hakuna tatizo lolote sababu sio lazima kusikiliza radio na sio kila mtu anafanya kazi unayofanya wewe.
Naomba kumshauri waziri wa michezo na burudani aanze na kudhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV.
Redio stations nyingi kama sio zote hapa nchini wanaanza vipindi vya michezo kuanzia sa 12 asubuhi hadi sa 7 mchana. Huu ni muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji.
Hata Ulaya ukiachia zile stations ambazo ni sports perse kitu ambacho hakipo Tanzania, michezo inatangazwa baada ya masaa ya kazi, hasa jioni kwa ajili ya kuburudika.
Ndio maana kokote Duniani ukiacha siku maalum za michezo kama olimpiki ama World Cup michezo haianzi kuchezwa sa 12 asubuhi, ni jioni baada ya watu kufanya shughuli nyingine za uzalishaji.
Marekani, sports and entertainment inachangia 20% ya uchumi, the same na kwa nchi nyingi za ulaya. Maana yake hiyo 80% ambayo ndio msingi mkuu wa uchumi inatakiwa ndio ipewe attention zaidi.
Haiwezekani Muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji wawe wanasikiliza kinachoitwa uchambuzi wa michezo masaa 8 ya siku tena masaa ambayo ni active ya mchana, haiwezekani.
Toka sa 12 asubuhi mtu anasikiliza uchambuzi tu wampira atafanya kazi sa ngapi? Mwisho wa siku hao hao tunaenda kuomba misaada kwa hao tunaoshinda kuchambua michezo yao hulu wao wakiwa wanapiga kazi.
Serikali isimamie, vipindi vya michezo vianze sa 10 jioni hadi usiku mnene lakini sio kuanza saa 12 asubuhi hadi sa 8 mchana.
Ahsante.
Wanafahamu sana kwamba wanaboa ila wanajikausha sababu issue hiyo ni kibiashara!Naomba kumshauri waziri wa michezo na burudani aanze na kudhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV.
Redio stations nyingi kama sio zote hapa nchini wanaanza vipindi vya michezo kuanzia sa 12 asubuhi hadi sa 7 mchana. Huu ni muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji.
Hata Ulaya ukiachia zile stations ambazo ni sports perse kitu ambacho hakipo Tanzania, michezo inatangazwa baada ya masaa ya kazi, hasa jioni kwa ajili ya kuburudika.
Ndio maana kokote Duniani ukiacha siku maalum za michezo kama olimpiki ama World Cup michezo haianzi kuchezwa sa 12 asubuhi, ni jioni baada ya watu kufanya shughuli nyingine za uzalishaji.
Marekani, sports and entertainment inachangia 20% ya uchumi, the same na kwa nchi nyingi za ulaya. Maana yake hiyo 80% ambayo ndio msingi mkuu wa uchumi inatakiwa ndio ipewe attention zaidi.
Haiwezekani Muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji wawe wanasikiliza kinachoitwa uchambuzi wa michezo masaa 8 ya siku tena masaa ambayo ni active ya mchana, haiwezekani.
Toka sa 12 asubuhi mtu anasikiliza uchambuzi tu wampira atafanya kazi sa ngapi? Mwisho wa siku hao hao tunaenda kuomba misaada kwa hao tunaoshinda kuchambua michezo yao hulu wao wakiwa wanapiga kazi.
Serikali isimamie, vipindi vya michezo vianze sa 10 jioni hadi usiku mnene lakini sio kuanza saa 12 asubuhi hadi sa 8 mchana.
Ahsante.
IdiotasBS[emoji3]
Sijalazimishwa lakini pia sikatazwi kutoa maoni ama mtazamo wangu.Mkuu unalazimishwa kusikiliza?
Watu wanasikiliza wanachopenda, unadhani kuna Mtanzania mwenye akili timamu ataangalia Bunge au Tunateketeza?Naomba kumshauri waziri wa michezo na burudani aanze na kudhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV.
Redio stations nyingi kama sio zote hapa nchini wanaanza vipindi vya michezo kuanzia sa 12 asubuhi hadi sa 7 mchana. Huu ni muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji.
Hata Ulaya ukiachia zile stations ambazo ni sports perse kitu ambacho hakipo Tanzania, michezo inatangazwa baada ya masaa ya kazi, hasa jioni kwa ajili ya kuburudika.
Ndio maana kokote Duniani ukiacha siku maalum za michezo kama olimpiki ama World Cup michezo haianzi kuchezwa sa 12 asubuhi, ni jioni baada ya watu kufanya shughuli nyingine za uzalishaji.
Marekani, sports and entertainment inachangia 20% ya uchumi, the same na kwa nchi nyingi za ulaya. Maana yake hiyo 80% ambayo ndio msingi mkuu wa uchumi inatakiwa ndio ipewe attention zaidi.
Haiwezekani Muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji wawe wanasikiliza kinachoitwa uchambuzi wa michezo masaa 8 ya siku tena masaa ambayo ni active ya mchana, haiwezekani.
Toka sa 12 asubuhi mtu anasikiliza uchambuzi tu wampira atafanya kazi sa ngapi? Mwisho wa siku hao hao tunaenda kuomba misaada kwa hao tunaoshinda kuchambua michezo yao hulu wao wakiwa wanapiga kazi.
Serikali isimamie, vipindi vya michezo vianze sa 10 jioni hadi usiku mnene lakini sio kuanza saa 12 asubuhi hadi sa 8 mchana.
Ahsante.
Katika watu niliowahi kuwasoma katika mitandao ya JamiiForums, wewe mtoa mada umetoa mada ambayo nilikuwa naifikiria sanasana wewe ni best katika watoa mada kwanza Mungu akubariki akuongezee fikira zaidi na uzidi kutoa wazo zuri zaidi.Naomba kumshauri waziri wa michezo na burudani aanze na kudhibiti vipindi vya michezo kwenye redio na TV.
Redio stations nyingi kama sio zote hapa nchini wanaanza vipindi vya michezo kuanzia sa 12 asubuhi hadi sa 7 mchana. Huu ni muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji.
Hata Ulaya ukiachia zile stations ambazo ni sports perse kitu ambacho hakipo Tanzania, michezo inatangazwa baada ya masaa ya kazi, hasa jioni kwa ajili ya kuburudika.
Ndio maana kokote Duniani ukiacha siku maalum za michezo kama olimpiki ama World Cup michezo haianzi kuchezwa sa 12 asubuhi, ni jioni baada ya watu kufanya shughuli nyingine za uzalishaji.
Marekani, sports and entertainment inachangia 20% ya uchumi, the same na kwa nchi nyingi za ulaya. Maana yake hiyo 80% ambayo ndio msingi mkuu wa uchumi inatakiwa ndio ipewe attention zaidi.
Haiwezekani Muda wa watu kufanya kazi nyingine za uzalishaji wawe wanasikiliza kinachoitwa uchambuzi wa michezo masaa 8 ya siku tena masaa ambayo ni active ya mchana, haiwezekani.
Toka sa 12 asubuhi mtu anasikiliza uchambuzi tu wampira atafanya kazi sa ngapi? Mwisho wa siku hao hao tunaenda kuomba misaada kwa hao tunaoshinda kuchambua michezo yao hulu wao wakiwa wanapiga kazi.
Serikali isimamie, vipindi vya michezo vianze sa 10 jioni hadi usiku mnene lakini sio kuanza saa 12 asubuhi hadi sa 8 mchana.
Ahsante.
Tupe mfano ni nchi gani ambayo serikali imeingilia hizo ratiba za vyombo vya habari na kuamuru vipindi vya michezo viwe wakati wa jioni? Hizi mentality za kizamani sana na hazijawahi saidia chochote popote pale, kwanza siku hizi hizo habari za michezo na uchambuzi watu wanasoma kwenye mitandao zaidi kuliko kusikiliza redio. Je na huko nako wawe wanafungia mpaka muda wa kazi uishe? Kaka maendeleo hayaji kwa kulazimisha ukifanya hivyo ndio utaleta umaskini zaidi kwa kuua sekta nyingine ambazo hata hukuwahi zifikiria, kuna baadhi ya nchin wamesharuhusu matumizi ya bange kwa kujiburudisha hii yote ni kuongeza fursa za kiuchumi hata kwa asilimia ndogo,Nimeonyesha mchango wa michezo kwenye uchumi, hivyo michezo ni muhimu ila tatizo liko kwenye vipindi vya michezo hapa nchini.
Aliekudanganya maendeleo hayaji bila kulazimisha ni nani?tupe mfano ni nchi gan ambayo serikali imeingilia hizo ratiba za vyombo vya habari na kuamuru vipindi vya michezo viwe wakati wa jioni? hizi mentality za kizaman sana na hazijawah saidia chochote popote pale, kwanza siku hizi hizo habari za michezo nauchambuz watu wanasoma kwenye mitandao zaidi kuliko kusikiliza redio je na huko nako wawe wanafungia mpk mda wa kazi uishe? kaka maendeleo hayaji kwa kulazimisha ukifny hvyo ndo utaleta umaskini zaidi kwa kuua sekta nyngne ambazo hatab hukuwahi zifikiria, kuna baadhi ya nchinwamesharuhusu matumizi ya bange kwa kujiburudisha hii yote ni kuongeza fursa za kiuchumi ht kwa asilimia ndogo,