Kwani Kuna mtu ataahirisha kwenda job eti kisa amsikilize edo kumwembe?au ni vibaya kuskilizia vipind hvyo ukiwa ofcn kwako?bdo cjakupata point y'ako.km ndivyo bs redio zizimwe hd huo muda rasmii.coz redio watu wanaskiliza mda wote,ht bila michezo,mtu ataskiliza muziki,au makala mbali mbaliNimeonyesha mchango wa michezo kwenye uchumi, hivyo michezo ni muhimu ila tatizo liko kwenye vipindi vya michezo hapa nchini.
Hebu mtetee ww bs...mantiki ya hoja yake iko wp?hv ww ukiwa na kazi mahali,utaacha kwenda job eti kisa amsikilize edo kumwembe!?au ni vibaya kuskilizia vipind hvyo ukiwa ofcn kwako?heb toa ufafanuz kwanza hapoHoja iko sahihi ila wanaojadili naona wameamua kumjadili mtoa hoja na sio hoja yenyewe.
Mtu kakesha baharini au ziwani akivua, mwingine kasafiri na lori usiku kucha, mwingine kakesha shifti sasa ukimkuta Bar anapata supu na balimi unachonga sanaaa, unajifanya wewe ndiye mwenye akili nyingiii kupangia watu waishije. Wakati huo huo hao watu hata siku moja hujawapekekea au kuwapa kilo moja ya unga free wakikwama. Hebu punguzeni ufala nyie...Naona huo ulevi umehamia huko maana kipindi kile ilikua bunge live hali ilitisha,
Unakuta asubuhi bar imefunguliwa vijana wanacheza pool table, hapo pembeni kuna kijiwe cha soga halafu wako wanaotoa lock huku wakitazama bunge live.
Magufuli was right.
Haya nenda kaishi nchi ambayo bar inafunguliwa saa moja asubuhi.Mtu kakesha baharini au ziwani akivua, mwingine kasafiri na lori usiku kucha, mwingine kakesha shifti sasa ukimkuta Bar anapata supu na balimi unachonga sanaaa, unajifanya wewe ndiye mwenye akili nyingiii kupangia watu waishije. Wakati huo huo hao watu hata siku moja hujawapekekea au kuwapa kilo moja ya unga free wakikwama. Hebu punguzeni ufala nyie...
Kusikiliza redio wakati unafanya kazi kunapunguza ufanisi kwa baadhi ya kazi, pia kuna baadhi ya watu hawawezi kukubali kupitwa na michezo so watasikiliza huku wanafanya kazi.Hebu mtetee ww bs...mantiki ya hoja yake iko wp?hv ww ukiwa na kazi mahali,utaacha kwenda job eti kisa amsikilize edo kumwembe!?au ni vibaya kuskilizia vipind hvyo ukiwa ofcn kwako?heb toa ufafanuz kwanza hapo
Unazungumzia nchi ambazo raia wake walishajitambua huku kwetu bado sana, fungua tu baa asubuhi utaona watu wanavyojazana.Huyu mwandishi wa sweken kweli, kuna nchi zina Channel za michezo, filamu na kila aina ya burudani 24/7 na watu hawaachi kufanya kazi