Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

Hivi logic ya me kuadhibiwa makalioni na ke kuadhibiwa mkononi ni ipi? Nini kilipelekea kuamua namna hii kisheria/kanuni.
Kwanini asinge mpiga makalion alikuwa na lengo la kumumiza.
 
Ila hizi sosho midia zitaokoa wengi...
Jamani tulikua tunatandikwaga mboko mpka kalio linawaka moto..yani walimu wanajipanga msatari...kama hatukuchanika makalio enzi hizo na kuharibika kisaikolojia Mungu pekee aliingilia kati...
Ushauri fimbo zichapwe makalioni kwa idadi maalumu maana bila fimbo mtoto haendi...
 
Adhabu ya kupitiliza sio rafiki kwa mtoto. Lkn nakumbuka enzi zetu ukikosea jamani walimu wanapanga foleni unapita kwa kila mwalimu unalamba stiki,,na nyumbani ukienda kusema unaongezewa zingine. Wakati mwingine ukikosea ukaitwa ofisin kwa walimu unaambiwa uinamishe kichwa chini ya meza kiuno unainua juu unachapwa ukitoa kichwa tu fimbo zinafutwa wanaanza kuhesabu moja. Jamani tunatoka mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
Una tatizo mahali. Hakuna mzazi mwenye malezi mazuri kwa watoto wake akawa na kauli hizi.
 
Hakuna mwl anayeweza kufukuzwa Kwa ajili ya kosa Kama hilo..ni Hatua za kawaida za kinidhamu ztachukuliwa
 
Inategemea na kabila/utamaduni wa mtu.

Kama mtoa mada anatokea ule mkoa uliopakana na Kenya na Uganda inawezekana kipigo ni sehemu ya maisha yake.

Ingawa wapo wengi pia kutoka huko ambao hawawezi kukubali ujinga huu.
Hata hao wa mkoa huo hawana ujinga huo. Ukiona mtu anafanya ukatili ni shida binafsi tu.
 
Hawa watoto wa siku hizi wangekuwa wanatembezewa still kama zamani Hakuna angeenda shule.
Yaani mtu unajaradia godoro kabisa au maboksi, yaani upite siku tatu ujalambwa bakora ukatambike.
Kuna1. Kuwahi namba, usafi, masomo unakwepea wapi
Elimu ya Tanzania ilishakufa 2014
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
Wengi hawatokuelewa yani juzi nimeona video matoto yamefirana afu walimu wanayahoji badala ya kupiga bakora tatizo bongo ujuaji mwingi watu wanataka watoto wa kiafrika wawe treated kama wa kizungu kwa mtindo huu tutegemee mmomonyoko wa maadili afu adhabu yenyewe ya kawaida sana fimbo za unyayo tu watu wanabweka
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
Naskia lile toto linapata zero kila sku , alaf full kuchelewa skull , wazazi wenyewe washanyosha mikono
 
Kwa tulio anza shule mwanzoni mwa miaka ya 2000 mpaka 2013 tulipata elimu ya kila kitu s Hawa watoto wa social media
 
Hivi unajua kama walimu wameandikishwa mkataba wa kufaulisha wanafunzi wote?Ukifelisha kazi huna,na ukuadhibu kazi huna.Na mtoto kumfundisha bila viboko aisee watakutia na vidole.Kuwa mwalimu ktk nchi ya kidemocrasia ndo utajua
Mwalimu gani alifukuzwa sababu wanafunzi wamefeli?. Nina ndugu ni walimu wakuu shule tofauti 4 mikoa tofauti, sijawahi sikia hilo.
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
We ni mwalimu sio,
Nyie ndo hua mnaskiaga Raha kuchapa wanafunzi bila kosa kisa manajaribiashia fimbo zenu mlizozitengeneza takribani wiki. Hv.

Bahati nzur umestaafu🙃
 
Moja, binafsi namuwaza aliye kuwa anarecord wakati mwalimu mkuu akitekeleza majukumu yake alikuwa na lengo gani?

Pili, Huwezi fundisha watoto watukutu kwa kuwabembeleza, hujafanya zoezi utaadhibiwa! Mbona hajaadhibu shule nzima? Kwanini adhibiwe yeye?

Tatu, uliye share hiyo video ya mwenzio akitekeleza majukumu yake, pasipo shaka yoyote kasherehekee maumivu ya mwalimu mkuu na wategemezi wake.
Kama mzazi aliumia ndio maana akarekodi. Pia mmoja kati ya hao watoto ni mtoto wa mwalimu mwenzao
 
Moja, binafsi namuwaza aliye kuwa anarecord wakati mwalimu mkuu akitekeleza majukumu yake alikuwa na lengo gani?

Pili, Huwezi fundisha watoto watukutu kwa kuwabembeleza, hujafanya zoezi utaadhibiwa! Mbona hajaadhibu shule nzima? Kwanini adhibiwe yeye?

Tatu, uliye share hiyo video ya mwenzio akitekeleza majukumu yake, pasipo shaka yoyote kasherehekee maumivu ya mwalimu mkuu na wategemezi wake.
Yani watu wamekuwa wa ajabu sana mtu akimiliki smartphone anawashwa washwa ticha wa watu alikua kazini kuwasaidia hao madogo mtu unaanza kurekodi
 
NAMKUMBUKA DR. MACHUMU PALE DUCE KATIKA EP 101 ".. Corporal punishment should be allowed in our school?..."
Asee mtoto anapokosea anapaswa kuhadhibiwa as long as bdo atakuwa salama kiafya..
Nmejifunza haya kupitia hili...
1.Watoto wote baada ya kuhadhibiwa waliweza kutembea bila shida yeyote
2.Mwalim aliwaadhibu wanafunzi kweli kwa lengo la kuwakomesha wasirudie Tena hiyo tabia.
3.Kizazi tulichonacho sio sikivu Wala sio tiifu
MY OPINION: Mwalimu arudishwe kazini anastahili kuendelea na majukum yake ya kila siku.
"kuhadhibiwa" [emoji2788]
 
Ila hizi sosho midia zitaokoa wengi...
Jamani tulikua tunatandikwaga mboko mpka kalio linawaka moto..yani walimu wanajipanga msatari...kama hatukuchanika makalio enzi hizo na kuharibika kisaikolojia Mungu pekee aliingilia kati...
Ushauri fimbo zichapwe makalioni kwa idadi maalumu maana bila fimbo mtoto haendi...
Niliwahi kula mianzi 36 toka kwa mwamba anaitwa Tenson mjeda akiwa na gwanda na nyota 3 begani, niko fm3 shule 1 ya jeshi, kisa nimekataa kuwa class Rep.
 
Unasema shule ni amri!! Kwa hawa BAADHI YA walimu wanaolawiti watoto!!!??? Walimu HAWAJAKATAZWA KUCHAPA WATOTO wachape kwa kufuata SHERIA, KANUNI NA TARATIBU zilizopo.
Iyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja maana ata nyie wazazi wengine mnalawiti watoto wenu wa kuwazaa
 
Kweli utumwa hautaisha Africa
Unatetea upumbavu alioufanya
Kwa kosa la mtoto wa miaka 9 achapwe hivyo

Nyie ndio mnazabwa Kofi na muajiriwa mnakaa kimya au mnalia tu kwa sababu akili ilishaharibiwa kwa kuchapwa miaka kibao

Hivi huwezi kumfundisha mtoto kwa kumsahihisha tu au adhabu ndogo ?

Mbona mbwa wanafundishika?

Udhaifu wako wa kujifanya umetusua kwa sababu ya kupigwa ni ujinga wako

Piga mwanao kila siku kama hakukukimbia
Sio ya zamani eti atakaa tu unadunda kama punda
 
Yani watu wamekuwa wa ajabu sana mtu akimiliki smartphone anawashwa washwa ticha wa watu alikua kazini kuwasaidia hao madogo mtu unaanza kurekodi
Binafsi ukinirecodi kwa namna yeyote bila ridhaa yangu nakuua kabisa!!
 
Back
Top Bottom