Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

Yaani mm kama ndo mzazi yule mwalimu kwanza ningemtafuta mwenyewe na wahuni wangu. Ningemchapa fimbo za nyayoni na makalioni mpaka achanike kwanza alafu tunapaka napilipili kichapo kingeendelea than arudi kufundisha Fala sana yule mwalimu.
 
Umeongea kweli tupu, nimewahi kucomment katika nyuzi kadhaa zilizopita zinazohusu malalamiko kuhusu ile adhabu.....
Nilishangaa na naendelea kushangaa kuona mizazi mizima, tena ya kiume, eti inalalamika kuhusu kaadhabu kale. Kama hali ndo hiyo ushoga utaishaje?!!!!!!

Hivi nani aliona kuwa yule mtoto aliacha kulia tu (sina uhakika kama alikuwa akilia kweli) pale mwalimu alipomwachia?!!!!! Kile, kwa tuliozoea kulea, ni dalili ya kiburi na utukutu wa hali ya juu......inawezekana tukio alilolifanya yule hata mzee wa miaka 55 hajawahi kulifanya wala kujua tu kama lipo. Mtatetea hivyo hivyo mkiambiwa kuwa yule mtoto alikuwa akiwarushia walimu mawe? Alikuwa akilawiti au kulawitiwa? Amemtukana mzazi na mzazi akaja kuomba msaada shule? Kuja mwalimu mkuu kumwadhibu pale ofisi ya walimu inawezekana ni dalili kuwa walimu walimshindwa.

Nasema hivi, angekuwa wangu kwanza ningefika pale shule kumuongezea mabanzi (kerebu) na baada ya hapo nyumbani ingebidi anipe sababu saba (7) zinazoanzia na herufi X za kwanini ameadhibiwa na mwalimu shuleni.
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
Adhabu zotolewe kwa kuzingatia utu na haki za binadamu. Mwanafunzi ni binadamu kama binadamu wengine.
Hapo hoja sio viboko walivyochapwa bali ni sehemu ya mwili iliyotumika(miguuni) na kumkanyaga mtoto. hapo tu ndio kuna tatizo.

Nyayo za miguu zina uhusiano mkubwa na mapigo ya moyo. Na ndio maana mtu alipoteza fahamu unaambiwa umvue kwanza viatu nk. Lakini hata mtu binafsi ikiwa anajisikia uchovu fulani wa mwili, ikiwa amevaa viatu, akivua huhisi nafuu fulani! Hapana chezea nyayo wewe!Angemchapa sehemu nyingine ya mwili
 
kama hawaelewi achana nao utakuja kuua kitoto cha watu ukanyee ndoo bure na ajira unapoteza. Kikubwa wewe ingia darasan fundisha,elekeza kisha kakae sehemu unywe double kick yako taratiiibu
Nakambia kwa mwalimu wa kweli kabisa, intrinsically motivated teacher, hicho unachokisema hapa hakiwezi hata kidogo......na akifanya hivyo anakosa kabisa amani ya moyo. Walimu wanatamani mtoto anyooke, awe mwema........akishambadilisha mtukutu kuwa mwema; akishamrejesha kwenye mstari mwanafunzi anayeonekana ana kipaji/akili lakini akitaka kupotea, hapo ataweza kupata hiyo double kick kwa amani. Tofauti na hapo, big NO!
 
Adhabu zotolewe kwa kuzingatia utu na haki za binadamu. Mwanafunzi ni binadamu kama binadamu wengine.
Hapo hoja sio viboko walivyochapwa bali ni sehemu ya mwili iliyotumika(miguuni) na kumkanyaga mtoto. hapo tu ndio kuna tatizo.

Nyayo za miguu zina uhusiano mkubwa na mapigo ya moyo. Na ndio maana mtu alipoteza fahamu unaambiwa umvue kwanza viatu nk. Lakini hata mtu binafsi ikiwa anajisikia uchovu fulani wa mwili, ikiwa amevaa viatu, akivua huhisi nafuu fulani! Hapana chezea nyayo wewe!Angemchapa sehemu nyingine ya mwili
Nyayo hizi hizi tunazojichoma miiba kutwa kucha tukifukuza mbawala porini? Hizi hizi tunazochezea mpira uwanjani na kuchunika hovyohovyo?!!! Kumbeckwenye bakora zinakuwa sensitive kiasi hicho?!!!!
 
Hivi unajua kama walimu wameandikishwa mkataba wa kufaulisha wanafunzi wote?Ukifelisha kazi huna,na ukuadhibu kazi huna.Na mtoto kumfundisha bila viboko aisee watakutia na vidole.Kuwa mwalimu ktk nchi ya kidemocrasia ndo utajua
nani aliwahi kufukuzwa kwa kufelisha? nipe mfano mmoja tu
 
Ningekua mwalimu ningefuata yangu tu nafundisha wanaotaka elimu haya majinga naachana nayo , mzazi akiwa tayari kumfuatilia mtoto wake akitaka niwe nae anipe ushirikiano , coz kuna wazazi wanapata watoto wao vilabuni watoto hawana adabu ukiwanyoosha kidgo tu wazazi wanakuja juu , bora ku deal na watoto ambao wazazi wao wanakupa ushirikianao.
 
Mbaya ni vile alivyomkanyaga miguu pia.

Binti yangu aliwahi chapwa fimbo sabini hapo kiluvya.
Niliziba masikio na mdomo kama sijasikia kitu. Nilimlaani yule ticha

Sasa ni lecture assistant huko
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
Natamani ningekuwa na uwezo wa kufanya kitu kwenye ajira yako uliyonayo sasa; iwe ya kuajiriwa au ya kujiajiri! Umenigusa sana
 
Acha upuuzi wewe ni kweli tulichapwa lakini ilikuwa ni uonevu. Niliwahi kuchapwa na mwalimu fulani miaka ya 86 huyu mwalimu alinipiga hata sijui fimbo ngapi make ilifika mahali hata sisikii tena maumivu ya fimbo, kwa sababu alikuwa anataka nimuonyeshe funguo ambazo mimi sikujua ziko wapi, ilikuwa ni uonevu uliopitiliza, japo baadae alikuja kuwa rafiki yangu na hata wakati nilipokuwa natoka shule kwenda likizo nilikuwa napitia nyumbani kwako napumzika kwa siku moja ndo naelekea kijijini, kipindi hicho alikuwa alishahamishwa ile shule lilikotokea tukio. Adhabu ilitokana na mdogo wake ambaye tulikuwa naye darasa moja kudai kuwa amepoteza funguo na akinituhumu mimi kuficha hizo funguo. Lakini ilikuwa ni ukatili wa hali ya juu. Nikiwa darasa la saba pia nilichapwa na mwalimu mkuu mmoja hivi kisa mimi nilikuwa monita wa darasa na enzi hizo kulikuwa na lile vuguvugu la waliojiita LY, hivo wakawa wameandika ukutani majina akumbukwe fulani na fulani. Haya majina yaliandikwa siku za wikendi kwa maana ya jumamosi na jumapili, hivo ile jumatatu mimi naingia darasani nakuta darasa zima limechafuka. Jaribu kufuta ikashindikana.
yule mheshimiwa alipoingia darasani akasoma yale maneno kwenye ukuta wa darasa akauliza nani kaandika darasa lote kimya. Kilichofuata nikuamulu monita avue sheti yake na asaafishe ukuta wote, nilisimama lakini lakini sikukubali kuvua sheti yangu, kwa kweli yule mwalimu mkuu alichapa mpka nikaamua liwalo na liwe nikaruka kupitia dirishani nikatoka nje. Kama haitoshi bado akanisimamisha shule nikaruhusiwa tu kwenda kufanya mtihani wa mwisho.

Mungu mkubwa matokeo kutoka nilikuwa mwanafunzi pekee niliyefaulu kati ya wanafunzi 90 tuliofanya mtihani. Sitaki kukubaliana na wewe kuwa kuchapa mtoto vile ndo kumwadabisha na kwa nini asichape matakoni. Unajua unyayo wa mguu ulivyo sensitive kweli. Ile coplo punishment za huko kwenye vikosi fulafulani wakati wanapohitaji kupata taarifa au kuumiza mtu bila kuacha ushahidi wa wazi. Sikubaliani kabisa na wewe.
 
Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto.

Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha?

Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu.

Shule ni amri kama ilivyo kwa police, wafungwa, maabusu, wauguzi, madakitari, wanajeshi na wanafunzi wanaishi kwa amri kwa sababu ndio maana ya unform zao wanazovaa.

Ukiambiwa kafanye hivi hakuna kuhoji popote.

Nyie mawaziri na wabunge na watetea mashoga acheni kuwakandamiza walimu wanaotengeneza kizazi cha kesho wakati watoto wenu wanasoma Feza schools.

Sisi watoto wetu ambao wanasoma kayumba wachapwe bakora wanyooshwe na kufundishwa Maisha.

Shule kwa Maisha ya kiafrika haitaki uzungu!!

Mwalimu mkuu arudishwe shule na ikiwezekana apandishwe cheo sio kushushushwa cheo lasivyo msije kuuliza wanafunzi watakapofeli in large mass!!!

Nipo bega kwa bega na walimu wote ambao wanataa adhabu za ziada kwa watoto.

Maana watu wote tuliofanikiwa tunajua faida ya bakora kuanzia Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia ni zao la bakora tena za kutosha.

Watoto wa kishua waachieni elimu yao maana wao hata wakifeli mitaji ipo sisi watoto wetu wa kayumba Maisha wanafundishwa shuleni acheni wapigwe sitiki!!

Naongea kama mzazi mwalimu mkuu alejeshwe kazini haraka.
Imrejrshr ili akaendrlee kuua watoto wa watu, huyo mwalimu cha kumsaidie wamtibie ugonjwa wa akili, mtu alie timamu hawezi kumpiga mtoto namna ile
 
Ila Kwa namna moja iki kizazi watoto wamekosa heshima aisee huo ndio uhalisia sisi tulipigwa sana Na ndio matokeo ya wazazi wa hii leo ,unakuta mtoto hasalimii ,mtoto hampishi mtu kwenye daladala mtu mwenye umri zaidi ya baba ake mitoto imekua nazi nazi sana Kwa kweli adhabu ya viboko kwa mimi naona iendeleee kizazi hiki kitakuja kuwa Na wazazi wa ajabu sana
 
Ni upungufu wa akili kulinganisha kutoa adhabu kwa haki na kueneza ushoga.
Wote tumepitia viboko, lakini si kwa ukatili kama tunavyouona.
Alternative ya kutoa dhabu kiakili na kwa haki si kutetea ushoga.
Inaelekea mtoa hoja mizania ya kufikiri ina kasoro.

Siyo kasoro idadi ya mashoga inaongezeka Kwa sababu ya malezi na kuleta uzungu mwingi heshima ya mtoto ipo kwenye malezi,malezi bila viboko ni kumharibu mtoto,mtoto inatakiwa akunjwe angali mbichi
 
Asiporudishwa kazini, utachukua hatua gani?
 
Siyo kasoro idadi ya mashoga inaongezeka Kwa sababu ya malezi na kuleta uzungu mwingi heshima ya mtoto ipo kwenye malezi,malezi bila viboko ni kumharibu mtoto,mtoto inatakiwa akunjwe angali mbichi
Mkunje mtoto wako mwenyewee kwa kumkanyaga magoti na kumcharaza fimbo zisizo na hesabu kichwani, magotini mwilini, atanyoooka tu!
 
Bado mimi nantanzika tu na haya matumizi mabovu ya teknologia.. kwanini watumishi wanaanza kurekodiana..

Inashangaza sana..
 
Mleta mada ni mzigo kwa jamii iliyostaarabika na uwepo wa watu kama yeye ni hatari sana
 
Back
Top Bottom