Ushauri: Serikali tafuteni kampuni ya kufanya management (uendeshaji) tu kwenye bandari zetu na sio kubinafsisha bandari

Ushauri: Serikali tafuteni kampuni ya kufanya management (uendeshaji) tu kwenye bandari zetu na sio kubinafsisha bandari

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Kifupi huo ndio ushauri wangu.

Tufanye nini? Najua shida yetu kubwa katika kila kitu hapa nchini ni uendeshaji mmbaya na sio kukosekana kwa fedha. Tumewahi kupokea fedha nyingi za misaada lakini tukaishia kuzitumia hovyo kwa kukosa good management na weledi.

Tunashindwa kwenye technical aspects na management. Timu hii ifanye shughuli za kiufundi na kiuendeshaji ikifanya kazi sambamba na wazawa hadi pale utendaji utakapoboreka.

Ni rahisi na salama zaidi kufanya hivyo kuliko kibinafsisha muundombinu wa bandari ambao ni mlango wa nchi yetu.
 
Poor Tanzania politicians. 😳😳😬😬😬😲🙌🙌🙌
 
Shida ya bandari ni usimamizi , kisa hawana roho ya chuma ya kuongoza , wanampa mtu awaleleee , akili mbovu Sana hzi
 
Kifupi huo ndio ushauri wangu. Tusifanye mikataba mirefu ya kujifunga kwa miaka 100 kwani mambo hubadilika sana na tutafika mahali tutakuwa hatuna la kufanya na mikataba mibovu.

Tufanye nini? Najua shida yetu kubwa katika kila kitu hapa nchini ni uendeshaji mmbaya na sio kukosekana kwa fedha. Tumewahi kupokea fedha nyingi za misaada lakini tukaishia kuzitumia hovyo kwa kukosa good management au weledi.

Tunashindwa kwenye technical aspects na management. Timu hii ifanye shughuli za kiufundi na kiuendeshaji ikifanya kazi sambamba na wazawa hadi pale utendaji utakapoboreka.

Ni rahisi na salama zaidi kufanya hivyo kuliko kibinafsisha muundombinu wa bandari ambao ni mlango wa nchi yetu.
Mmeanza kuja na maneno mepesi, mmekosa ubunifu sasa mmeisha saini leo mnasema nini, nawambieni hii ngoma ni nzinto ichukulieni poa , mmegusa nyeti za wenyenchi mtajua hamjui , wengine tuwaonyapo kwa kauli nzinto na zenye ushirika na yeye alie juu yetu mwatoana wapumbavu

Sasa Mungu anasema hivi hii ni ishara tu kwenu watawala kuona hasira ya watanzania ,lipo lenyewe asema bwana
 
Duh aiseee tunapoelekea.

#tushauzwa
 
Watu wanawaza kuiba tu unategemea nini hapo?

Hakuna kitu kibaya kama kumkuta mtu kakaa tu ofisini kwa nyodo na anakuona kama boya tu
Wavivu na majizi ndio % kubwa wako hivyo sasa hiyo kazi itaingiza faida gani hapo

Halafu mtu anahakikisha kama kuiba achukue zote ili mwingine asikute hata senti

Jamani tusimlaumu mwarabu wala muwekezaji kwani wao ni wafanyabiashara wanaotafuta fursa duniani

Mpaka serikali inaamua hivyo wameona nyie hamuwezi ila kuiba tu sasa bora hao walipe kodi

Ila nao watakimbia tu hata wawafunge camera mikononi waswahili mtaiba kwa miguu
 
Back
Top Bottom