Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Nifanyaje mkuu huyu binti bado namuhitaji sana.. nishauri
Unamuhitaji halaf at the same time huna hisia nae?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifanyaje mkuu huyu binti bado namuhitaji sana.. nishauri
100% correctUnampenda sema kutokana na maisha kapoteza ule mng'ao, kiasi msisimko wako kwake umeisha,, mtengeneze ameremete umuoe ama la wajuba wakuibie,
Usione vyaelea,,,,,, nachukizwa sana na wanaume wanaothamini mwanamke sababu ya kunawiri, mafisi tu
Bado nampenda ndio na ukweli msisimko wangu kwake umeisha na nipo kumpendezesha na kumfanya kuwa bora kabisaUnampenda sema kutokana na maisha kapoteza ule mng'ao, kiasi msisimko wako kwake umeisha,, mtengeneze ameremete umuoe ama la wajuba wakuibie,
Usione vyaelea,,,,,, nachukizwa sana na wanaume wanaothamini mwanamke sababu ya kunawiri, mafisi tu
Kila la heri, japo una utoto badoBado nampenda ndio na ukweli msisimko wangu kwake umeisha na nipo kumpendezesha na kumfanya kuwa bora kabisa