Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

Unampenda sema kutokana na maisha kapoteza ule mng'ao, kiasi msisimko wako kwake umeisha,, mtengeneze ameremete umuoe ama la wajuba wakuibie,

Usione vyaelea,,,,,, nachukizwa sana na wanaume wanaothamini mwanamke sababu ya kunawiri, mafisi tu
 
Fata vile moyo na nafsi yako inataka, ingawa binadamu shape na umbo la binadamu kuna wakati hubadilika
 
Unampenda sema kutokana na maisha kapoteza ule mng'ao, kiasi msisimko wako kwake umeisha,, mtengeneze ameremete umuoe ama la wajuba wakuibie,

Usione vyaelea,,,,,, nachukizwa sana na wanaume wanaothamini mwanamke sababu ya kunawiri, mafisi tu
100% correct
 
Bado nampenda ndio na ukweli msisimko wangu kwake umeisha na nipo kumpendezesha na kumfanya kuwa bora kabisa
 
Back
Top Bottom