Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Dec 29, 2022 #21 dracular said: Nifanyaje mkuu huyu binti bado namuhitaji sana.. nishauri Click to expand... Unamuhitaji halaf at the same time huna hisia nae?
dracular said: Nifanyaje mkuu huyu binti bado namuhitaji sana.. nishauri Click to expand... Unamuhitaji halaf at the same time huna hisia nae?
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Dec 29, 2022 #22 Unampenda sema kutokana na maisha kapoteza ule mng'ao, kiasi msisimko wako kwake umeisha,, mtengeneze ameremete umuoe ama la wajuba wakuibie, Usione vyaelea,,,,,, nachukizwa sana na wanaume wanaothamini mwanamke sababu ya kunawiri, mafisi tu
Unampenda sema kutokana na maisha kapoteza ule mng'ao, kiasi msisimko wako kwake umeisha,, mtengeneze ameremete umuoe ama la wajuba wakuibie, Usione vyaelea,,,,,, nachukizwa sana na wanaume wanaothamini mwanamke sababu ya kunawiri, mafisi tu
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Dec 29, 2022 #23 Fata vile moyo na nafsi yako inataka, ingawa binadamu shape na umbo la binadamu kuna wakati hubadilika
Fata vile moyo na nafsi yako inataka, ingawa binadamu shape na umbo la binadamu kuna wakati hubadilika
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Dec 29, 2022 #24 Kapeace said: Unampenda sema kutokana na maisha kapoteza ule mng'ao, kiasi msisimko wako kwake umeisha,, mtengeneze ameremete umuoe ama la wajuba wakuibie, Usione vyaelea,,,,,, nachukizwa sana na wanaume wanaothamini mwanamke sababu ya kunawiri, mafisi tu Click to expand... 100% correct
Kapeace said: Unampenda sema kutokana na maisha kapoteza ule mng'ao, kiasi msisimko wako kwake umeisha,, mtengeneze ameremete umuoe ama la wajuba wakuibie, Usione vyaelea,,,,,, nachukizwa sana na wanaume wanaothamini mwanamke sababu ya kunawiri, mafisi tu Click to expand... 100% correct
dracular JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 769 Reaction score 1,069 Dec 29, 2022 Thread starter #25 Kapeace said: Unampenda sema kutokana na maisha kapoteza ule mng'ao, kiasi msisimko wako kwake umeisha,, mtengeneze ameremete umuoe ama la wajuba wakuibie, Usione vyaelea,,,,,, nachukizwa sana na wanaume wanaothamini mwanamke sababu ya kunawiri, mafisi tu Click to expand... Bado nampenda ndio na ukweli msisimko wangu kwake umeisha na nipo kumpendezesha na kumfanya kuwa bora kabisa
Kapeace said: Unampenda sema kutokana na maisha kapoteza ule mng'ao, kiasi msisimko wako kwake umeisha,, mtengeneze ameremete umuoe ama la wajuba wakuibie, Usione vyaelea,,,,,, nachukizwa sana na wanaume wanaothamini mwanamke sababu ya kunawiri, mafisi tu Click to expand... Bado nampenda ndio na ukweli msisimko wangu kwake umeisha na nipo kumpendezesha na kumfanya kuwa bora kabisa
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Dec 29, 2022 #26 dracular said: Bado nampenda ndio na ukweli msisimko wangu kwake umeisha na nipo kumpendezesha na kumfanya kuwa bora kabisa Click to expand... Kila la heri, japo una utoto bado
dracular said: Bado nampenda ndio na ukweli msisimko wangu kwake umeisha na nipo kumpendezesha na kumfanya kuwa bora kabisa Click to expand... Kila la heri, japo una utoto bado