mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Ulivyofafanua n kweli kabisa,,,ushauri wako atoe au asitoe mbunye1. Mmama kaolewa, ana mume.
2. Mmama huyo akachepuka na somebody X hadi kuzaa watoto wawili kimya kimya (yaani mimba awamu mbili nje ya ndoa), hadi binti mkubwa wa mmama huyo 'anafahamu' hiyo scandal ya mama yake kwa somebody X !!!!
3. Binti wa mmama now anataka kumpa mbunye kijana wa somebody X.
______________
Uduwanzi duwanzi tu kila kona... si ndoani, si batani.
-Kaveli-
Kwanini mkuu? Mshauri msela aendelee na mbususu ama aahirishe?Dunia simama nishuke
Mambo mengine vipi lakini mtoto mzuri?Hata sijui nishauri nini.
Subiri kituoni.Dunia simama nishuke
Mimi mwenyewe nilimshauri hiviiKuona mwanaume anapata kigugumizi kufanya maamuzi kwenye issues ndogo kama hizi huwa napata hasira sanaaa,, HAKUNA UNDUGU HAPO ILAAAAAA,,,,,kama anataka kupita, na apite nae,,kama anataka kuoa aachane nae mambo ya yatakuwa mengi,,
#OneDayYouWillBeGone,,
😂Had nimemkumbuka msukumaSasa hii ndio TRAT na TRAB og.
Imekuwa yangu tena?Achaneni na maisha ya watu, wacha wavurugane wao.
Wew hii habari ni yako na wew ndiye huyo jamaa unaemsingizia kuomba ushauri, jiseme tu hatutokutukana japo tutakurushiapo povu kimtindo.
[emoji1666][emoji1666]Mimi mwenyewe nilimshauri hivii