Ushauri tafadhali Kutoka Jf,, mapenzi changamoto

Kwa hiyo somebody x amekuwa akigonga mbuye ya somebody y kwa approximately miaka 4 au zaidi coz hatujui watoto wana umri gani huku somebody y akijua ni watoto wake. Ni hatari kweli, huyu shetani aliyepewa dhamana kuhakikisha vikojoleo vinatumika isivyo sahihi ana PhD ya kufa mtu.
 
Kuna watu huenda wanalishwa mizizi mzee ni for more 5 years wapo on relationship
 
Ngumu kuimeza
 
Huyo Ni wewe mwenyewe unasingizia rafiki!! Hicho unachofikiria kufanya we fanya tu cos hata tukikushauli usile hiyo mbususu we utakula tu kwani umeshadhamilia kufanya hivyo.
 
Sijaelewa story hv nimelewa au
Duh,,,,Mama G ameolewa na Baba G. ,,Baba K anachepuka na mama G na wamezaa watoto F na H,,,K alimtongoza G akaambiwa mm Sina shida but you know that F na K n watoto wa baba ako?

Ushauri K ale mbususu ama assume kuwa G nae ni ndugu yake?
 
Huyo Ni wewe mwenyewe unasingizia rafiki!! Hicho unachofikiria kufanya we fanya tu cos hata tukikushauli usile hiyo mbususu we utakula tu kwani umeshadhamilia kufanya hivyo.
Jenga Imani na mm ,,sinaga unafiki
 
Kama siyo Dada yake ,amtafune tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…