wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,527
Ukitokea mbezi shule kama unaenda goba kumekuwa na foleni kubwa sana pale kwa sababu ya magari yanayotoka makabe na yanayoenda goba hadi kuchukulia baadhi ya magari mengine kuzunguka temboni short cut ya matosa kutokea njia 4.
Yaani magari yanapigani pini hakuna linalompisha mwenzie hadi kuchukulia watu kuchelewa kazini /nyumbani,wakati pale tanroad wangeweza kuweka round about kama ile pale goba senter ingesaidia sana maana wanzoni pale goba senter napo kabla hawajaweka ilikuwa kama hapa hapa njia panda ya makabe.
Ombi langu kwa serikali pale tuwekewe round about itatisaidia sana hii adha ya foleni isiokuwa na mwanzo wala mwisho.
Ombi la pili;
Njia hii hii ya goba kutokea mbezi shule chini pale kuna round about ambayo pale asubuhi panakuwa na bajaji nyingi mbo zinapakia abiria wa kwenye mjini ,hizi bajaji zimeku kero sana pale maana zinasababishaga foleni kubwa mbo asubuhi hadi unnakuta foleni iko njia panda ya makabe kumbe babaji zinapakiq pale zinakaa hadi barabarani magari yanakuwa yanapita line moja tuu.
Uchunguzi nilofanya pale nimetonywa (na mpiga debe)kuwa zile bajaji pale huwa wanachanga hela trafic anaekuwa kapangwa eneo lile anapewa fungu anatulia jamaa wanapaki na kupakia bila woga wowote na hawaguswi.
Naomba serikali wafuatilie hili maana imekuwa kero sana kwa wakazi wa goba.