Mimi naomba kwa wale wote wanaopenda nchi yetu tusibaki kulalamika na serikali yetu ambayo haifanyi lolote kurekebisha mkataba badala yake naomba tufanye hivi
Team ya wasomi wanao taka mabadiliko wasafiri kwenda Dubai kama wadau wa maendeleo na waombe kukutana na viongozi wa huko . Waende na mapendekezo ya marekebisho kabisa ya biashara na vifungu ambavyo tunaona vinahitaji marekebisho.
Hii team ni kwamba inaenda kama kuomba tuonewe msahama kwa serikali yetu ambayo haisikilizi au inawezekana wameshakula pesa hivyo hawataweza kurudi kule.
Ujumbe huu nashauri uongee zaidi na oungozi wa UAE na sio Dubai peke yake. Hawa viongozi hawatapenda kwenda sehemu ambayo hawahitajiki au wanaonekana kama ni wanyonyaji sioni sababu ya wenyewe kukataa mabadiliko.