USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Mshahara wa mbunge = 7,000,000 wabunge wa viti maalum 102 - Kwa mwaka 7,000,000 x 102 x 12 = 8, 568, 000, 0000 kwa mwaka.

Miaka 5 bungeni = 8, 568,000,000 x 5 = Jumla = 42, 840,000,000.

Mikopo ya mbunge = 90,000,000 wabunge viti maalum 102 - Jumla = 9,180,000,000

Personal loans = 280,000,000 x 102 Jumla = 28, 560,000,000

Kazi za wabunge wa viti maalum:-
a. Hazieleweki.
b. Hazijulikani.
c. Hazifahamiki.

Wanawakilisha akina nani?:-
Jibu: Hatujui.

Maskini kodi yangu we!!!!
 
Special seat's wako kwa ajili kushangilia tu,hawana lolote kazi kuvaa vikuku Tokeni hatuwataki.
 
Katibu wa bunge kapendekeza viti maalum ni mzigo, hasara, unnecessary seats kwa maana nyingine, serikali inaingia gharama kubwa zisizo na maana, imagine viti maalum vipo 102 , angalia hali halisi ya maisha, hawa kazi yao ni nini? Bunge gani duniani lina watu kama hawa? Nashangaa serikali ipo kimya, futa hawa, hawana lolote bungeni hata uraiani, serikali narudia, katibu kasema, viongozi wa juu mnaona, na wananchi wamelalamika saaaana kuhusu hawa viti maalum, kazi kulala bungeni, kulakulala, vikuku, mapoda, sielewi even one job assignment yao ni ipi? Ni mzigo kwa walipa kodi, wabunge 102 wa bureee jamani serikali hili sasa mlikatae, walipa kodi wanaumia, GET THEM OUT....!!!!!

Kwanza nikushukuru sana mdau kwa mada hii nzuri Mimi kipekee sikubali viti maalumu visivyo na maana katika uhalisia wake
Kwa watu wanaoona mbali ni mzigo mkubwa kwa nchi. serikali inaingia gharama kubwa zisizo na maana, viti102 ????????????? What a sshame?????????, Tukiangalia a hali halisi ya maisha ya mtanzania mtu unawezza kulia, ya nini wabunge wote hao? kazi yao ni nini? Kuna namna au makundi maalumu unaweza kusema uweka viti maaalumu? Kama ni kuwa promoti wanawake si kihivi!!!!!!!!!!!!!!! Unaweza kuwapromoti kuanzia mchakato wa chama. Na si kuwajazia viti vya bure ambavyo ni mzigo kwa walipa kodi, wabunge 102????? Mimi nashauri kuwepo na viti maalumu kwa kila chama kitakachopata mbunge kipate viti maalumu kwa wanawake viwili tu. Katika uwiano sawa. Pia viwepo vya walemavu
 
Mkuu umejieleza vizuri ila mie naona kama visiwepo kabisa nitakuambia sababu mosi kama suala ni gender hudhani kama itakuwa busara akina mama wapewe upendeleo katika kugombea katika primaries ili waweze kujifunza vipi wawakilishe wananchi kwani watagombea kama wabunge wengine waliochaguliwa na wananchi. Kama kuna wabunge wa kuchaguliwa waliokuwa na ulemavu mfano wa ngozi au macho waliweza kuchaguliwa na wananchi vp akina mama wapewe upendeleo. Nadhani hii mitazamo ya kiafrika kuona wanawake wanahitaji kuhurumiwa kila sehemu inahitaji kufikia kikomo. Akina Mama nchi za magharibi wanagombea kama watu wengine na mifano ipo mfano mama Hilary Clinton, Nancy Pelosi, Theresa Smith etc. wote wanapambana uwanjani kugombea nafasi.

Wafutilie mbali viti maalum it is a wastage of our tax payer money.
 
Hivi huu utaratibu wa kishenzi wa viti maalumu tuliurithi wapi??
 
[QUOTE=Mr. President;1952941]Katibu wa bunge kapendekeza viti maalum ni mzigo, hasara, unnecessary seats kwa maana nyingine, serikali inaingia gharama kubwa zisizo na maana, imagine viti maalum vipo 102 , angalia hali halisi ya maisha, hawa kazi yao ni nini? Bunge gani duniani lina watu kama hawa? Nashangaa serikali ipo kimya, futa hawa, hawana lolote bungeni hata uraiani, serikali narudia, katibu kasema, viongozi wa juu mnaona, na wananchi wamelalamika saaaana kuhusu hawa viti maalum, kazi kulala bungeni, kulakulala, vikuku, mapoda, sielewi even one job assignment yao ni ipi? Ni mzigo kwa walipa kodi, wabunge 102 wa bureee jamani serikali hili sasa mlikatae, walipa kodi wanaumia, GET THEM OUT....!!!!![/QUOTE]

Bravo Mr President!
Tena hii system imekuwa replicated hadi kwenye Mabaraza ya Madiwani katika Halmashauri zetu huko wilayani na mijini! Situation ni mbaya zaidi kwenye hali ya upungufu mkubwa wa rasilimali na matokeo yake tunazilaumu tu Halamashauri zetu kwa kutotekeleza majukumu. Get them out!

Mkuu umejieleza vizuri ila mie naona kama visiwepo kabisa nitakuambia sababu mosi kama suala ni gender hudhani kama itakuwa busara akina mama wapewe upendeleo katika kugombea katika primaries ili waweze kujifunza vipi wawakilishe wananchi kwani watagombea kama wabunge wengine waliochaguliwa na wananchi. Kama kuna wabunge wa kuchaguliwa waliokuwa na ulemavu mfano wa ngozi au macho waliweza kuchaguliwa na wananchi vp akina mama wapewe upendeleo. Nadhani hii mitazamo ya kiafrika kuona wanawake wanahitaji kuhurumiwa kila sehemu inahitaji kufikia kikomo. Akina Mama nchi za magharibi wanagombea kama watu wengine na mifano ipo mfano mama Hilary Clinton, Nancy Pelosi, Theresa Smith etc. wote wanapambana uwanjani kugombea nafasi.

Wafutilie mbali viti maalum it is a wastage of our tax payer money.

Huu upendeleo mpaka lini?? Nakuunga mkono inabidi vifutwe na hao akina mama wawezeshwe kugombea majimboni..
 
wafute viti maaalumu kweli kabisa ni hasara na ni mzigo mkubwa kwa serikali sion umuhimu wao
 
Kwanza nikushukuru sana mdau kwa mada hii nzuri Mimi kipekee sikubali viti maalumu visivyo na maana katika uhalisia wake
Kwa watu wanaoona mbali ni mzigo mkubwa kwa nchi. serikali inaingia gharama kubwa zisizo na maana, viti102 ????????????? What a sshame?????????, Tukiangalia a hali halisi ya maisha ya mtanzania mtu unawezza kulia, ya nini wabunge wote hao? kazi yao ni nini? Kuna namna au makundi maalumu unaweza kusema uweka viti maaalumu? Kama ni kuwa promoti wanawake si kihivi!!!!!!!!!!!!!!! Unaweza kuwapromoti kuanzia mchakato wa chama. Na si kuwajazia viti vya bure ambavyo ni mzigo kwa walipa kodi, wabunge 102????? Mimi nashauri kuwepo na viti maalumu kwa kila chama kitakachopata mbunge kipate viti maalumu kwa wanawake viwili tu. Katika uwiano sawa. Pia viwepo vya walemavu

Hapo kwenye Red: Ukishasema hivyo tayari ni unyanyapaa...lakini wakati huo huo tunaambiwa wanaweza.
Lingine la kuchekesha ni kwamba, wanasema usawa wa kijinsia...swali gumu huwa kwanini wanakubali vya kupewa na si kushinda katika nguvu ya kujenga hoja na hatimaye kuchaguliwa kwa kura? Hebu piga picha kama hizi nafasi zingekuwa upande wa wanaume nini kingeongelewa na kina TGNP, TAMWA etc? lakini kwanini bado hawaoni kama huu pia ni uzalilishaji?
My Take: Hapa kuna kiini macho, suala hapa si kunyimwa fursa (Mfumo dume), bali ni maslahi ndicho kinachopiganiwa.
 
Uliyosema ni sahihi.......Naunga hoja mkuu
wanapeana vyeo .............huyu ni mwenzetu
na mkulu ndio huyo hashauriki

Mshahara wa mbunge = 7,000,000 wabunge wa viti maalum 102 - Kwa mwaka 7,000,000 x 102 x 12 = 8, 568, 000, 0000 kwa mwaka.

Miaka 5 bungeni = 8, 568,000,000 x 5 = Jumla = 42, 840,000,000

Mikopo ya mbunge = 90,000,000 wabunge viti maalum 102 - Jumla = 9,180,000,000

Personal loans = 280,000,000 x 102 Jumla = 28, 560,000,000

Kazi za wabunge wa viti maalum:-
a. Hazieleweki.
b. Hazijulikani.
c. Hazifahamiki.

Wanawakilisha akina nani?:-
Jibu: Hatujui.

Maskini kodi yangu we!!!!

Thanking you for more maths, ongeza 10 MPs presidential appointees, then add marupurupu mostly fuel allowances, houses allowances, i am getting sick quick with ZERO JOB wanazofanya, wanatumia GENDER equality as their umbrella, of which wapo Kimaslahi tu, hakuna usawa wa kijinsia wala nini, this is unnecessary burden to Wananchi period, katiba mpya IFUTE huu UGONJWA so chronic, katibu Kashilillah katamka openly MZIGO hawa, & funny enough most are vihiyo beyond our expectations, fukuza hawa, toka, tokaaaaaaaaaaaaa......
 
vipi kuhusu special seats kwa walemavu..?
 
Tatizo ni kwamba hata katika rasimu ya muswaada wa katiba mpya tumekatazwa tusijadili mambo yafuatayo
TAASISI YA RAIS
BUNGE
MUUNGANO
Suluhu la special seat liko kwenye katiba, lakini bila kulijadili na kulitolea mapendekezo hii mzigo tutaendelea kuwa nayo. Mimi Katika katiba mpya sipendi KABISA wafuatao wawemo
1. Wabunge wa viti maalumu
2.Wabunge kumi wa kuteuliwa na Rais
3. Madiwani wa viti maalumu
Upande wa mhimili wa serikali
1. Ma RC
2.Ma DC
It is wastage of money, tuombe USIKU na MCHANA katiba mpya ituepushe na hawa wanyonyaji wakubwa.
 
Mshahara wa mbunge = 7,000,000 wabunge wa viti maalum 102 - Kwa mwaka 7,000,000 x 102 x 12 = 8, 568, 000, 0000 kwa mwaka.

Miaka 5 bungeni = 8, 568,000,000 x 5 = Jumla = 42, 840,000,000.

Mikopo ya mbunge = 90,000,000 wabunge viti maalum 102 - Jumla = 9,180,000,000

Personal loans = 280,000,000 x 102 Jumla = 28, 560,000,000

Kazi za wabunge wa viti maalum:-
a. Hazieleweki.
b. Hazijulikani.
c. Hazifahamiki.

Wanawakilisha akina nani?:-
Jibu: Hatujui.

Maskini kodi yangu we!!!!

hakika hii inaumiza nafsi zetu. Ndio maana akina Lisu ambao wanautumia mwanya huo hawawezi tena kemea. Pia hii itakula kwa chadema kwani kambi itarudi cuf.Ndio maana Slaa anaonesha kutoiunga mkono japo nzuri
 
Kwa jinsi ninavyokumbuka vita maalam viliwekwa mwaka 1995 na vilikuwa vinaishia 2010 (15 years) . Na dhumuni lake kubwa lilikuwa kuwawezesha Wanawake ili baadaye wagombee majimboni kwani hapo mwanzo walikuwa wachache sana bungeni.

Nashangaa hatujawahi kuambiwa kwa nini vinaendelea mpaka baada ya 2010.
Kwa kuwa tumeishakosea napendekeza baada ya UCHAGUZI ujao kuwe na wabunge wa kuchaguliwa tu Bungeni. Hakuna cha Vitu Maalam vya wanawake wala Wabunge wa kuteuliwa na rais. Tena hawa wa rais angeacha kuwateua kuanzia sasa.

Wote hao 102 + 10 = 112 ni mzigo mkubwa sana kwa Wavuja jasho wa Tanzania na kwa kuachana nao tunaweza ku-save zaidi ya bilioni 52 ambazo zinaweza kujenga shule mbili nzuri na kubwa za kidato cha I-VI kwa kila mkoa Tanzania zenye dhamani ya bilioni moja kila shule.

I guess you can see the logic !!!! Do I make myself clear?
 
Sio viti maalum tu hata mambo ya kuongeza majimbo yasitishwe. Ni siasa tu za NEC . Hivi Sisi matatizo yeti from DAR to kigoma ni yale yale ELIMU, AFYA MIONDOMBINU, MAJI, KILIMO AJRA. Kuna haja ya kuwa na majimbo ya kisiasa mengi hivi.

Hizi hela wanalipwa wabunge zi zinaweza kutumika kimaendeleo
 
Mshahara wa mbunge = 7,000,000 wabunge wa viti maalum 102 - Kwa mwaka 7,000,000 x 102 x 12 = 8, 568, 000, 0000 kwa mwaka.

Miaka 5 bungeni = 8, 568,000,000 x 5 = Jumla = 42, 840,000,000.

Mikopo ya mbunge = 90,000,000 wabunge viti maalum 102 - Jumla = 9,180,000,000

Personal loans = 280,000,000 x 102 Jumla = 28, 560,000,000

Kazi za wabunge wa viti maalum:-
a. Hazieleweki.
b. Hazijulikani.
c. Hazifahamiki.

Wanawakilisha akina nani?:-
Jibu: Hatujui.

Maskini kodi yangu we!!!!

Hapo kwenye nyekundu iko hivi:-12,000,000/=per month. 9,000,000haikatwi kodi hizo 3,000,000 ndo naye anakatwa kodi na mazagazaga mengine uyajuayo weye!
piga hisabati zako uone inakula wapi hiyo!!
 
Back
Top Bottom