USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

mimi hao wa zanzibar nilishawatoa akili muda mrefu, jimbo moja linawabunge wawili , sasa sijui wanafanya vipi majukumu yao, na wananchi wakiwa na shida wanakwenda kwa yupi, na yupi ni mwakilishi mkuu wa jimbo,
ingependeza sana kama baraza la wawakilishi lingekuwa linafanya vikao tofauti na bunge, na mtu ambaye

anachaguliwa kuwa mbunge ndiye huyo pia anakuwa kwenye baraza la wawakilishi,
hii ingesaidia sana kuondoa mgongano wa vipaumbele vya zanzibar na Tanzania kwa ujumla,
wao wamechukulia mbunge kazi yake kukaa kwenye vikao tu,

ni hakika kama uchunguzi ukifanyaka vizuri maendeleo ya zanzibar yamedumazwa na hizi double double kwenye kila kitu, wabunge double, mawaziri double, rais double, mahakama double jeshi double (kmkm)
tunapoteza pesa kwa ujinga wa wanasiasa na wanataaluma wanaoabudu wana siasa.

matokeo yake matumizi makubwa kuliko uwezo pesa ya misharaha imekosekana wanakwenda kukopa bank,
mbaya zaidi bank wanaambiwa ni pesa ya miradi ya maendeleo.

Pia kungekuwa na utaratibu mwengine wa uwakilishi wa Wabunge kutoka Zanzibar.
 
Naombeni contacts za Katibu wa Bunge. Phone, E-mail etc.

Nahitaji kumpongeza in person.
 
kuna wabunge kutoka zanzibar hao na 3 hapo chini wanaingia hapo kufuata nini? kumbe huu muungano unadosari nyingi sana, ndio maana kelele kila siku, ina maana zanzibar ni wamuhimu sana kuliko bara mpka wale na wawakilishi wa aina tatu katika kitu kimoja wakati tanganyika hatuna wa kutuwakilisha.

bunge letu lilivyo

The 2010 general elections produced the following numbers:
1. Members elected from the same number of constituencies. 239
2. Special seats women members. 102
3. Members elected by the Zanzibar House of Representatives. 5
4. Attorney General. 1
5. Members appointed by the President. 10

Grand Total . 357

na karibu asilimia 60% ya hao ni mawaziri au naibu waziri au kiongozi sehemu nyingine au mjumbe wa bodi za mashirika ya umma
hachia mbalimbali wafanya biashara na vitu maalumu ambao wamekwenda humu kulinda maslahi binafsi hawa hawatoi hoja wa mchango kwenye hoja kwa miaka mitano, lakini wakati wa kupiga kura wanapiga kwa kuangalia kama wananufahika na mswada.
ndio maana CHADEMA wanawapeleka kama biskeli hisiyo na break kwenye mtelemko
system hii haiwezi kutupatia maendeleo
,
 
Mimi siku zote naona viti maalumu ni udhalilishaji na unyanyasaji wa hali ya juu kwa wanawake licha kwamba wengi wa hao wanawake wanafurahia huo udhalilishaji wa kuonyesha wao ni dhaifu sana na hata wakipewa nafasi ya kugombea bado hawatafua dafu licha ya kwamba wapiga kura wengi ni wanawake.
Jamani aibu kubwa kwa kina mama kukubali na kufurahia huo unyanyasaji na udharirisaji
 
ni ghalama kubwa sana ndio maana hakuna hata misharaha hailipiki tena
maana matumizi ya serikali yako juu sana katika vitu visivyo na maendeleo

Mimi siku zote naona viti maalumu ni udhalilishaji na unyanyasaji wa hali ya juu kwa wanawake licha kwamba wengi wa hao wanawake wanafurahia huo udhalilishaji wa kuonyesha wao ni dhaifu sana na hata wakipewa nafasi ya kugombea bado hawatafua dafu licha ya kwamba wapiga kura wengi ni wanawake.
Jamani aibu kubwa kwa kina mama kukubali na kufurahia huo unyanyasaji na udharirisaji
 
Hawa wabunge wanashughuli gani zaidi kuliongezea mzigo Taifa? Ukiangalia mfumo wa viti maalumu wabunge hawana shughuli wanawakilisha nini zaidi ya kulitia Taifa hasara? Karibu nusu ya bajeti yetu ni tegemezi kwa wafadhili ni ajabu kuona nchi zinazotufadhili zinajitahidi kubana matumizi wakati sisi omba omba hatuna mawazo wala hatufikirii kubana matumizi. Cha kusikitisha zaidi hawa wabunge wa viti maalumu wamewekwa kwenye misingi ya urafiki, ujamaa na wengi vi vimada hawapo kwa ajili ya maslahi ya Taifa, serikali inabidi ibadili mfumo mzima wa bunge kupunguza gharama ambazo hazina msingi wowote. Inashangaza na kusikitisha kuona wengi wa wabunge wetu hawana upeo wa kielimu, cha kujiuliza wanapochangia bajeti wanaelewa wanachoelezwa? Hii ni aibu kubwa sana hayo yanatokana na watanzania wengi hawaelewi umuhimu wa bunge ni vyema serikali itoe kipaumbale kuwaelimisha watanzania vinginevyo nchi itaendelea kuangamia.
 
Ni bora wailete hiyo miswada hapa JF tuikokotoe watapata hoja nzuri za wanawake makini na wanaume hapa, kuliko kulifilisi taifa na giriba za kisiasa

Hawa wabunge wanashughuli gani zaidi kuliongezea mzigo Taifa? Ukiangalia mfumo wa viti maalumu wabunge hawana shughuli wanawakilisha nini zaidi ya kulitia Taifa hasara? Karibu nusu ya bajeti yetu ni tegemezi kwa wafadhili ni ajabu kuona nchi zinazotufadhili zinajitahidi kubana matumizi wakati sisi omba omba hatuna mawazo wala hatufikirii kubana matumizi. Cha kusikitisha zaidi hawa wabunge wa viti maalumu wamewekwa kwenye misingi ya urafiki, ujamaa na wengi vi vimada hawapo kwa ajili ya maslahi ya Taifa, serikali inabidi ibadili mfumo mzima wa bunge kupunguza gharama ambazo hazina msingi wowote. Inashangaza na kusikitisha kuona wengi wa wabunge wetu hawana upeo wa kielimu, cha kujiuliza wanapochangia bajeti wanaelewa wanachoelezwa? Hii ni aibu kubwa sana hayo yanatokana na watanzania wengi hawaelewi umuhimu wa bunge ni vyema serikali itoe kipaumbale kuwaelimisha watanzania vinginevyo nchi itaendelea kuangamia.
 
Katibu wa bunge kapendekeza viti maalum ni mzigo, hasara, unnecessary seats kwa maana nyingine, serikali inaingia gharama kubwa zisizo na maana, imagine viti maalum vipo 102 , angalia hali halisi ya maisha, hawa kazi yao ni nini? Bunge gani duniani lina watu kama hawa? Nashangaa serikali ipo kimya, futa hawa, hawana lolote bungeni hata uraiani, serikali narudia, katibu kasema, viongozi wa juu mnaona, na wananchi wamelalamika saaaana kuhusu hawa viti maalum, kazi kulala bungeni, kulakulala, vikuku, mapoda, sielewi even one job assignment yao ni ipi? Ni mzigo kwa walipa kodi, wabunge 102 wa bureee jamani serikali hili sasa mlikatae, walipa kodi wanaumia, GET THEM OUT....!!!!!
 
Mimi huwa najaribu kutafakari na kujihoji maswali mengi juu ya viti hivi maalum,lakini bahati mbaya sipati jibu juu ya umaalum wao.
 
Serikal yetu ina mzigo mkubwa sana wa kujitakia.....cion umuhimu wa vt maalum kama zaid ya kuongeza mzigo serikalin...cna uhakika lkn nahic bunge letu lina wabunge weng pengne kushnd mabunge meng ya afrika,may be ni kwa ajili ya zile kula za ndioooooooooooooooooo....
 
Mr. prezdent umesema.
huu ni wizi. wondoke. viti maalum ua wabunge wake wantoka
katika majimbo ambayo kuna elected MP'S.
Hao ndio wanaofahamika kama wawakilishai wa wananchi wa majimbo hayo.
sasa hao wanaoitwa special seats ni kwa ajili ya nani??
WAONDOKE WAONDOKE JAMANI HATUWATAKI WAONDOKE.
HII SERIAKLI IFIKE SEHEM IONE AIBU NA IWE NA UTII LA SI HIVYO
WANANCHI TUMESHACHOKA JAMANI UVUMILIVU UNAELEKEA KUFIKA MWISHO.
 
Last bunge each MP alipewa 90 milioni, look hawa wabunge HEWA eti viti maalum wapo 102, take simple maths: 102 X 90,000,000 = 9,180,000,000. Hizi bil 9 wanalipa hawa wabunge hewa cash, imagine, fukuza hawa,
Wanaongeza umaskini hadi ufukara kwa wananchi.
 
wanaosema waondoke waseme NDIYOOO
wanaotaka wafukuzwe waseme HAPANAA :thinking:
 
Halafu hakuna viti maalum kuwakilisha wanaume - kwa nini lakini?
 
Pendekeza kwenye mchakato wa katiba mpya, we vipi? unafikiri wanafuta tu just because u want too.
 
Back
Top Bottom