MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,011
- 2,185
Mkuu vipi? Kuna akina John Komba yeye hulala tu
Ogeza Rostam Aziz Miaka 5 bila hata mchango wowote bungeni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vipi? Kuna akina John Komba yeye hulala tu
Pia kungekuwa na utaratibu mwengine wa uwakilishi wa Wabunge kutoka Zanzibar.
Naombeni contacts za Katibu wa Bunge. Phone, E-mail etc.
Nahitaji kumpongeza in person.
Mimi siku zote naona viti maalumu ni udhalilishaji na unyanyasaji wa hali ya juu kwa wanawake licha kwamba wengi wa hao wanawake wanafurahia huo udhalilishaji wa kuonyesha wao ni dhaifu sana na hata wakipewa nafasi ya kugombea bado hawatafua dafu licha ya kwamba wapiga kura wengi ni wanawake.
Jamani aibu kubwa kwa kina mama kukubali na kufurahia huo unyanyasaji na udharirisaji
Hawa wabunge wanashughuli gani zaidi kuliongezea mzigo Taifa? Ukiangalia mfumo wa viti maalumu wabunge hawana shughuli wanawakilisha nini zaidi ya kulitia Taifa hasara? Karibu nusu ya bajeti yetu ni tegemezi kwa wafadhili ni ajabu kuona nchi zinazotufadhili zinajitahidi kubana matumizi wakati sisi omba omba hatuna mawazo wala hatufikirii kubana matumizi. Cha kusikitisha zaidi hawa wabunge wa viti maalumu wamewekwa kwenye misingi ya urafiki, ujamaa na wengi vi vimada hawapo kwa ajili ya maslahi ya Taifa, serikali inabidi ibadili mfumo mzima wa bunge kupunguza gharama ambazo hazina msingi wowote. Inashangaza na kusikitisha kuona wengi wa wabunge wetu hawana upeo wa kielimu, cha kujiuliza wanapochangia bajeti wanaelewa wanachoelezwa? Hii ni aibu kubwa sana hayo yanatokana na watanzania wengi hawaelewi umuhimu wa bunge ni vyema serikali itoe kipaumbale kuwaelimisha watanzania vinginevyo nchi itaendelea kuangamia.
Mr. prezdent umesema.
huu ni wizi. wondoke. viti maalum ua wabunge wake wantoka
katika majimbo ambayo kuna elected MP'S.
Hao ndio wanaofahamika kama wawakilishai wa wananchi wa majimbo hayo.
sasa hao wanaoitwa special seats ni kwa ajili ya nani??
WAONDOKE WAONDOKE JAMANI HATUWATAKI WAONDOKE.
HII SERIAKLI IFIKE SEHEM IONE AIBU NA IWE NA UTII LA SI HIVYO
WANANCHI TUMESHACHOKA JAMANI UVUMILIVU UNAELEKEA KUFIKA MWISHO.
wako BMW & Company unlimited...wanaosema waondoke waseme NDIYOOO wako kama millioni4 hivi
wanaotaka wafukuzwe waseme HAPANAA :thinking: