Katibu wa bunge kapendekeza viti maalum ni mzigo, hasara, unnecessary seats kwa maana nyingine, serikali inaingia gharama kubwa zisizo na maana, imagine viti maalum vipo 102 , angalia hali halisi ya maisha, hawa kazi yao ni nini? Bunge gani duniani lina watu kama hawa? Nashangaa serikali ipo kimya, futa hawa, hawana lolote bungeni hata uraiani, serikali narudia, katibu kasema, viongozi wa juu mnaona, na wananchi wamelalamika saaaana kuhusu hawa viti maalum, kazi kulala bungeni, kulakulala, vikuku, mapoda, sielewi even one job assignment yao ni ipi? Ni mzigo kwa walipa kodi, wabunge 102 wa bureee jamani serikali hili sasa mlikatae, walipa kodi wanaumia, GET THEM OUT....!!!!!
Kwanza nikushukuru sana mdau kwa mada hii nzuri Mimi kipekee sikubali viti maalumu visivyo na maana katika uhalisia wake
Kwa watu wanaoona mbali ni mzigo mkubwa kwa nchi. serikali inaingia gharama kubwa zisizo na maana, viti102 ????????????? What a sshame?????????, Tukiangalia a hali halisi ya maisha ya mtanzania mtu unawezza kulia, ya nini wabunge wote hao? kazi yao ni nini? Kuna namna au makundi maalumu unaweza kusema uweka viti maaalumu? Kama ni kuwa promoti wanawake si kihivi!!!!!!!!!!!!!!! Unaweza kuwapromoti kuanzia mchakato wa chama. Na si kuwajazia viti vya bure ambavyo ni mzigo kwa walipa kodi, wabunge 102????? Mimi nashauri kuwepo na viti maalumu kwa kila chama kitakachopata mbunge kipate viti maalumu kwa wanawake viwili tu. Katika uwiano sawa. Pia viwepo vya walemavu
Mkuu umejieleza vizuri ila mie naona kama visiwepo kabisa nitakuambia sababu mosi kama suala ni gender hudhani kama itakuwa busara akina mama wapewe upendeleo katika kugombea katika primaries ili waweze kujifunza vipi wawakilishe wananchi kwani watagombea kama wabunge wengine waliochaguliwa na wananchi. Kama kuna wabunge wa kuchaguliwa waliokuwa na ulemavu mfano wa ngozi au macho waliweza kuchaguliwa na wananchi vp akina mama wapewe upendeleo. Nadhani hii mitazamo ya kiafrika kuona wanawake wanahitaji kuhurumiwa kila sehemu inahitaji kufikia kikomo. Akina Mama nchi za magharibi wanagombea kama watu wengine na mifano ipo mfano mama Hilary Clinton, Nancy Pelosi, Theresa Smith etc. wote wanapambana uwanjani kugombea nafasi.
Wafutilie mbali viti maalum it is a wastage of our tax payer money.
Kwanza nikushukuru sana mdau kwa mada hii nzuri Mimi kipekee sikubali viti maalumu visivyo na maana katika uhalisia wake
Kwa watu wanaoona mbali ni mzigo mkubwa kwa nchi. serikali inaingia gharama kubwa zisizo na maana, viti102 ????????????? What a sshame?????????, Tukiangalia a hali halisi ya maisha ya mtanzania mtu unawezza kulia, ya nini wabunge wote hao? kazi yao ni nini? Kuna namna au makundi maalumu unaweza kusema uweka viti maaalumu? Kama ni kuwa promoti wanawake si kihivi!!!!!!!!!!!!!!! Unaweza kuwapromoti kuanzia mchakato wa chama. Na si kuwajazia viti vya bure ambavyo ni mzigo kwa walipa kodi, wabunge 102????? Mimi nashauri kuwepo na viti maalumu kwa kila chama kitakachopata mbunge kipate viti maalumu kwa wanawake viwili tu. Katika uwiano sawa. Pia viwepo vya walemavu
wanaosema waondoke waseme ndiyooo
wanaotaka wafukuzwe waseme hapanaa :thinking:
Mshahara wa mbunge = 7,000,000 wabunge wa viti maalum 102 - Kwa mwaka 7,000,000 x 102 x 12 = 8, 568, 000, 0000 kwa mwaka.
Miaka 5 bungeni = 8, 568,000,000 x 5 = Jumla = 42, 840,000,000
Mikopo ya mbunge = 90,000,000 wabunge viti maalum 102 - Jumla = 9,180,000,000
Personal loans = 280,000,000 x 102 Jumla = 28, 560,000,000
Kazi za wabunge wa viti maalum:-
a. Hazieleweki.
b. Hazijulikani.
c. Hazifahamiki.
Wanawakilisha akina nani?:-
Jibu: Hatujui.
Maskini kodi yangu we!!!!
Mshahara wa mbunge = 7,000,000 wabunge wa viti maalum 102 - Kwa mwaka 7,000,000 x 102 x 12 = 8, 568, 000, 0000 kwa mwaka.
Miaka 5 bungeni = 8, 568,000,000 x 5 = Jumla = 42, 840,000,000.