ushauri wangu kwa Dr.Slaa, akiona mambo hayaendi vizuri asibweteke, kuna 2015. Kama alivyofanya mkwere 1995 akubali kiushikaji lakini atoe kombora then akirudi 2015, wimbo ni mmoja tumekuja kukamilisha kura zilizopungua last time. Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote lakini tu basi
Kwa mujibu wa mahesabu ya NEC
CCM 1+1+1+1 = 1,111
Chadema 1+1+1+1 = 4
chadema kazi mnayo. Mkishinda fujo, mkishindwa fujo.
Hivyo ndivyo wanavyohesabu NEC lol.tehetehe usicheze na hesabu bwana
Chief, wewe si ndio uliandika makala ndefu kusema kwamba uchaguzi hauwezi kuchakachuliwa? Sasa mbona unataka ku-excite watu kwa ku-insuniate wizi wa kura?
Look at the trends babu. As the matter of fact--71% for JK is highly likely.
As far as viti vya ubunge, Mrema brought 30+ MPs in 1995. And Mkapa won at 65%. You are now officially incumbents in all those seats. People are counting on Godbless Lema, and Sugu. We will see.
.........As the matter of fact--71% for JK is highly likely.
.
Hatudanganyiki km CUF lol:nono:
Washirikina na wasomi wasioelimika husema kishabiki "71% .... is likely."Wasoomi walioelimika husema "70+%.... is likely."
sijawahi kuandika makala yenye kusema hivyo.
Why are u being so trivial?