USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Sioni Dr. SLaa kushinda Uraisi na matokeo ya majimbo ya SIHA na BABATI MJINI ni usahidi Dr. Slaa hatashinda Uraisi....

Kama hashindi unafikiri kwa nini matokeo yanacheleweshwa hivyo??? Kwa nini sehemu zote waliposhinda wapinzani matokeo ya urais yanachelewa kutangazwa?? Kwa nini matokeo ya mbali na sehemu senye infrastracture mbovu matokeo yake yashafika Dar wakati ya Dar yenyewe bado yana utata?? Open your eyes bro!!
 
I have not been trivial. It is easy to see your bias even without reading between lines. One can clearly see your illiteracy and ignorance just by looking at how you present yourself. You better learn these simple facts which actually do not necessitate you to go to school.

lol

There is room for improvement for everybody. InshaAllah, we can all aim for that. Obviously I'm literate (I hope so). And I do not understand how expressing the views that may contradict yours--makes me ignorant.

Chill out Chief, its just the message board.
 
Huu udhalimu utakwishalini?

Mamilioni ya watz wamesema, sasa iweje watu hawa ambao kimsingi walikuwa vilaza darasani, wajione wako smart hata kupindua matokeo ya kula tulizopiga?

Nionavyo mimi, hii hali ya kutangaza ubunge na kuacha urais ni loop hole ya kuchakachua matokeo. Naamini, wana'delay' ili wananchi wawe full charged walete prukushani na ndani ya hizo chaos waweze kuchakachua kiulaini!

Mie nafikiri saa na muda wa ccm ku'phase-out' umefika, hakuna kumtazama nyani usoni, Dr. Slaa asikubali kuachia ufisadi uendelee kutuwekea mirija kwa miaka mingine mitano, kwani kula sio zake, ni zetu wananchi, asipofanya hivyo atakuwa ametusaliti wananchi. Ki msing it is not up to him to decide, wananchi wameamua and he is to excute.
 
Hii ndio shida ya NEC kuteuliwa na Raisi. Haipo huru kabisa!!!

Matokeo YOTE mnayosikia yametangazwa lazima KWANZA kibali kitoke IKULU/CCM - mmesahau kwamba Kikwete bado ni ''RAIS'' until Rais mpya atakapoapishwa?. Sehemu kama Nyamagana, Ilemela, Iringa mjini, kwa Marmo etc haikuwa rahisi kuchakachua maana watu wamepigwa chile mbaya sana. Sehemu kama Kigoma Mjini wameweza and so forth...

Akina Kiravu na Makame wake hawana meno. Ni vibaraka tu walioteuliwa na Rais. Huenda pia wameshatishiwa maisha yao na kutopata kibali kabla ya kutangaza matokeo yeyote ni kosa la UHAINI. Sadly wameaminiswa hivyo.

Ndio maana tunasema KATIBA iandikwe upya ili mambo mengi mno yabadilishwe - ikiwemo hili la kuwa na tume ya uchaguzu huru kabisa
 
Ila hata mimi najiuliza hawa waangalizi wa kimataifa nini hasa jukumu lao
au ndo wanafanya kama wanavyoitwa only to observe then report uchaguzi ulikuwa wa haki na amani

Wame observe uchaguzi sehemu nyingi za africa lakini hakuna walichobadilisha i think wanapaswa kuwa na meno
Mbwa asiyeuma wa kazi gani kumfuga....
 
lol

There is room for improvement for everybody. InshaAllah, we can all aim for that. Obviously I'm literate (I hope so). And I do not understand how expressing the views that may contradict yours--makes me ignorant.

Chill out Chief, its just the message board.

Mkuu Sele, you are definitely literate. My concern is not what you have presented but rather how you have presented it. Lets differ in opinion, that's ok. Otherwise, you are definitely literate.
 
Mkuu Sele, you are definitely literate. My concern is not what you have presented but rather how you have presented it. Lets differ in opinion, that's ok. Otherwise, you are definitely literate.

Sawa kaka. Tusubiri tu haya matokeo yatoke watu tuendelee na shughuli zingine, it seems like NEC are holding us hostages.
 
Mzee Mwanakijiji,
taaarifa nilizo nazo ni kuwa maafisa wawili wa jeshi la polisi akiwemo chagonja wanashirikiana na ikulu kuratibu sherehe za jk kuapishwa in the coming 48 hours. Pikipiki mpya 25 zimeshaingizwa nchini kwa ajili hiyo.ndio maana wanaendelea kuchelewesha matokeo ya majimbo ya dar es salaam kama vile ubungo, kawe n.k kwa kuwa wananchi hao wakijihakikishia ushindi ngazi za udiwani na ubunge mapema wanaweza kuelekeza nguvu zao katika urais na kuvuruga sherehe hizo. Itakuwa ni kibaki style.
 
Mkuu lengo alikuwa viti tu bali hata urais. Hivyo kwa mambo yanavyokwenda naona urais majimbo yenye upinzani wa kweli hayajatangazwa matumaini bado yapo.

Ni bora CHADEMA itoe tamko tu kuwa matokeo yote yatangazwe kwa wakati ili kuondoa vurugu zilizotokea na zitakazoendelea kujitokeza. Lakini pia ucheleweshaji huu si bure una namna.
 
Nafikiri mambo mbali mbali yanayoendelea yanaashiria uchakachuaji unaendelea. Kwa nini kura hazitangazwi majimboni? Na je hizo kura zinakamatwa barabarani zinatokea wapi? Na kwa nini matokeo yanchelewesha namna hiyo kiana majimboni? Mimi nafikiri lazima kutoa msimamo nchi nzima. Shinikizo likiwa kubwa ndio hawa jamaa wanasikiliza.

Kama mnafikiri nadanganya angalia trend ya mwanza, mbeya, ubungo, hai arusha n.k n.k ilikuwa na maana gani sasa kuhamasishana kwa ajili ya mabadiliko kama hatuko tayari kuyagharimia?

Nawe mwjkk ulisema kuiba mwaka huu haiwezekani, kwanza utubu!!!! Umeona mwenyewe bado una msimamo huo? Haki mtu hapewi anachukua.
 
Anyway kimsingi mie naona kura mahesabu hayajajipa. Tatizo ni kwamba kwenye ngome ya CUF Tanzania Bara hawakumpa Lipumba kwa wingi ila kura nyingi kapewa JK ndio maana JK yuko mbele kwa kiasi kikubwa.
 
Kuna uwezekano watu/wakala wa CUf wakawa wamekubali kura zao za uraisi zichakachuliwe na ccm, ukichukulia maalim kule visiwani amekubali matokeo? Maana wanajua watu wengi macho Yao ni kulinda kura za chadema tu na hivyo kutotilia maanani vyama vingine. Humu sijasikia kabisa watu wa cuf wakizungumzia kura zao na ulinzi.
 
ndugu zangu wana chadema! nawakumbusha kwamba mlikuwa mstari wa mbele kuvipinga viti maalum vya ccm na mkasema havina maana yeyote lakini kutokana na ushindi wenu mzuri viti vya ccm vitapungua kwa kiwango kikubwa na viti vya chadema vitaongezeka.

natumia nafasi hii kuwashauri mvikatae viti hivi maalum ili uwe mwanzo wa kukemea viti maalum na mkifika bungeni anzisheni hoja vifutwe ongozeni kwa mfano wakuu!
ni ushauri tu...sio ugomvi
nawasilisha!
 
Ushauri ni mzuri ila hautekelezeki kwa maana mabadiliko yanaanza bungeni na unahitaji kuwa na wabunge wa kutosha ku influence matokeo ya bungeni. Sasa ukisema wakatae viti maalum huku unafaham fika kuwa ccm wataongeza gap kwa uwiano wa wabunge.kama ni ishu ya kikatiba basi mahakama ipo kwa ajili ya vitu hivyo.mi binafsi siiungi mkono hoja labda uiweke kivingine.mtazamo tu!!
 
Angalia ulivyokuwa mamluki!!! yaani vyote hivyo ni vidalili vya woga!!!! unaogopa nini!!!! unaogopa idadi ya wabunge? tutakataa vp wakati tunatumia Katiba yenu ya 1977 iliyo mbovu?

shame upon u
 
faithful,
Wewe ni fisadi Lowassa au Rostam. tuachie wenyewe na hatutaki ushauri. Washauri wenzio kwanza waache kuchakachua kula zetu
 
Wewe ni fisadi Lowassa au Rostam. tuachie wenyewe na hatutaki ushauri. Washauri wenzio kwanza waache kuchakachua kula zetu

kataeni na mashangingi na suti mkashone kwa fundi mbagala
 
Ushauri mzuri kaka ila kwa sasa hautakuwa na maana kwani tukifanya hivyo ni kama kujirudisha nyuma wenyewe na kuipa nafasi ccm zaidi kutuburuza. Kumbuka hata wapambanaji majasiri kama kina Mdee tuliwapata kupitia viti maalumu na wanakuja wengine machachali zaidi kama yule binti aliyekuwa akiongoza mapambano kule Kilombero.

Tukishakuwa wengi ndipo tutakuwa na nguvu pia hata ya kushinikiza huo muswada bungeni. Ila kwa upande mwingine naona umekaakaa kama mmoja wa mafisadi walotumwa kuivuruga chadema kwa mbinu zote. Ni maoni yangu tu.
 
Back
Top Bottom