USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Yaani ukisikia inchi inayoongoza kwa vitu vya kipumbavu ni Tanzania, wanashindwa hata kuiga kwa Kenya
 
UBUNGE VITI NAALUMU NI SAWA NA WAFANYAKAZI HEWA SERIKALI IICHE SIASA KULIPA WABUNGE WASIO NA TIJA KM WABUNGE 19 WALIOFUKUZWA NA CHADEMA wana MANAFAA GANI KWA SERIKALI CHAMA NA WANANCHI?
 
UBUNGE VITI NAALUMU NI SAWA NA WAFANYAKAZI HEWA SERIKALI IICHE SIASA KULIPA WABUNGE WASIO NA TIJA KM WABUNGE 19 WALIOFUKUZWA NA CHADEMA wana MANAFAA GANI KWA SERIKALI CHAMA NA WANANCHI ZAIDI YA KULIPWA MISHAHARA NA POSHO huku Kukiwa na Ukiukwaji Wa KATIBA ya kuwa na Wabunge wasio na CHAMA
 
Ilikuwa ni mbinu tu ya kupata warembo, binafsi sioni wanachofanya huko
 
Hata tukisema waondolewe mwisho wa siku wabunge hao hao ndio watakaoupigia muswada kura.
 
Rasimu ya Warioba irudi mezani
 
5. Wengi wao ni wanawake km ushawahi kuona Mbunge viti maalum mwanaume naomba Jina lake

Wanasema wanataka 50 kwa 50, sasa ifike wakati hawa viti maalum waingie kupambania kombe jimboni sio kupewa tonge mdomoni maana sioni michango yao bungeni inabidi wapambanie nafasi za majimbo, alieleta suala la viti maalum sijui alilenga niini kuna watu wanakosa wa kuwasemea bungeni mfano watu wenye walemavu, wakina mama, watoto, vijana, wazee na watu wenye mahitaji maalum Ila sioni mimi wakitatua kero za hawa watu au wakiwapambania bungeni,

Sana sana nasikia tu wanaomba pesa bunge linatoa kisha wanazila wenyewe, juzi kuna mbunge alikua analiongelea hili bungeni sikunakiri jina lake, yaan bunge linatoa pesa kwa ajili ya wajisiriamali mfano jamaa wanazichukua kisha wanaunda vikundi bubu na kuzila wenyewe bila kurudisha na kuiingizia serikali hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…