Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Wabunge wa viti maalum, wakuu wa Wilaya, wakuu wa Mikoa, Ma RAS, Ma DAS, nk wanalifilisi tu Taifa letu. Nafasi zao hazina tija yoyote ile kwa walipa kodi wa nchi hii.
I wish ile Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, ingepitishwa kama ilivyo; ili vyeo vya upendeleo na vilivyopitwa na wakati kama hivi, vingefutiliwa mbali.
I wish ile Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, ingepitishwa kama ilivyo; ili vyeo vya upendeleo na vilivyopitwa na wakati kama hivi, vingefutiliwa mbali.