MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Only 20% ya bunge Waingereza ni wanawake Tz bado sana tuacje kulazimisha mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unatumia akili gani kuilinganisha Tanzania na Uingereza?Only 20% ya bunge Waingereza ni wanawake Tz bado sana tuacje kulazimisha mambo
Kachimbe shimo pale burigi ili uwe karibu na mumeoBingeni ndo nini, hebu tulia kwanza uandike vitu vinavyoeleweka hapa JF. Kwa style hii nimeamini kuwa Mbowe katepeliwa kwa kuajiri vijana wakurupukaji ndani ya chama. Na pia hata ukiandika kwa kutulia, hela yako kesho utaipata tu pale Ufipa, maana wewe ni chawa mzoefu wa mwenyekiti na makamu wake.
Wale wako pale kuuza nyanya zaoJamani nauliza hivi wabunge wa viti maalum bado wana umuhimu kuwepo bungeni?
Nashindwa kuelewa hawa wanafanya nini bungeni kwa jinsi wanavyo behave pale mjengoni.
Leo hii mbunge anaanzisha nyimbo za mapambio ya kichama ndani ya jengo la kutungia sheria!
Naomba tujadili jamani.View attachment 2260869
Nakubaliana na jibu lakoWale wako pale kuuza nyanya zao
SIKU ZOTE HAVIKUWA NA UMUHIMU WOWOTE ZAIDI YA SHUKURANIJamani nauliza hivi wabunge wa viti maalum bado wana umuhimu kuwepo bungeni?
Nashindwa kuelewa hawa wanafanya nini bungeni kwa jinsi wanavyo behave pale mjengoni.
Leo hii mbunge anaanzisha nyimbo za mapambio ya kichama ndani ya jengo la kutungia sheria!
Naomba tujadili jamani.
View attachment 2260869
Kwani umeshasahau kama mimi na baba watoto wako ni team Samia?Wale wako pale kuuza nyanya zao
Nimekuelewa sana mkuuSIKU ZOTE HAVIKUWA NA UMUHIMU WOWOTE ZAIDI YA SHUKURANI
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Asante mama tumekusikiaKwani umeshasahau kama mimi na baba watoto wako ni team Samia?
NakaziaKwa miaka 60 ya Taifa hili umuhimu wa Mbunge Viti Maalum ni mzigo:
1. Hana eneo analowakilisha( No area of jurisdiction)
2. Analipwa sawa na Mbunge mwenye jimbo ambapo yeye hana wananchi wanaomtegemea.
3. Ubunge wa Viti maalum huzalisha wanawake wanaojipendekeza kwa viongozi wa Chama zaidi kuliko Wananchi.
4. Wabunge hawa hawawajibiki kwa Wananchi _ Hasara na mzigo
Mapendekezo:
Mabadiliko ya Katiba kufuta Wabunge wa Michongo, wengi wao ni Wake ama wapenz wa Viongozi na Wanasiasa na baadhi yao ni nyumba ndogo. Katiba iweke mazingira sawa kwa jinsia zote kugombea na kupata ubunge wa majimbo.
Fedha wanazolipwa zingeweza kununua vifaa tiba kwenye vituo vya afya au hata kuajiri vijana walio mitaani kwa kutumia mamilioni ya bure wanaochukua Wabunge wa viti maalum wasio na majimbo.
Hivi unapokuwa Mbunge viti maalum unapokaa Bungeni mle wenzako wa Majimbo wanakuonaje?Kwani kusadi husika la kuwa na hawa wabunge ni lipi ndugu mleta mada??
viti maalum huwa ni vimada wa viongozi wa chama husika.