Ushauri: Tundu Lissu apatiwe muda wa kupumzika

mserekale

Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
79
Reaction score
103
Tangu Tundu Lissu ameingia nchini hajapata muda wa kutosha wa kupumzika.

Mara baada ya kuingia moja kwa moja alikutana na vikao vya chama tangu hapo hajapumzika tena yuko field muda wote kutafuta wadhamini.

Nashauri awe anapumzika angalau mara siku moja moja kabla ya kufunga safari ya kutafuta wadhamini mikoa mingine.....!!

Kitendo cha kupumzika siku moja moja kitasaidia kumjenga na kuimarisha kinga yake ya mwili.., kulinda afya ya moyo, kupunguza uchovu na mwili kujijenga.

Kupumzika mara moja moja vile vile itasaidia kukusanya nguvu kwaajili ya kampeni tofauti na kutumia nguvu kubwa sasa kufikia muda wa kampeni anakuwa amechoka.

Yangu ni hayo kwa leo kama itafaa muufanyie kazi.
 
Umepanic eeh! Relaax!😀

Kwa sauti ya Darasa!😎
 
Alipokuwa Ulaya anapumzika mkaanza kutaka arudi haraka kusaidia upelelezi. Na upuuzi mwingine mliodhani atawasaidia.

Karudi kupiga kazi tayari moto wake umewafanya mpoteane mpaka mnataka poo!

Tulieni muone wanaume halisi wanaotakiwa kuongoza nchi wanavyopiga Kazi..siyo push up!
 
Tulia ndugu,ata relax baada ya uchaguzi Ikulu
 
Mnapenda sana apumzike, Nndiyo maana mlitaka kumpumzisha milele nini?

Tulieni dawa iwaingie, kapumzika sana kitandani sasa ni muda wa kuchapa kazi ya kuwakomboa Watanzania kutoka kwenye utawala dhalimu wa CCM
 
Tangu Tundu Lissu ameingia nchini hajapata muda wa kutosha wa kupumzika.

Mara baada ya kuingia moja kwa moja alikutana na vikao vya chama tangu hapo hajapumzika tena yuko field muda wote kutafuta wadhamini.

Nashauri awe anapumzika angalau mara siku moja moja kabla ya kufunga safari ya kutafuta wadhamini mikoa mingine.....!!

Kitendo cha kupumzika siku moja moja kitasaidia kumjenga na kuimarisha kinga yake ya mwili.., kulinda afya ya moyo, kupunguza uchovu na mwili kujijenga.

Kupumzika mara moja moja vile vile itasaidia kukusanya nguvu kwaajili ya kampeni tofauti na kutumia nguvu kubwa sasa kufikia muda wa kampeni anakuwa amechoka.

Yangu ni hayo kwa leo kama itafaa muufanyie kazi.

Ni ushauri mzuri lakini ukumbuke Lissu kabla ya kuumwa alikuwa Wakili ktk mahakama kuu, alikuwa Mkurugenzi wa Sheria Chadema, alikuwa wakati huohuo ni Rais wa TLS, akiwa ni Mbunge, akiwa Mnadhimu mkuu wa kambi rasmi bungeni, akiwa ni Baba wa familia, Akiwa ndiye wakili mwenye kusimamia na kujisimamia kesi nyingi nchini kuliko mwanasheria mwingine yeyote Tanzania.

Na wakati huohuo akiwa ndiye Mbunge bora mwenye kusoma vema na kwa ukamilifu nyaraka zote za bunge, nchini na nje ya nchi na mtu mwenye taarifa kwa wingi kuliko mbunge mwingine yeyote Ktk Bunge la Sita na Ndugai. Unaweza kujiuliza mbona Mungu aliumba siku masaa 24 na wiki siku saba Lissu muda wa kufanya haya yote alikuwa anaupata wapi?

The most succesful people are never bound by time.they are limitless in terms of time. Kadri anavyofabya vizuri ndivyo anazidi kupata nguvu na kunenepa.
 
ndo mmejua anahitaji kinga ya mwili sasa hvi ma ccm bhana 😂
Chadema tubadilike tuache mentality za kufikiri kila anayeshauri ni mwana ccm...!!
Sometimes Let us be positive and realistic...!!
Kuchukulia kila jambo in negative way hakuleti ustawi mzuri kwa chama chetu....!!
 
nani kakwambia mimi ni chadema
 
Back
Top Bottom