Umepanic eeh! Relaax!πTangu Tundu Lissu ameingia nchini hajapata muda wa kutosha wa kupumzika.
Mara baada ya kuingia moja kwa moja alikutana na vikao vya chama tangu hapo hajapumzika tena yuko field muda wote kutafuta wadhamini.
Nashauri awe anapumzika angalau mara siku moja moja kabla ya kufunga safari ya kutafuta wadhamini mikoa mingine.....!!
Kitendo cha kupumzika siku moja moja kitasaidia kumjenga na kuimarisha kinga yake ya mwili.., kulinda afya ya moyo, kupunguza uchovu na mwili kujijenga.
Kupumzika mara moja moja vile vile itasaidia kukusanya nguvu kwaajili ya kampeni tofauti na kutumia nguvu kubwa sasa kufikia muda wa kampeni anakuwa amechoka.
Yangu ni hayo kwa leo kama itafaa muufanyie kazi.
Tangu Tundu Lissu ameingia nchini hajapata muda wa kutosha wa kupumzika.

Chadema tubadilike tuache mentality za kufikiri kila anayeshauri ni mwana ccm...!!ndo mmejua anahitaji kinga ya mwili sasa hvi ma ccm bhana π
nani kakwambia mimi ni chademaChadema tubadilike tuache mentality za kufikiri kila anayeshauri ni mwana ccm...!!
Sometimes Let us be positive and realistic...!!
Kuchukulia kila jambo in negative way hakuleti ustawi mzuri kwa chama chetu....!!