Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Katika mambo muhimu mwanadamu anatakiwa kuwa nayo mojawapo ni kuwa na macho yaonayo mbele sana, macho ya kufanya forecasting.
Ukiwa na macho hayo utaweza kuepuka hasara nyingi.
Utaweza kujua sasa ni wakati wa kulima matikiti, vitunguu au nyanya na hautalima tu maadamu Juma kavuna nyanya nyingi kapata pesa nyingi amejenga nyumba na amenunua Raum new model. Ukiiga unaweza kula hasara kuu.
Ukiwa na forecast kubwa utajua wakati upi ukope pesa ewe mtumishi wa umma na wakati upi ukasome, wakati upi utunze akiba zaidi na wakati upi utumie zaidi.
Imagine ulikuwa mtumishi wa umma umefutwa kazi na uliogopa au ulisema takopa next 3 months!
Simaanishi tukope pesa kila leo bali tukope kwa kufanya forecast ya nguvu.
Imagine umeanzisha kiwanda cha pombe za kiroba then baada ya mwezi tu unasikia serikali inapiga marufuku pombe hii utakuwa ktk hali gani?
Binafsi niligombana na mlezi wangu nilipokataa kwenda Chuo kikuu 2013 na kulilia ajira za ukakamavu.
Wenzangu niliomaliza nao form six darasa la wanafunzi 150 karibu 98% walikwenda university Mimi nikagoma licha ya kuchaguliwa na Chuo fulani hapa nchini. Nikapata ajira kwa ugumu maana nilikosa sapoti ya ndugu.
Sasa wale wenzangu ambao walimaliza chuo 2016 na 2017 wengi hawana ajira rasmi. Wamemaliza chuo wakati mgumu sana. 2013 kazi zilikuwa nyingi hasa kwenye Vyombo vya dola wengi wakasema watajoin wakiwa na degree ili waanze na manyota.
Sasa manyota wanayasikia tu redioni.
Narudia tunza pesa , soon utanunua nyumba kwa pesa ndogo sana.