Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
Nimeokota pagala kwa bei ya kutupa juzi kati.Ushauri mzuri
Ila sio kama itakuwa bei ya chini hivyo bali kama maisha yatakuwa mabaya zaidi kwanza bank hazitakopesha hela nyingi kwa sababu hata waliochukua mikopo itakuwa ngumu kurudisha madeni
Hivyo kuzifanya hata banks zikaomba msaada serikalini
Mimi sio mchumi bali nyumba zitashuka kama 10% au zaidi kidogo
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kweli kabisa mkuu, imagine hapa tunaongelea kwa ngazi ya mtu mmoja moja, sasa hebu ichukue hii kitu katika ngazi ya Familia kuweka nia kabisa kwamba tunajifungia na kupambana na korona kwa manufaa ili mpaka kuisha tutoke katika level tofauti kabisa ya maisha kwa umoja wa nguvuya familia ni rahisi kubana matumizi as a family kuliko individually.Watu wanachukulia masihara.
Waziri mkuu mmoja mweupe alisema Africans can't see far.
Na wakiweza kuona basi huona ya karibu nayo yatawashinda kusolve
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa nina laki na 25 mpesa.. nyumba ikifika 120k nitanunua au hata kiwanja.
Matumizi ya vyakula yanaongezeka mfungo wa Ramadhani. Nyemelea masoko ya vyakula kuanzia SAA nne mpaka SAA kumi kunafurikaTanzania mambo huwa yanaenda kinyumenyume, utashangaa kipindi kigumu lakini bei za vitu ndiyo kwanza zinapanda.
Kuna mtu juzi aliuliza hapa, kwa nini kipindi cha mfungo wa Ramadhani bei za vyakula zinapanda wakati matumizi ya vyakula yanakuwa yamepungua?
Wababe wa kutumia Fursa tumekuelewa, kikubwa zingatia masharti ya kujikinga na COVID 19 ili utoboe.Katika mambo muhimu mwanadamu anatakiwa kuwa nayo mojawapo ni kuwa na macho yaonayo mbele sana, macho ya kufanya forecasting.
Ukiwa na macho hayo utaweza kuepuka hasara nyingi.
Utaweza kujua sasa ni wakati wa kulima matikiti, vitunguu au nyanya na hautalima tu maadamu Juma kavuna nyanya nyingi kapata pesa nyingi amejenga nyumba na amenunua Raum new model. Ukiiga unaweza kula hasara kuu.
Ukiwa na forecast kubwa utajua wakati upi ukope pesa ewe mtumishi wa umma na wakati upi ukasome, wakati upi utunze akiba zaidi na wakati upi utumie zaidi.
Imagine ulikuwa mtumishi wa umma umefutwa kazi na uliogopa au ulisema takopa next 3 months!
Simaanishi tukope pesa kila leo bali tukope kwa kufanya forecast ya nguvu.
Imagine umeanzisha kiwanda cha pombe za kiroba then baada ya mwezi tu unasikia serikali inapiga marufuku pombe hii utakuwa ktk hali gani?
Binafsi niligombana na mlezi wangu nilipokataa kwenda Chuo kikuu 2013 na kulilia ajira za ukakamavu.
Wenzangu niliomaliza nao form six darasa la wanafunzi 150 karibu 98% walikwenda university Mimi nikagoma licha ya kuchaguliwa na Chuo fulani hapa nchini. Nikapata ajira kwa ugumu maana nilikosa sapoti ya ndugu.
Sasa wale wenzangu ambao walimaliza chuo 2016 na 2017 wengi hawana ajira rasmi. Wamemaliza chuo wakati mgumu sana. 2013 kazi zilikuwa nyingi hasa kwenye Vyombo vya dola wengi wakasema watajoin wakiwa na degree ili waanze na manyota.
Sasa manyota wanayasikia tu redioni.
Narudia tunza pesa , soon utanunua nyumba kwa pesa ndogo sana.
Nimeokota pagala kwa bei ya kutupa juzi kati.
Watu washaanza kuuza ardhi kwa bei che mkuu,sema inabidi uwe na akiba iliyo tayari na pia kufahamiana na madalali.
Matumizi ya vyakula yanaongezeka mfungo wa Ramadhani. Nyemelea masoko ya vyakula kuanzia SAA nne mpaka SAA kumi kunafurika
Jiandae hiyo nyumba yako ya huko ndani ndani ndiyo kuiuza kwa 1 au 2m.Ni ya tope na miti mkuu?Mimi nimepanga hapa Dar es salaam ila nina Nyumba yangu huko ndanindani hapa dar.
Kwahiyo mimi sitakuwa mpangaji sugu. Any time ninaweza kuhamia.
Tutaenda huko huko kwaoNdio hivyo mkuu...wazungu tayari wana sehemu zao chini ya ardhi za kujificha (bunker) ziko tayari kwa lolote,zina facilities zote muhimu..wewe na mimi tutajificha wapi?