Ushauri: Tunza pesa yako, muda si mwingi nyumba itauzwa hadi kwa milioni 1-2

Nimeokota pagala kwa bei ya kutupa juzi kati.

Watu washaanza kuuza ardhi kwa bei che mkuu,sema inabidi uwe na akiba iliyo tayari na pia kufahamiana na madalali.
 
Risk takers always ndio ambao hua wana win (kupo kufeli pia ). Kuna dogo 1 nina mfahamu, walizaliwa watoto 6 kwa mama na baba yake, yeye ni mtoto wa 2 kuzaliwa, wa kwanza alifeli vibaya O level (alikua darasa 1 na kaka yake ) waliomfata yeye ni dada zake na baba yao alikua mtumishi wa umma (sasa kastaafu ) dogo akiwa form 5 akaona tangazo la nafasi jeshi Fulani ( remember majeshi yapo kadhaa nchini ) akarudi home fasta na kumwambia baba yake ifuatavyo, mbele ya ndugu zake wengine, "baba, naomba uniunganishie hizi nafasi, peleka tu jina langu, mambo ya interview niachie mwenyewe" baba yake na ndugu zake wengine including his mother asked him, "What about your school/studies" , dogo akamjibu baba yake tu, "nipelekee hi barua then elekeza nguvu kuwasomesha wadogo/dada zangu". Dogo alifanikiwa kuipata ile nafasi, akaenda kozi huku shule akiwa kaacha, hivi tunavyo ongea, anacho cheo chake na kapata degree ya sociology akiwa kazini.
 
Watu wanachukulia masihara.
Waziri mkuu mmoja mweupe alisema Africans can't see far.
Na wakiweza kuona basi huona ya karibu nayo yatawashinda kusolve
Kweli kabisa mkuu, imagine hapa tunaongelea kwa ngazi ya mtu mmoja moja, sasa hebu ichukue hii kitu katika ngazi ya Familia kuweka nia kabisa kwamba tunajifungia na kupambana na korona kwa manufaa ili mpaka kuisha tutoke katika level tofauti kabisa ya maisha kwa umoja wa nguvuya familia ni rahisi kubana matumizi as a family kuliko individually.

Pia katika ngazi ya taifa na dunia, wale weupe si unaona wanavyokufa kama kuku (imagine up to 2000 and above per day) na kwa kipindi hiki hawafanyi kazi kama mwanzo, hii ilikua chance ya kupunguza gap kubwa sana la maisha walilotuacha miaka mingi...lakini daah poor African tutalia lia hapa ndio kwanza wao watainuka zaidi
 
Matumizi ya vyakula yanaongezeka mfungo wa Ramadhani. Nyemelea masoko ya vyakula kuanzia SAA nne mpaka SAA kumi kunafurika
 
Wababe wa kutumia Fursa tumekuelewa, kikubwa zingatia masharti ya kujikinga na COVID 19 ili utoboe.
 
Nimeokota pagala kwa bei ya kutupa juzi kati.

Watu washaanza kuuza ardhi kwa bei che mkuu,sema inabidi uwe na akiba iliyo tayari na pia kufahamiana na madalali.

Basi itabidi mtupe updates za uuzaji jamani maana nina milion kadhaa zimekaa tu kwa sasa [emoji848]
Ila kwa hali hii inavyokwenda hali itakuwa mbaya zaidi au ugonjwa huu utakuwa kama magonjwa mengine na tutaishi nae huyu Corona kwa mda mrefu sana
Wataokufa ndio njia yetu wote



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Matumizi ya vyakula yanaongezeka mfungo wa Ramadhani. Nyemelea masoko ya vyakula kuanzia SAA nne mpaka SAA kumi kunafurika

Hata kama ni hivyo, kwa nini bei ziongezeke? Bado hiyo haiwezi kuwa sababu ya watu kupandisha bei za vyakula.
 
Mimi nimepanga hapa Dar es salaam ila nina Nyumba yangu huko ndanindani hapa dar.
Kwahiyo mimi sitakuwa mpangaji sugu. Any time ninaweza kuhamia.
Jiandae hiyo nyumba yako ya huko ndani ndani ndiyo kuiuza kwa 1 au 2m.Ni ya tope na miti mkuu?
 
Ndio hivyo mkuu...wazungu tayari wana sehemu zao chini ya ardhi za kujificha (bunker) ziko tayari kwa lolote,zina facilities zote muhimu..wewe na mimi tutajificha wapi?
Tutaenda huko huko kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…