Ushauri: Tuunganishe nguvu EAC tuwaondoe kwa chaguzi Marais wote madikteta

Ushauri: Tuunganishe nguvu EAC tuwaondoe kwa chaguzi Marais wote madikteta

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Tanzania- full dikteta
Kenya - full dikteta
Uganda - full dikteta
Rwanda- full dikteta
Burundi- full dikteta
Kongo-full dikteta
Mozambique-full dikteta

Tunazidiwa na nchi Kama Zambia

Vijana wa East Africa tuamke turudishe nchi zetu kwenye utawala wa
Sheria
Haki
Uwajibikaji
Uwazi
Na kukomesha utekaji na kupoteza watu hawaarais wana jifunza na kufundisha a uhuni!!

Kinachoniuma ni jinsi pesa za walipa Kodi zinavyoibiwa na Hawa Marais mafisadi

1: Kwanza tuwakoseshe amani tuwaedit tutakavyo

2: Tuwafukuze kwenye social media wawe wanachungulia na kukimbia

3: Tutetee hoja za wapinzani wao kwa wingi

4: Tuhudurie event zao kwa mabango namatishe ya kutokubaliana na uhuni wao!

5: Tuvae nguo za kuonyesha movement mbali mbali Mara kwa Mara
 
Tanzania- full dictetor
Kenya - full dictetor
Uganda - full dictetor
Rwanda- full dictetor
Burundi- full dictetor
Kongo-full dictetor
Mozambique-full dictetor

Tunazidiwa na nchi Kama Zambia

Vijana wa east Africa tuamke turudishe nchi zetu kwenye utawala wa
Sheria
Haki
Uwajibikaji
Uwazi
Na kukomesha utekaji na kupoteza watu hawaarais wana jifunza na kufundisha a uhuni!!

Kinachoniuma ni jinsi pesa za walipa Kodi zinavyoibiwa na Hawa Marais mafisadi
Actualy kenya hawana dictetator, wame move past that
 
Tanzania- full dictetor
Kenya - full dictetor
Uganda - full dictetor
Rwanda- full dictetor
Burundi- full dictetor
Kongo-full dictetor
Mozambique-full dictetor

Tunazidiwa na nchi Kama Zambia

Vijana wa east Africa tuamke turudishe nchi zetu kwenye utawala wa
Sheria
Haki
Uwajibikaji
Uwazi
Na kukomesha utekaji na kupoteza watu hawaarais wana jifunza na kufundisha a uhuni!!

Kinachoniuma ni jinsi pesa za walipa Kodi zinavyoibiwa na Hawa Marais mafisadi
huo ni wito wa mauti ya kijinga na kilofa mno gentleman,

hata hivyo,
hiyo nonsense labda mkaungane huko nchi nyingine lakini sio United Republic of Tanazania ambayo iko United tangu uhuru 🐒
 
Tanzania- full dictetor
Kenya - full dictetor
Uganda - full dictetor
Rwanda- full dictetor
Burundi- full dictetor
Kongo-full dictetor
Mozambique-full dictetor

Tunazidiwa na nchi Kama Zambia

Vijana wa east Africa tuamke turudishe nchi zetu kwenye utawala wa
Sheria
Haki
Uwajibikaji
Uwazi
Na kukomesha utekaji na kupoteza watu hawaarais wana jifunza na kufundisha a uhuni!!

Kinachoniuma ni jinsi pesa za walipa Kodi zinavyoibiwa na Hawa Marais mafisadi
Naungana na wewe. Ila badirisha hiyo Dictator kwenye spelling
 
Tanzania- full dictetor
Kenya - full dictetor
Uganda - full dictetor
Rwanda- full dictetor
Burundi- full dictetor
Kongo-full dictetor
Mozambique-full dictetor

Tunazidiwa na nchi Kama Zambia

Vijana wa east Africa tuamke turudishe nchi zetu kwenye utawala wa
Sheria
Haki
Uwajibikaji
Uwazi
Na kukomesha utekaji na kupoteza watu hawaarais wana jifunza na kufundisha a uhuni!!

Kinachoniuma ni jinsi pesa za walipa Kodi zinavyoibiwa na Hawa Marais mafisadi

1: kwanza tuwakoseshe amani tuwaedit tutakavyo

2: Tuwafukuze kwenye social media wawe wanachungulia na kukimbia

3: Tutetee hoja za wapinzani wao kwa wingi

4 Tuhudurie event zao kwa mabango namatishe ya kutokubaliana na uhuni wao!

5: Tuvae nguo za kuonyesha movement mbali mbali Mara kwa Mara

Madikteta Wana lugha yao ambayo wanailewa vizuri Sana endapo kama Wananchi wataongea nao kwa kutumia lugha hiyo.
Kwa bahati mbaya Sana, Wananchi wa nchi za Afrika. Mashariki ukiondoa Kenya, bado hawajaanza kuongea lugha hiyo.
 
Kenya its going to happen haizidi 2027

Uganda nature will take its course kwa Museven na kutakuwa na mabadiliko before 2029

Tanzania Ufisadi wa kutisha Samia na kikundi chake pamoja na kutekwa na kupotezwa kwa Watanzania kunaenda kusababisha watu kufanya maamuzi magumu before 2030 na by 2030 CCM haitakuwa chama tawala Tanzania.

Mabadiliko ya Tanzania yataenda kusababisha mabadiliko Msumbiji. Congo nature pia itafanya yake.
 
Upepo wa mapinduzi ya kijeshi unakuja kwa Kasi sana Afrika Mashariki.

Wanajeshi wamepewa silaha ila hawana mamlaka.

Wanasiasa wana mamlaka lakini hawana silaha.

Wananchi wameporwa na kunyimwa mamlaka na hawana silaha.

Muda mchache ujao Wanajeshi watapora mamlaka na kuwanyang'anya wanasiasa. Wanajeshi watamiliki silaha na mamlaka kwa pamoja.

Wanasiasa watakimbilia kwa wananchi kuomba kusaidiwa na wananchi watawakimbia wanasiasa.

Sote kwa pamoja wananchi na wanasiasa tutalia kilio kimoja na kuwakimbia wanajeshi.

Wanasiasa watakumbuka na kutamani bora upinzani ungechukua nchi ila itakuwa too late.

Kutembea itakuwa mwisho saa kumi na mbili jioni, hakuna vikao vya harusi, bar na nyumba za starehe zitafungwa, hakuna makusanyiko tena misikitini na makanisani wala nyumba za ibada.

Nchi itaendeshwa kwa MARUFUKU.

Tutalia na kusaga neno.
 
Back
Top Bottom