Salaam!
Tukubali, au tukatae, aliyebuni wazi la Kutangaza maandamano siku ya uchaguzi, aliwaza mbali mno,
Tunaona hivi sasa Hali ya kuchanganyikiwa kimkakati Katika namna Bora ya kuzuia maandamano wakati huo huo kuondoa hofu ya watu kujitokeza kupiga kura kufanikisha zoezi la uchaguzi.
Na kwa kuwa askari wetu wote hawatoshi kuzuia jambo hili, na kwa kuwa upo uwezekano wa kusogezwa mbele uchaguzi kwa namna mbalimbali,
Ushauri: Uchaguzi wa October 29 , usogezwe mbele Ili kuwapiga chenga ya mwili Hawa waandamanaji wa NRNE.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Karibuni 🙏