GE2025 Ushauri: Uchaguzi upelekwe mbele kwa wiki moja kuepusha vuguvugu la maandamano siku ya uchaguzi

GE2025 Ushauri: Uchaguzi upelekwe mbele kwa wiki moja kuepusha vuguvugu la maandamano siku ya uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Anayepanga siku ya uchaguzi ndiye aliyepanga sababu za kuusogeza mbele kwa namna mbalimbali.

Ni kale kale kakijitabu.

Punguza nongwa kijana.
Na ndiye anapanga maandamano sio?

Vijana tunawapenda sana lakini mnaacha vitabu na busara

Wenzetu wali Wekeza sana kwenye historia

Wanajua maana
 
Na ndiye anapanga maandamano sio?

Vijana tunawapenda sana lakini mnaacha vitabu na busara

Wenzetu wali Wekeza sana kwenye historia

Wanajua maana
Umekielewa ulichoandika?
 
Kule tiktok Gen Z mbona kama wanajipanga sana hii sio kawaida
Wanatumia akili ndogo tu kuwa,

Usipoandamana, utafuatwa nyumbani kutekwa na kupotezwa,

Sasa ni Bora kuandamana.
 
Salaam!

Tukubali, au tukatae, aliyebuni wazi la Kutangaza maandamano siku ya uchaguzi, aliwaza mbali mno,


Tunaona hivi sasa Hali ya kuchanganyikiwa kimkakati Katika namna Bora ya kuzuia maandamano wakati huo huo kuondoa hofu ya watu kujitokeza kupiga kura kufanikisha zoezi la uchaguzi.


Na kwa kuwa askari wetu wote hawatoshi kuzuia jambo hili, na kwa kuwa upo uwezekano wa kusogezwa mbele uchaguzi kwa namna mbalimbali,

Ushauri: Uchaguzi wa October 29 , usogezwe mbele Ili kuwapiga chenga ya mwili Hawa waandamanaji wa NRNE.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Karibuni 🙏
Hamna kuahirisha uchaguzi kwa sababu ya waandamanaji wa mtandaoni
 
Hamna kuahirisha uchaguzi kwa sababu ya waandamanaji wa mtandaoni
Kumbe askari wetu wanakimbizwa Bure barabarani,

Ni mambo ya mitandaoni tu🤔

Umeongea kichama zaidi,

Mambo ya nchi hayapuuzwi kihivyo.

Pole!
 
Hamna kuahirisha uchaguzi kwa sababu ya waandamanaji wa mtandaoni
Kumbe askari wetu wanakimbizwa Bure barabarani,

Ni mambo ya mitandaoni tu🤔

Umeongea kichama zaidi,

Mambo ya nchi hayapuuzwi kihivyo.

Pole
 
Hakuna kusogeza sekunde hata 1 tunataka tuwaone hao wanaoleta vurugu tule nao sahani moja
 
Kumbe askari wetu wanakimbizwa Bure barabarani,

Ni mambo ya mitandaoni tu🤔

Umeongea kichama zaidi,

Mambo ya nchi hayapuuzwi kihivyo.

Pole!
Hiyo ndiyo kazi ya askari kukimbia. Askari siyo manesi wa hospitali take watembee kizembe
 
Uchaguzi sio chupi useme utasogeza pembeni uzamishe uboh* kwaufupi wameyaganyaka Rais atakiwi kuongeza ata lisaa sembuse siku tano, labda wamrestishe in pisi mgombea mmoja wa Urais ili wapate baraka za kusogeza mbele
 
Back
Top Bottom