Katiba wanaikanyaga na hawaguswi,Duh!!! Walishasema hili ni zoezi la kikatiba huwezi kuliahirisha sjui kama watakubali
Katiba ni kijitabu tuDuh!!! Walishasema hili ni zoezi la kikatiba huwezi kuliahirisha sjui kama watakubali
Waandamanaji watakosa organization maana akili zao wameziekekeza October 29, na ukizingatia nguvu ya pesa pia hawana.Wakisogeza mbele, maandamani nayo yatasogezwa mbele. Siku ya uchaguzi = siku ya maandamano
Hatuna askari mwenye weledi kutofautisha aendaye kutiki na aendaye kuandamana,Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu
Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.
Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.
Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.
Share na mwenzako
Mgombea wa CCM alishasema, hata watz wasipowapigia kura, wao wataongoza serikali.Una uhakika una akili??
Sio kwamba zoezi la kikatiba lifutwe laa hasha lisogezwe mbele.Duh!!! Walishasema hili ni zoezi la kikatiba huwezi kuliahirisha sjui kama watakubali
Wazo la kipuuziSalaam!
Tukubali, au tukatae, aliyebuni wazi la Kutangaza maandamano siku ya uchaguzi, aliwaza mbali mno,
Tunaona hivi sasa Hali ya kuchanganyikiwa kimkakati Katika namna Bora ya kuzuia maandamano wakati huo huo kuondoa hofu ya watu kujitokeza kupiga kura kufanikisha zoezi la uchaguzi.
Na kwa kuwa askari wetu wote hawatoshi kuzuia jambo hili, na kwa kuwa upo uwezekano wa kusogezwa mbele uchaguzi kwa namna mbalimbali,
Ushauri: Uchaguzi wa October 29 , usogezwe mbele Ili kuwapiga chenga ya mwili Hawa waandamanaji wa NRNE.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Karibuni 🙏
Nakukumbusha maandamano si tarehe 29 pekee ni kuanzia tar 29 na kuendelea bila kikomo mpaka watanzania tupate tunachotakaWaandamanaji watakosa organization maana akili zao wameziekekeza October 29, na ukizingatia nguvu ya pesa pia hawana.
Ccm wastukie mtego huu na kubadili gia angani maana maandamano yamewachanganya wagombea majukwaani badala ya kunadi sera zao, wanageuka kunadi maandamano kwa kuyaongelea.
🙄Nakukumbusha maandamano si tarehe 29 pekee ni kuanzia tar 29 na kuendelea bila kikomo mpaka watanzania tupate tunachotaka
Hili ni wazo Bora,Wazo la kipuuzi
Why not maandamano ndio ysogee mbele?
Aiku ya uchaguzi ilitangazwa kabla hata ya maandamano kutangazwa
Mama hapangi siku ya uchaguziHili ni wazo Bora,
Yule mama alichukue hili na washauri wake.
WEWE chawa humtakii mema!
Anayepanga siku ya uchaguzi ndiye aliyepanga sababu za kuusogeza mbele kwa namna mbalimbali.Mama hapangi siku ya uchaguzi
Guys someni someni
It is not illegal yet
Sawa .Unafahamu lengo la maandamano lakini?
Lengo ni kuzuia uchaguzi usifanyike kabisa, ili kushinikiza reforms, kuusogeza mbele haiondoi maandamano.
Maandamano yataondolewa na reforms na siyo kuuhairisha uchaguzi.