Na ndiye anapanga maandamano sio?Anayepanga siku ya uchaguzi ndiye aliyepanga sababu za kuusogeza mbele kwa namna mbalimbali.
Ni kale kale kakijitabu.
Punguza nongwa kijana.
Umekielewa ulichoandika?Na ndiye anapanga maandamano sio?
Vijana tunawapenda sana lakini mnaacha vitabu na busara
Wenzetu wali Wekeza sana kwenye historia
Wanajua maana
Wanatumia akili ndogo tu kuwa,Kule tiktok Gen Z mbona kama wanajipanga sana hii sio kawaida
Hamna kuahirisha uchaguzi kwa sababu ya waandamanaji wa mtandaoniSalaam!
Tukubali, au tukatae, aliyebuni wazi la Kutangaza maandamano siku ya uchaguzi, aliwaza mbali mno,
Tunaona hivi sasa Hali ya kuchanganyikiwa kimkakati Katika namna Bora ya kuzuia maandamano wakati huo huo kuondoa hofu ya watu kujitokeza kupiga kura kufanikisha zoezi la uchaguzi.
Na kwa kuwa askari wetu wote hawatoshi kuzuia jambo hili, na kwa kuwa upo uwezekano wa kusogezwa mbele uchaguzi kwa namna mbalimbali,
Ushauri: Uchaguzi wa October 29 , usogezwe mbele Ili kuwapiga chenga ya mwili Hawa waandamanaji wa NRNE.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.
Karibuni 🙏
Kumbe askari wetu wanakimbizwa Bure barabarani,Hamna kuahirisha uchaguzi kwa sababu ya waandamanaji wa mtandaoni
Kumbe askari wetu wanakimbizwa Bure barabarani,Hamna kuahirisha uchaguzi kwa sababu ya waandamanaji wa mtandaoni
Kheri nusu shari!Hapa watakuwa wameruka vuguvugu na kuangukia kwenye joto la uchaguzi 🐼
Hawaezi,Na waandamanaji watasogeza siku mbele make wameichagua siku ya uchaguzi 😂😂😂
Hiyo ndiyo kazi ya askari kukimbia. Askari siyo manesi wa hospitali take watembee kizembeKumbe askari wetu wanakimbizwa Bure barabarani,
Ni mambo ya mitandaoni tu🤔
Umeongea kichama zaidi,
Mambo ya nchi hayapuuzwi kihivyo.
Pole!
Wewe ndio huwezi elewaUmekielewa ulichoandika?
KUna point za motooo hatari..safari hii mhh madogo wamechachukaaakila siku mida ya saa tano kuna meeting ya live kupanga maandamano.
Inafanyika wapikila siku mida ya saa tano kuna meeting ya live kupanga maandamano.